Kwa hii hali ni mbaya sana ajira za walimu

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,205
3,009
Zamani mtu akipangwa ualimu alikuwa anadharauliwa Sana, na kujiona Kama ualimu sio kazi nzuri.

Sahivi kupata kazi ya Mwalimu imekuwa deal kweli kweli, yaani Leo hii shule moja Tanzania inaitaji Mwalimu wa Geography lakini waombaji ni 500+

Vijana omba mungu mtapata,acheni kutoa hela eti mtapewa ajira, acheni kutafuta connection, sahivi Tamisemi wanatenda haki hakuna vya connection Wala Nini.

Lakini kazi mnayo
FB_IMG_16511462572044288.jpg
 
Mwenzake wa awamu ya 4 alikua anaajiri Walimu wore,likaja jamaa hilo sijui Lina roho ya wapi likagoma kuajiri kwa miaka 5 au likiajir linaajiri kiduchu matokeo yake ndio hayo Sasa.Watu wamerundikana mtaani kwa miaka 6 na bado lilikua linajiita eti Ni mtetezi wa wanyonge.Hovyo Sana.
 
Ungejua koneksheni kipindi hiki ndiyo inamata,wala isingesema hivyo japo nina uhakika lazima wale ambao hawana koneksheni watapata tu,ila vimemo ni vingi.
 
Ungejua koneksheni kipindi hiki ndiyo inamata,wala isingesema hivyo japo nina uhakika lazima wale ambao hawana koneksheni watapata tu,ila vimemo ni vingi.
Mbona Tamisemi wanapiga mkwara wanasema hamna vimemo
 
Back
Top Bottom