Kwa Heri jengo letu

Kwa Heri jengo letu

Mshobaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
1,717
Reaction score
685
a696c8075871297404ea3f9530ea0d85.jpg
 
la LOWASSA eeh hivi wakati linajengwa nani alikuwa waziri wa
'barabara' hahahaha
'
 
mbaya zaidi wamekosa ubunifu wa kubuni jinsi ya barabara kupita hapo mpaka wabomoe, na kinachokera na kuchukiza ni kutumia 700 million kubomolea jengo yani hasara juu ya hasara.
...shame on you MAGUFURI.
 
huo ubunifu unaohutaka ungekua ni bure? yaani sheria ivunjwe kisa kupisha ubunifu ,daa wanasiktsha sana hawa vijana
 
jamii forum kiboko, kumbe hadi tunamadereva wa mafuso humu, bila shaka atakuwa kamanda wa redbrigade humo kabeba zile bunduki zilizozungushiwa bendera ya chama chao
 
mbaya zaidi wamekosa ubunifu wa kubuni jinsi ya barabara kupita hapo mpaka wabomoe, na kinachokera na kuchukiza ni kutumia 700 million kubomolea jengo yani hasara juu ya hasara.
...shame on you MAGUFURI.

Ukiangalia mwisho wa hicho kivuko kwa ukweli kabisa kilikuwa mbali sana na JENGO la TANESCO issue hapo ni kutokuwa na BUSARA tu,chuki visasi vitatumaliza kama TAIFA,tunalipia maugomvi ya mijitu sijui ilifanyiana nini huko nyuma.
 
Yule waziri aliyesema jengo kabla ya December 31 2017 jengo liwe limemalizika kubomolewa yuko wapi?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom