Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
WanaJF poleni na kazi ngumu za kupambanua mada tata na zenye manufaa kwa vijana wa kitanzania...
Kwa upande wangu hikii kigezo cha:- "Applicants for senior positions currently employed in the public service should route their application letters through their respective employers" hakiko sawa kwa sababu moja kuu....
-;Kinatengeza uadui kati ya wakurugenzi wa mashirika au taasisi na wafanyakazi, kwani ukishajulikana unataka kuhama taasisi moja kwenda nyingine ni taabu tupu kwani unatengwa kabisaa......
Ombi langu kwa secretariat naomba hiki kigezo kitolewe.....