Kwa Hiki Kigezo Secretariat ya Ajira hamko sawa?

Kwa Hiki Kigezo Secretariat ya Ajira hamko sawa?

Mkuu ujue kazi za u-senior lazima uwe kazini na uzoefu fulan.....??? suala la ku-channel baarua yako kwa current employer ni shida....nakuombea si kwa ubaya one day yakukute nayoyosema ndo utajua ubaya wake.......

mimi nazani itawafaa sana wale wasiokuwa na kazi, yaani ama waliacha kazi kwa sababu mbalimbali au ama walifukuzwa, kwa hyo tuwape nafasi watu hao kwa hzo nafasi
 
Nadhani hapa wakulaumiwa sio tume ya ajira kwa kuwa sababu mnayoitoa sio wao wanaisababisha, wakulaumiwa ni hao waajiri, tume ya ajira walivyoliweka hilo hawafikiri hayo manyanyaso ya waajiri.
 
Utumishi wako right kabisa. Mana wanafanya hivyo ili kuwabana watu wasihangaike. Tulia kwenye ajira yako. Mana vijana weng hawana ajira. Wewe mwenye ajira unataka tena ajira. Huo sio ustaarab. Safi sana utumishi nawashauri msiondoe hicho kigezo kwani mkikiondoa itakuwa tabu wasio na ajira.
 
Back
Top Bottom