huo ubunifu ungegharimu sh ngapi? sema hapo kuna issue ya kisheria mkuu,jengo liko ndani ya hifadhi ya barabara, sheria haiwezi kupindishwa for the sake of gharama, sheria ifuatwehebu jaribu kuangalia gharama zilizotumika kujenga jengo lenyewe na kiasi cha fedha kinachotumika kulibomoa
huo ubunifu ungegharimu sh ngapi? sema hapo kuna issue ya kisheria mkuu,jengo liko ndani ya hifadhi ya barabara, sheria haiwezi kupindishwa for the sake of gharama, sheria ifuatwe
mkuu vipi kama gharama ya kujenga hivyo ni kubwa ,may be wakaopt wabomoe, sheria yetu tuliyojitungia wenyewe inasemaje juu ya hilo?![]()
nchi za wenzetu wanapotaka kufanya jambo huwa hawakibali hasira izidi jambo linalotaka kufanywa ni kodi za watanzania zile.
sijafatiria ni kiasi gani kilitumika kujenga jengo lile ila nafatiria kisha nitakuja na data kamili ili tuone kama kuna hasara kiasi gani na ile fly over mpaka kukamilika ita gharimu kiasi gani.mkuu vipi kama gharama ya kujenga hivyo ni kubwa ,may be wakaopt wabomoe, sheria yetu tuliyojitungia wenyewe inasemaje juu ya hilo?
kiuhalisia pale ni padogo sana mkuu, kubomoa is inevitablesijafatiria ni kiasi gani kilitumika kujenga jengo lile ila nafatiria kisha nitakuja na data kamili ili tuone kama kuna hasara kiasi gani na ile fly over mpaka kukamilika ita gharimu kiasi gani.
MTU ana jina la kichina ya nini kubishana naye?mkuu,
yani sijakuelewa ulichoandika kabisa hebu soma tena wewe mwenyewe.
atakua usalama wa taifa qu qu hi hihKumbe una drive Canter?
MTU ana jina la kichina ya nini kubishana naye?
Mmepindisha sheria ngapi kwa manufaa binafsi ya lichama lenu la ovyo!?huo ubunifu ungegharimu sh ngapi? sema hapo kuna issue ya kisheria mkuu,jengo liko ndani ya hifadhi ya barabara, sheria haiwezi kupindishwa for the sake of gharama, sheria ifuatwe
mkuu mkiishiwaga hoja mnaanza toka mipovu sasa, nyie nyumbu. sheria sisipofuatwa mnalilia kinyama zikifuatwa mnalilia kinyama nawafananishaga na wachawi hamna jemaMmepindisha sheria ngapi kwa manufaa binafsi ya lichama lenu la ovyo!?
Hii ndo mmeona ya kufuata nyingine mnazokandamiza siyo sheria?mkuu mkiishiwaga hoja mnaanza toka mipovu sasa, nyie nyumbu. sheria sisipofuatwa mnalilia kinyama zikifuatwa mnalilia kinyama nawafananishaga na wachawi hamna jema
kama zipi?Hii ndo mmeona ya kufuata nyingine mnazokandamiza siyo sheria?
ha ha ha kwahiyo mkuu ulitaka barabara ipate katikati ya yale majengo pale, ua not serious nyumbu, hivi ushaliona hilo jengo la tanesco kwa macho kweli, kajengo kembamba vile unafanansha na hilo. wewe nyumbu go back to school aisee![]()
nchi za wenzetu wanapotaka kufanya jambo huwa hawakibali hasira izidi jambo linalotaka kufanywa ni kodi za watanzania zile.
Mliowavunjia nyumba Kimara wakiwa na zuio la mahakama mlifuata sheria ipi?kama zipi?
mkuu unachekesha sana huo ni mfano mojawapo ya ubunifu sasa wewe bila kufikiria umekurupuka hahaaaaaaaaaaaaa tuliza akili kwanza, pale fly over zinaweza pita hata kwa kuliweka lile jengo katika.ha ha ha kwahiyo mkuu ulitaka barabara ipate katikati ya yale majengo pale, ua not serious nyumbu, hivi ushaliona hilo jengo la tanesco kwa macho kweli, kajengo kembamba vile unafanansha na hilo. wewe nyumbu go back to school aisee
huo ubunifu unaohutaka ungekua ni bure? yaani sheria ivunjwe kisa kupisha ubunifu ,daa wanasiktsha sana hawa vijana
hujui kitu wew, nabishana na nyumbu. bora nivungemkuu unachekesha sana huo ni mfano mojawapo ya ubunifu sasa wewe bila kufikiria umekurupuka hahaaaaaaaaaaaaa tuliza akili kwanza, pale fly over zinaweza pita hata kwa kuliweka lile jengo katika.