Kwa hiki nilichokisikia Leo Wasafi FM huenda yale maneno ya ' Kashfa ' ya Kocha Luc Eymael kwa Uongozi wa Yanga alikuwa sawa

Leo umeteleza kidogo, Mwajiriwa akipewa Mkataba mpya ni jukumu na haki kusaini ( kukubaliana) au kutosaini ( kutokukubaliana na Mkataba mpya) hivyo hilo tumpe Papy Uhuru afanye anavyotaka!
 
Miezi kama si Miwili hivi nyuma nakumbuka kupitia Redio hiyo hiyo ya Wasafi FM ( japo Video yake ipo na ilienea pia ) Mmoja wa Mwana Yanga SC anayejifanya ana Hela na anataka Kushindana na Mo Dewji ' Injinia ' Hersi kwa ' Majigambo ' kabisa alisema kuwa tayari Klabu ya Yanga imeshamalizana na Kiungo wake Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi wenyewe mliosoma mnasema ' DONE DEAL ' sijui.

Cha Kushangaza, Kushtua na Kusikitisha kabisa leo hii hii katika Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM bila Uwoga wala Aibu tena kwa ' Kujimwambafai ' kabisa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Wakili Msomi Simon Patrick amesema kuwa Mchezaji wa Kiungo wa Yanga Raia wa Kongo Papy Kabamba Tshishimbi hajasaini Mkataba wowote ule na Yanga na wamempa Siku 14 za Kusaini na mpaka leo zimeisha Siku 7 hivyo kabakiza Siku 7 na kama hataki aache kwani Yanga sasa ' haimbembelezi ' Mchezaji yoyote yule.

' Logically ' tu kwa ' Kujichanganya ' huku kwa Nyani Sokwe Mbwa Sports Club ( Yanga SC ) kama ambavyo Kocha wao ' Mbeleshi ' Luc Eymael ' amewaita ' hivyo tutakuwa na uhakika gani kwamba hata Kiungo wao ' Mtukutu ' Bernard Morrison amesaini nao kweli Mkataba wa Miaka Miwili kama ambavyo Viongozi hawa wa Yanga wanasema japo Mchezaji Mwenyewe anakataa kata kata?

Na kuna za ' chini chini ' nimezipata za Kuhusiana na Suala hili zima za Bernard Morrison nitazisema hapo baadae ila kuna Watu wataenda Lupango.
Unawakwaza watu
Ligi ishaisha zungumzia tim yako ya simba wanaanza usajili , gadiel kaomba kurud yanga...
 
Tshishimbi leo kawasema kama kocha wao anashangaa katibu wao kukimbilia kwenye vyombo vya habari kuongelea issue ya mkataba wake na kuonyesha jinsi gani katibu wao asivyo na uelewa wa mpira
 
Back
Top Bottom