Kwa Heri jengo letu

Kwa Heri jengo letu

huo mradi wa mwendokasi jamaa wangekuwa siriasi nao ungependezesha sana daslama!!
 
jamii forum kiboko, kumbe hadi tunamadereva wa mafuso humu, bila shaka atakuwa kamanda wa redbrigade humo kabeba zile bunduki zilizozungushiwa bendera ya chama chao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio Nimetoka mkoani kuingia daslamu Mkuu
 
Yule waziri aliyesema jengo kabla ya December 31 2017 jengo liwe limemalizika kubomolewa yuko wapi?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Atakuwa hapo katikati nae anapiga nyundo kubomoa...

matamko yao hawa jamaa utadhani walevi wa pombe ya mnazi
 
Back
Top Bottom