Kwa hii style Single Parent haitakuja Kufa

Safi sana mkuu, huwa napatwa na kigugumizi kwa nini wanataka kuanza maisha(bwana na bibi harusi) ndo wananyang'anywa na kuchukua wazee ( upande wa bibi harusi) ambao tyari weshajipanga, na kama bado hawajajipanga ni jukumu la bwana harusi kuwapanga kwa kupitia maali??!

Kama logic ni fadhira za malezi ya binti yao, kwani wazazi wa bwana harusi yanalipwa na nani?? Na usikute bibi harusi ana tabia mbaya kimalezi kuliko hata bwana harusi!
ndo hivo mkuu, nitawatafuta mwakani tena kuzungumzia mahali, aakiikubali hiyo 1.2 naanda kuwapa kwa mafungu , 200 kila baada ya miezi miwili au mitatu. tena nikikumbuka maneno waliyoniporomoshea..... nao bureee
 
Njoo huku pwani, wamakonde na wazaramo wanajua mahaba kwelikweli na mahari hatulipi kwa Ng'ombe wala Mbuzi. 50,000 hadi 100,000 unamchukua mke. Achana na watu wa bara hawajui kupika, washamba, kitandani zero lakini mahari milion mia.
....niandalie dada zako wawili bwashemeji!
 
Back
Top Bottom