Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,654
- 134,359
hata mimi sielewi cha kusifia ni kipi hapa!Mkuu tujadili nini? Zitto, clouds, kibonde, Jahazi hueleweki!!!
Mwandishi wa gazeti akishaandika habari ikitoka ni mali ya gazeti na credits zinaenda gazetini ndio maana utasikia gazeti la uhuru/nipashe/ mwananchi etc limeripoti so and so. Gazeti halitafuti habari wala haliandiki habari, wanaotafuta habari na wanaoandika ni waandishi ila credits ni kwa gazeti!.aliyefanya vizuri ni clouds au kibonde?mbona hueleweki?
You are very right its only relevant kwa wasikilizaji wa clouds na wale ambao hawakusikiliza leo nimewaambia wasikilize kesho, iko on line na kesho atakuwepo January Makamba!. Sio lazima kila mtu asikilize Clouds ila pia sio lazima kila mtu acomment kila post, next time ukioana haikuhusu and its irrelevant, just shut down your big mouth, just shut up!. Sio lazima ukoment every post!, wata comment wenye relevance!.Imagine mtu ambaye hasikia hicho kipindi hii thread inakuwa irrelevant!
Chademaaaa !Mkuu tujadili nini? Zitto, clouds, kibonde, Jahazi hueleweki!!!
leo wamegusa Chademaaa!clouds wamesoma alama za nyakati,ccm haitafika 2015 ikiwa inaongoza serikali hivyo kujikomba ccm hailipi kwa sasa
You are very right its only relevant kwa wasikilizaji wa clouds na wale ambao hawakusikiliza leo nimewaambia wasikilize kesho, iko on line na kesho atakuwepo January Makamba!. Sio lazima kila mtu asikilize Clouds ila pia sio lazima kila mtu acomment kila post, next time ukioana haikuhusu and its irrelevant, just shut down your big mouth, just shut up!. Sio lazima ukoment every post!, wata comment wenye relevance!.