Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

mimi ni mkristo na nina amini kabisa kumshuhudia mabaya kuhani wa Mungu ni dhambi kubwa sana,but nakumbuka mwaka juzi wakati bado naishi dar maeneo ya mwananyamala kwa kopa huyu mzee alikuwa na mazoea ya kupita na mwanamke mmoja mtu mzima hivi usiku wa saba ktk gari lake kupitia ile barabara inayopita kituo cha polisi kwa kopa..waliokuwa wanamfaham yule dada wanadai anaishi block 41 kinondoni..ki ukwel hichi kitu mi kilikuwa kinanishangaza mnoo hv huyu mwanamke ni nani??na je inakuwaje wanakuwa ktk gari na mtumishi huyu wa mungu wakiwa wawili tu ktk gari???? tena saa saba ucku wametoka wapi???hlf wala siyo mara moja wala mbili kupita nae, hv wanakuwa wametokea wapi na wanakwenda wapi... anyway Mungu pekee ndie anayejua ukweli
 
Pombe. Kama ni kweli basi amejiaibisha Sana.. Waumini tuwage tunaangalia yetu na MUNGU. Tukisema Tuangalie NGUVU ya viongozi tutaishia kufeli
 
Jana tu nimetoka kubishana Na mama watoto kuhusu Mzee wa upako wakati tunaangalia kipindi chake Chanel ten.

Mimi nikamwambia Mama watoto, Mzee wa Upako anasura ya kilevi mno Na anaonekana mlevi tena wa pombe Kali.

Sasa Kwa tuhuma hizi nakubaliana kabisa kuwa jamaa Ni chapombe.
 
Shetani hachelewi, keshanza kufanya shughuli zake. Waumini wa Kristo tukeshe tukiomba ili tushinde hii vita. Yesu atosha
Amen.
 
Kaka prove please please!!. kama mambo hayo yalifanyika hazarani mbona hii habari ipo hapa tu? mitandao mingine hata ile ya kijinga kijinga hakuna habari hii. Weka hapo audio au video ikimuonesha akifanya huo utumbo ulio andia. Bila hivyo ni Mzushi na Muongo na ujue Mungu anakuona. this man is public figue huwezi tu ukaandika eti kwa still picture kuna photoshop siku hizi tuamini vipi bila audio au video. Acha kuzushia watu kwa uongo.
Mungu Ibariki Tanzania
Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
Blogg: www.katabazihappy.blogspot.com
We jamaa malisoka unataka uthibitisho gani zaidi?Wakati huyo dada kwenye Fb Account yake kaanika tukio zima na yeye ndio alikuwa shuhuda wa tukio?Ndi alimsaidia mzee wa Upako kurudi nyumbani akiwa amelewa tilatila.

Tatizo lenu,imani zenu mmeweka juu ya watu badala ya Mungu.Sasa mtu kwa ubinadamu wake akikengeuka kidogo tu mnapanic...Video zipo mitandaoni,tembelea Account ya Times Fm ambao ni majirani wa Mchungaji Lusekelo kule Kawe,wameweka hilo tukio kwa video.
 
Nani kamsema vibaya? Au matendo yake ndo yamewekwa hadharani? Endeleeni kumpelekea hela ale bata
Kwa taarifa yako tu mimi sisali kwa mch Lusekelo,nimeyasema yale kwa viongozi wote wa dini na si Lusekelo pekee
 
Kwani Mzee wa Upako kunywa ni kosa..


Kosa ni pale alipoanza kufanya fujo
Upo sawa kabisa mkuu!!Kuna watu walikuwa wanakaa Ikulu na wakawa raia namba moja,walikuwa wanakunywa gongo vizuri tu.Lkn hawakuyafanya haya hadharani na kwa kukwaza wenzao
 
Mungu Ibariki Tanzania
Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
Blogg: www.katabazihappy.blogspot.com
We jamaa malisoka unataka uthibitisho gani zaidi?Wakati huyo dada kwenye Fb Account yake kaanika tukio zima na yeye ndio alikuwa shuhuda wa tukio?Ndi alimsaidia mzee wa Upako kurudi nyumbani akiwa amelewa tilatila.

Tatizo lenu,imani zenu mmeweka juu ya watu badala ya Mungu.Sasa mtu kwa ubinadamu wake akikengeuka kidogo tu mnapanic...Video zipo mitandaoni,tembelea Account ya Times Fm ambao ni majirani wa Mchungaji Lusekelo kule Kawe,wameweka hilo tukio kwa video.

Ngoja nikusanye ushahidi ndugu ninakuja sasa hivi... asante kwa link.
 
Jamii ielewe kuwa Utumishi Wa Mungu ni kazi kama zingine tu, na mtu/mfanyakazi anakuwa na maisha yake binafsi nje ya kazi hiyo kama watu wengine.
 
Misukule ya kabisa lake kesha ichuna vya kutosha acha ajiachie tu na mivinyo mambo ya pesa hayo wajinga ndiyo waliwao
 
Bila video hii hadithi haina utamu hata kidogo,inakuwa km hadith ya kusadikika tu
 
Back
Top Bottom