Kwa hiki nilichokisikia Leo Wasafi FM huenda yale maneno ya ' Kashfa ' ya Kocha Luc Eymael kwa Uongozi wa Yanga alikuwa sawa

Nitazisema tu baadae na wala usijali na labda kwa Kuanza nalo tu kuna Kesi ya ' Forgery ' kuhusu Saini ya Morrison ambayo itaondoka na Mtu Jela.
Sasa hivi manyani wanakukumbuka wanatamani hata uwe kiongozi wao maana umemshinda akili hata yule professor wao
 
Tumia akili mwafrika kuitwa nyani unadhani wewe Mikia umepona nyani ni tusi linalotumiwa Ulaya kuwaita waafrika nyani je wewe si mwafrika acha kujitoa ufahamu
 
Tumia akili mwafrika kuitwa nyani unadhani wewe Mikia umepona nyani ni tusi linalotumiwa Ulaya kuwaita waafrika nyani je wewe si mwafrika acha kujitoa ufahamu

Ni kweli Mimi GENTAMYCINE ni Mwafrika na siyo yule Mwafrika Mshabiki wa Yanga SC ambao wameitwa Sokwe Mbwa na Nyani na Kocha Wao Luc.
 
Jamaa anatumia nguvu nyingi ya kutaka sokwe, nyani, mbwa na uneducated kuwa tusi la waafrika wakati walioambiwa wanaeleweka

Ngoja waende huko CAS ( FIFA ) wakatoe 'Sadaka' na Pesa yao ya 'Mawazo' kisha warudi Bongo hii ( Tanzania ) Kichwa chini na Aibu tele tu Mkuu.
 
Back
Top Bottom