Kwa hii picha, Dodoma itakuwa kama Kigali ndani ya miaka miwili

Mbunge wa Chadema alisema lissu kupigwa risasi ilikuwa mpango wa chama Kwasababu alitaka kujijenga yeye Ndio maana majasusi ya Chadema yakataka kumpoteza
Hujiulizi Kwanini walimtorosha dereva wa lissu ?
Kama zipo mnamfahamu aliyetaka kumuua lisu.
Nani aliondoa Walinzi area D ili lisu ashughulikiwe bila msaada?
 
Wakoloni wametuachia Ikulu na mahospital nchi nzima, kama Muhimbili Ocean road nk.
Ni ngumu sana kuwa na rais asiejua kidhungu kwa miaka kumi. Ampishe tu Membe.
Yaani ulivyo bonge la mshamba umeona kujua kizungu ni qualification ya kuwa bora kuliko wengine, utakuwa mngonjwa wewe
 
Mbunge wa Chadema alisema lissu kupigwa risasi ilikuwa mpango wa chama Kwasababu alitaka kujijenga yeye Ndio maana majasusi ya Chadema yakataka kumpoteza
Hujiulizi Kwanini walimtorosha dereva wa lissu ?
Area D inalindwa na Serikali au chadema!? Nani aliondoa Walinzi area D?
Nani aliondoa CCTV camera?
 
Mkuu jiji la kigali limepangika ndio mfano wa jiji safi lisilokuwa namsongamano mkubwa
Hapo ndiyo ujue CCM imetuharibia nchi, yaani Rwanda ambayo miaka michache walikuwa wanauana, Leo tunajinasibu eti tutkuwa kama Kigali? Mambo mengine bora kukaa kimya, ulitakiwa ulinganishe na Beijing et al
 
China iliwekeza hela nyingi kwenye kutengeneza miji afu hadi leo wakaaji hawapo
 
Rais Magufuli ni mtu simple sana sema hapendi watu wanaovuruga amani
ipo clip ya siku nyingi anasikika akikiri siku akiwa rais tutalimia meno. na kweli. siyo mtu simple huyo wewe unaonekana unanufaika binafsi na utawala wake ndiyo sababu hauishi kumtetea.
 
Hapo ndiyo ujue CCM imetuharibia nchi, yaani Rwanda ambayo miaka michache walikuwa wanauana, Leo tunajinasibu eti tutkuwa kama Kigali? Mambo mengine bora kukaa kimya, ulitakiwa ulinganishe na Beijing et al
Kigali ni mji mdogo lakini umepangika vizuri na ndiyo jiji safi zaidi Afrika
 
Barabara za Kigali zipo vizuri sana. Hakuna msongamano wa wale tuwaitao wamachinga. Nenda Dodoma ujionee jinsi barabara zilivyobadilishwa na kuwa vigenge vya biashara, halafu rudi utoe maoni yako tena kuhusu hali hiyo.
 
Back
Top Bottom