Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
HujalazimishwaVitenge doti 1,viatu pea 1,kilemba,Sabuni miche 2,Mafuta ya kupakaa,fedha tsh.10000, mahari: majembe 2 au tsh:20000,blanketi 2 kubwa na mashuka 2,mbuzi 2 beberu au tsh:200000,mbuzi wa 5 au tsh:250000,ng'ombe 4 au tsh:600000,fungu la fedha 800000,soda thelathini tsh:30000,mfuko au begi la Mali sawa tsh:15000, : MKAJA WA MAMA 100000,MSHENGA TSH:30000 NA FUNGA MLANGO TSH:250000
Heshima zisizo na mantiki yoyote. Ndiyo maana vijana wanazalisha na kukimbia.Hujalazimishwa
Ndio ukubwa na hishima
Safi sana mkuu, huwa napatwa na kigugumizi kwa nini wanataka kuanza maisha(bwana na bibi harusi) ndo wananyang'anywa na kuchukua wazee ( upande wa bibi harusi) ambao tyari weshajipanga, na kama bado hawajajipanga ni jukumu la bwana harusi kuwapanga kwa kupitia maali??!kama kipato kwa mwaka hakizizi milioni 10, ni ufara kutoa mahali ya zaidi ya m2,
binafsi kipato hakizidi m8, nilipotaka kuoa wakwe wakang'ang'ania m2.4 nilikataa nikapiga chini kabisa, kumbe dogo alikuwa kijacho tayari, amehamia kwangu tayari na ile m1.2 niliyotaka kuwapa wakaikataa nimeifungua kiduka wife/mchumba anadunduliza ya mboga.
tupingeni mahali jamani, kama vipi watoe wao
Sasa msingi wa nyumba na mwanamke kipi kina thamani kubwa?Harusi tu na mahali unaweza kujenga msingi wa nyumba kabisa.
Buda hao watoi wa mwambao hawawazidi dada zetu huku bara.Njoo huku pwani, wamakonde na wazaramo wanajua mahaba kwelikweli na mahari hatulipi kwa Ng'ombe wala Mbuzi. 50,000 hadi 100,000 unamchukua mke. Achana na watu wa bara hawajui kupika, washamba, kitandani zero lakini mahari milion mia.
Kwenye utamaduni na mila kuna utamu wake, kama hautaki kuoa kaa ulivyo.