Kwa hili dada zetu mmetuweza! - mnatufanya tuamini tumewachagua!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Kumbe wanaume tunajipaga moyo kweli kwamba tumetongoza na kukubaliwa; na wakati mwingine tunaamini kabisa kuwa sisi ndio tumemchagua mwanamke! Kumbe ukweli ni kuwa wanawake ndio wanatuchagua sisi kwanza kule kutongoza na kukubaliwa ni wao tu kutengenezea njia tu ya kuwafikia!
 
hadi umtongoze mwanamke maanake yeye mwenyewe tayari amekutengenezea mazingira. Akikubali mara nyingi alishakubali hata kabla

Dhana ya kwamba ooh mi fundi wa kuimbisha, au sijui nini nadhani zaidi inategemea mwanamke kama kama kapata 'ashiki' wakati wa mtongozano!

But the fact remains mwanaume akiwa domo zege ni vigumu kwa mwanamke kumtongoza ila kwa ishara na mazingira
 
Kumbe wanaume tunajipaga moyo kweli kwamba tumetongoza na kukubaliwa; na wakati mwingine tunaamini kabisa kuwa sisi ndio tumemchagua mwanamke! Kumbe ukweli ni kuwa wanawake ndio wanatuchagua sisi kwanza kule kutongoza na kukubaliwa ni wao tu kutengenezea njia tu ya kuwafikia!
ni kweli mkuu.mimi nikimtamani mtu najigonga gonga wewe uzuri wanaume huwa mnaelewa mapema.mnasafisha njia
ni ngumu mwanaume from nowhere amtongoze mwanamke amkubalie ni ngumu sana
hata hapa jf nikitaka mtu anitongoze na mpm tu kumpa salamu asubuhi hadi jioni keshanipa mashairi
 
Wanawake ni complex sana, mwingine anaweza akawa hajakupenda lakini thru kuzoeana kwa muda mrefu au kumuimbisha kwa muda mrefu, anaanza kujenga upendo pole pole.
Kuimbisha bado naona ni msingi mzuri wa mwanaume kupata mke kuliko kufikiria kuwa unaweza kukubaliwa kirahisi kwa imani ya kuwa tayari unapendwa.
Kwa taarifa yake wanawake walio wengi hupenda kuimbishwa na wengine kujikuta wanamkubali hata yule mtu ambaye mwanzoni hakufikiria kuwa naye!!
 
Sitaki kujifanya nawajua hawa viumbe

Watupe homa na mawazo na maliwalizo na tuwaache wawe wao. Period!
 
wanawake tupo simple sana kwenye swala la mapenzi .wanaume ndo mmelifanya complex .ukimtongoza mwanaume shida,akikutongoza ukimkubalia kirahisi shida,ukimtesa nayo shida
 
ni kweli mkuu.mimi nikimtamani mtu najigonga gonga wewe uzuri wanaume huwa mnaelewa mapema.mnasafisha njia
ni ngumu mwanaume from nowhere amtongoze mwanamke amkubalie ni ngumu sana
hata hapa jf nikitaka mtu anitongoze na mpm tu kumpa salamu asubuhi hadi jioni keshanipa mashairi

na kwa Rejao hua unajigonga kwa sababu unamtamani??:smile:
joking! hujambo lakini??
maana umeamua kunitupa kabisa siku hizi
 
Sitaki kujifanya nawajua hawa viumbe

Watupe homa na mawazo na maliwalizo na tuwaache wawe wao. Period!
Wanaume mmetufanya tuwe tulivo,mguu pande mguu sawa.machojuu macho chini maana mmekuwa nyoka nyieni wadanganyifu mno
 
wanawake tupo simple sana kwenye swala la mapenzi .wanaume ndo mmelifanya complex .ukimtongoza mwanaume shida,akikutongoza ukimkubalia kirahisi shida,ukimtesa nayo shida

Mie nakuimbisha, ukintolea nje maramoja sirudi tena, Ukijilete mwenyewe lazima ntakuwekea question mark,
Hapo kwe kunitesa sasa ndo pagumu., bora uniache tu
 
teh navokulove siwezi kukutosa labda ukosee masharti
 
Usema ukweli sijawahi sikia msichana anayetongozwa na kijana moja tu.
Tufanyaje tu, leo unamwambia mtu Hapana, kesho wanajitokeza kumi kidogo.

Na kwa kipande fulani sisi wanawake tunapenda kutongozwa. (Ikizidi sana usumbufu)
Jamani tuacheni tuwapange foleni tuchague.
Sintaa kaa hapa ni rembe maneno. Hapana.

Mkuu Mwanakijiji umeongea la maana sana.
Ukimtongoza mdada jua we si mwanaume pekee mpaka hapo atakapo kukubalia ....

Usikute na nyie wakaka mmetupanga tu.
Usiku una flip coin .......

Asanteni kwa ukarimu wenu........
 
karibu tena ad tumekumiss sana
back to the topic
kutongozwa ni raha bwana ila ukizipanga vibaya sometimes ni kero ujue
 
Wanaume mmetufanya tuwe tulivo,mguu pande mguu sawa.machojuu macho chini maana mmekuwa nyoka nyieni wadanganyifu mno

Muwe mlivyo kivipi? unajua nyinyi wadada ni wasumbufu halafu muda mwingine hua mnapenda kuleta ligi zisizo na msingi, sasa kama msichana kila siku yeye analeta ligi na mimi siwezi acha kua macho juu
 
twende PM maana hapa watu wataiba trick zangu...
ila ukwelikuna wanaume hawajui kutongoza bwana.kumtongoza mwanamke sio kama ni interviewkwamba lazima ujieleze wewe ni nani? Una uzoefu gani ,mshahara shngapi,unamiliki nini na nini? Wanawake hatutaki kujua yote hayo
Kwanini huwamnajichosha ?mwanamke ambae atakukubali kama alivosema mtoa mada juaalishakutaka siku nyingi .so usitumie energy kubwa sana maana kama hajakutakahata useme nini hatokukubali
Mambo ya mimindo signatory wa ndege zote ziruke amsterdam yashapitwa na wakati
 
ni kweli mkuu.mimi nikimtamani mtu najigonga gonga wewe uzuri wanaume huwa mnaelewa mapema.mnasafisha njia
ni ngumu mwanaume from nowhere amtongoze mwanamke amkubalie ni ngumu sana
hata hapa jf nikitaka mtu anitongoze na mpm tu kumpa salamu asubuhi hadi jioni keshanipa mashairi

duh mbona mi napita mbele yako kila siku hata ishara hamna...... au sijakuvutiaaa..
 
Asante Smile.
kupanga Vipi vibaya tena? Unamaanisha kuwachanganya?
Chukulia mfano rahisi wa simu Suppose x anakutongozaunamzungusha ana simu yako
Kuna y w z o p q nk
Hizo simu tu ni kero tosha maana kila saa utakuwa kama operator jamani
 
Back
Top Bottom