Kwa hili dada zetu mmetuweza! - mnatufanya tuamini tumewachagua!

ila ukwelikuna wanaume hawajui kutongoza bwana.kumtongoza mwanamke sio kama ni interviewkwamba lazima ujieleze wewe ni nani? Una uzoefu gani ,mshahara shngapi,unamiliki nini na nini? Wanawake hatutaki kujua yote hayo
Kwanini huwamnajichosha ?mwanamke ambae atakukubali kama alivosema mtoa mada juaalishakutaka siku nyingi .so usitumie energy kubwa sana maana kama hajakutakahata useme nini hatokukubali
Mambo ya mimindo signatory wa ndege zote ziruke amsterdam yashapitwa na wakati

Tupe mwongozo japo kidogo basi,
 
hahaa wewe ndio hua wanakujia na trick hizo?
ofcourse mimi hua naangalia na mazingira, na hua situmii energy na uongo mwingi
kitu cha kwanza kama nimemzimia msichana hua naangalia na life style yake, personality yake pia hivi huwa na vi consider sana nikashamcheki na nikaona zinaendana na zangu hata kama ni kidogo hapo ndio hua napata pa kuanzia sasa..
 
Chukulia mfano rahisi wa simu Suppose x anakutongozaunamzungusha ana simu yako
Kuna y w z o p q nk
Hizo simu tu ni kero tosha maana kila saa utakuwa kama operator jamani

So, how do you overcome this situation?
 
uzuri mi sina simu

Mtoto mzuri kama wewe kudanganya haipendezi. hebu tusaidie bana unaikabili vipi hii Situation ya kupigiwa misimu kibao mara Rejao,Mbu,Asprini,Mwanakijiji,Nyani Ngabu, Mr Rocky, The Finest......
 
Chukulia mfano rahisi wa simu Suppose x anakutongozaunamzungusha ana simu yako
Kuna y w z o p q nk
Hizo simu tu ni kero tosha maana kila saa utakuwa kama operator jamani

Simple solution.
unawambia ukweli ya kwamba hauko mwenyewe. I do that all the time. Unasema kabisa juma yuko bukoba, Ally yuko mwanza,
Joseph yuko Uganda, Trent yuko Australia, Jason yuko Jamaica. Kama hawezi kuota huo moto is up to him. Ilimradi humdanganyi. Na hayo matatizo ya simu sijui email kila dakika hayatasumbua ukisema ukweli...

Na kumbuka anakutongoza tu ........ kwa hiyo huvunji rule yeyote kumwambia ukweli.
 
Wanaume mmetufanya tuwe tulivo,mguu pande mguu sawa.machojuu macho chini maana mmekuwa nyoka nyieni wadanganyifu mno

Wanaume sio wadanganyifu, sema huwa tunakuwa na mpangokazi toka mwanzo kabisa -- well stipulated malengo na nia.

Sasa wenzetu sijui huwa mnakosea wapi? Ila kwenye udanganyifu nakataa.
 
Kwa mimi nisiye jua kupenda au maana ya kupenda dah inakuwa ngumu kumesa mi natamani siku zote.
 
Simple solution.
unawambia ukweli ya kwamba hauko mwenyewe. I do that all the time. Unasema kabisa juma yuko bukoba, Ally yuko mwanza,
Joseph yuko Uganda, Trent yuko Australia, Jason yuko Jamaica. Kama hawezi kuota huo moto is up to him. Ilimradi humdanganyi. Na hayo matatizo ya simu sijui email kila dakika hayatasumbua ukisema ukweli...

Na kumbuka anakutongoza tu ........ kwa hiyo huvunji rule yeyote kumwambia ukweli.
ukimwambia ukweli si atakuacha na wewe roho inataka kusikiliza nyimbo?
 
Wanaume sio wadanganyifu, sema huwa tunakuwa na mpangokazi toka mwanzo kabisa -- well stipulated malengo na nia.

Sasa wenzetu sijui huwa mnakosea wapi? Ila kwenye udanganyifu nakataa.
unataka kusema wanawake tupo too much demanding?
 
ni kweli mkuu.mimi nikimtamani mtu najigonga gonga wewe uzuri wanaume huwa mnaelewa mapema.mnasafisha njia
ni ngumu mwanaume from nowhere amtongoze mwanamke amkubalie ni ngumu sana
hata hapa jf nikitaka mtu anitongoze na mpm tu kumpa salamu asubuhi hadi jioni keshanipa mashairi

Yaani hiyo Avatar yako! mimi naaminigi ndiyo wewe na siku ukinitokea hata kama sura kama unakamuliwa jipu mimi nitakuwa navuta tu avatar yako ili mzuka unipande!
 
ukimwambia ukweli si atakuacha na wewe roho inataka kusikiliza nyimbo?

Kama wako kumi zaidi mmoja akikuacha si mbaya. ....

Lakini mi nimejizoesha hivyo kusema tu situation ilivyo na ambaye yuko interested anaamua kufumbia macho niliyosema na kukaza buti. ......
 
Kumbe wanaume tunajipaga moyo kweli kwamba tumetongoza na kukubaliwa; na wakati mwingine tunaamini kabisa kuwa sisi ndio tumemchagua mwanamke! Kumbe ukweli ni kuwa wanawake ndio wanatuchagua sisi kwanza kule kutongoza na kukubaliwa ni wao tu kutengenezea njia tu ya kuwafikia!

Of course habari ndiyo hiyo...
 
Kumbe wanaume tunajipaga moyo kweli kwamba tumetongoza na kukubaliwa; na wakati mwingine tunaamini kabisa kuwa sisi ndio tumemchagua mwanamke! Kumbe ukweli ni kuwa wanawake ndio wanatuchagua sisi kwanza kule kutongoza na kukubaliwa ni wao tu kutengenezea njia tu ya kuwafikia!

uko sawa kabisa mkuu. Hakuna mwanaume anayeingia mahali ambapo hana uhakika wa kufanikiwa. Wanawake wananguvu ya ziada machoni na akikuangalia unajua kabisa hapa napata. Ila wanawake wa siku hizi hawana simile hawasubiri mtego uzae utawaona washaropoka oooh wewe handsome sijui ehehee...
 
Jamani mimi nilimfukuzia msichana kwa miezi sita mpaka nikakata tamaa! siku nakutana na rafiki zake wananiambia eti picha zangu zilikuwa zimebandikwa chumba kizima! sasa sijui alikuwa ananikataa nini!
 
ukimwambia ukweli si atakuacha na wewe roho inataka kusikiliza nyimbo?

One thing that you enjoy most...kuimbiwa unapendwa kuimbiwa ni malaika kuimbiwa mimi sili wala silali..yaani we acha tu
 
Back
Top Bottom