Kwa hii penalty hii mliowanyima Singida endeleen kuwabeba Simba uovu una mda wake nawahakikishia utaisha

Sikiliza wewe mental...Simba kua hapo ni mpango wa Mungu.
Ubaya Ubwela ukigusa lazima ufe.
 
Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa

Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu

Mda ukifika itasema

View attachment 3349201

Huku ndo kunakowaponzaga, mbeleko mpaka wanazoea.. Wakitoka nje wanaishia kulialia na refa, mana washazoea kubebwa
 
Hapa Mungu alikua wapi?
20250517_201632.jpg

Sikiliza wewe mental...Simba kua hapo ni mpango wa Mungu.
Ubaya Ubwela ukigusa lazima ufe.
 
Ila Simba inakutesa sana Utopolo wew. Unaandika Habari nyingi za Simba kuliko za Utopolo, una wivu wa kike
 
Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa
Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu
Mda ukifika itasema
Kabla ya mechi tulikubaliana kwamba isitolewe penati maana magoli ya penati ni ya mchongo
 
Tulishakubaliana penati zote ni mchongo. Hakuna kutoa penati

#Hatuchezi fc
 
Huku ndo kunakowaponzaga, mbeleko mpaka wanazoea.. Wakitoka nje wanaishia kulialia na refa, mana washazoea kubebwa
Tulishakubaliana penati zote ni mchongo. Hakuna kutoa penati

#Hatuchezi fc
 
Huku ndo kunakowaponzaga, mbeleko mpaka wanazoea.. Wakitoka nje wanaishia kulialia na refa, mana washazoea kubebwa
Mbereko Fc ili wapate ushindi, kazima wabebwe na waamuzi. Nje ya hapo, ni sare au kipigo.
 
Back
Top Bottom