Kwa herini wana JF wote

NItonye! Hata kwa waganga wa kienyeji waishio porini, bado network ipo! Nadhani mtoa mada alihitaji kutuaga zaidi kusudi tujjue anakwenda kuongeza shule na ugumu (uncertainity) uliopo kuwa na hakika kama anaweza kupata free time kuingia JF. Wadau wamemhamasisha kuwa hapa jamvini panaitwa MTAKUJA-east or west lazima ukishaonja JF utarudi hata kama upo cyberia huwezi kuikimbia JF milele.
Kuna vyuo vya uganga wa kienyeji viko porini huko network haipo
 

Thanks bro
 
Yes ofcourse tunatakiwa tuwe na kiasi katika kila jambo

Sasa mbona unasema unashindwa kujicntrol kwenye social na hapo hapo unasema ulikuwa best. huoni unaingia kwenye kundi la wale wanaoitwa complicators
 
Hata kama unaenda masomoni
Ina maana hakuna mawasiliano huko?


Fika salama Kamanda!
 
kwa masomo yoyote kwa dunia ya leo bila kutembelea JF utakuwa na elimu ya makaratasi(vyeti) badala ya elimu ya ujuzi.

achana na makaratasi mkuu.

labda kama utakuja na ID mpya
 
Yaaani huko nje ndio utakuwa hutoki kwenye PC yako, JF utakuwa 24/7 humu!!
 
kwa masomo yoyote kwa dunia ya leo bila kutembelea JF utakuwa na elimu ya makaratasi(vyeti) badala ya elimu ya ujuzi.

achana na makaratasi mkuu.

labda kama utakuja na ID mpya

Wala siji na ID mpya na wala sina mpango wa kufanya hivyo kwa sababu sina sababu ya kunifanya mimi nifanye hivyo
 
ina maana hata ukipewa assignments hutajaribu hata ku-google japo upate ufafanuzi?
 

masomo mema mwaya. nitakuja kukutembelea hapo malimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…