Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini...!

Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini…!

Baada ya yote yanayotokea naomba turudi kuzungumzia maadili ya utaifa. Kwa maana ya utaifa kama msingi na alama ya uwepo wetu kama WATANZANIA, bila ya watanzania kuwa na maadili ya utaifa hakuna Maendeleo ama mabadiliko ambayo yatakuwa na maana.

Maadili ya utaifa yana maana kubwa sana kwa kila mtanzania, tujivunie utaifa wetu na tupende kutambulika kwa utaifa wetu.

Lakini maadili ya Taifa pia ni kutojiona bora kuliko wengine, kutokuwa mbinafsi kwa kujijali mwenyewe ama kikundi chako ama taasisi yako ama chama chako na badala yake kufanya kila jambo huku ukijali na kuweka mbele maslahi ya taifa. Tukianzia hapo, tutapata viongozi ama utawala unaojali zaidi maslahi ya taifa.

Tarehe 26/04/ ni siku ya muungano, muungano ni moja ya nembo muhimu kama Taifa, lakini pia ni ishara ya uwepo wa Taifa liitwalo Tanzania kwani Taifa hilo linatokana na maamuzi ya busara yaliyofanywa na waasisi wa muungano huo. Lakini pia ni elimu, historia na kumbukumbu kwa watoto na kizazi cha sasa kuwa kulikuwapo na matukio muhimu ya namna hii ambayo yalikuwa ni asili ya umoja wetu na utaifa wetu.

Kitendo cha viongozi waandamizi wa chadema kutohudhuria katika sherehe hizi kumeacha maswali na mkanganyiko mkubwa katika vichwa vya watanzania juu ya misimamo na itikadi za viongozi wa chama hiki kikuu cha upinzani hivi sasa.

  • Je, kwa kitendo hiki wanataka watanzania waamini kuwa wao hawana haja ya muungano na kwa maana hiyo muungano kwao sio kitu cha msingi kuadhimishwa
  • Ama hii ndiyo maana ya falsafa ya upinzani kuwa unapinga kila kitu kilichoasisiwa na viongozi wa chama tawala na serikali ( hata yale yanayowakilisha utaifa wetu)
  • Lakini tafsiri ya kuwepo kwa viongozi wengine wa vyama vya siasa (ccm, cuf, tlp,udp, cck n.k) na kukosekana kwao wao pekee ni ishara kuwa wao ni bora kuliko hawa wengine wote..?
  • Lakini kama hayo hayatoshi, viongozi hawa wananafasi gani katika matukio kama haya kulingana na falsafa ya wajibu wa raia "citizens obligation to nation" ni kweli wanayo nafasi ya kufanya dharau hii..?
  • Haya pamoja na mengine mengi ikiwemo kauli ambayo mpaka leo haijawahi kukanushwa ya mmoja wa vongozi waandamizi wa chadema kuwa hatahakikisha kuwa nchi hii "HAITAWALIKI" vina nafasi gani katika dhana ya UTAIFA wetu.

Labda niseme kuwa, ni vyema kwa watanzania, wanaharakati na yeyote aliye katika ari ya kuona mustakibali mwema wa nchi hii akatambua kuwa tunahitaji kuheshimu na kufuata maadili ya taifa na kusimamia utaifa wetu.
Ni kweli kuwa tunahitaji mabadiliko katika Nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, siasa na hata mabadiliko katika mienendo ya jamii yetu ila kwa hili la kudharau misingi ya umoja wetu na utaifa si jambo jema na wala hatuhitaji kufanya mabadiliko kwenye misingi ya utaifa wetu.

Jana taifa limeingiza kiasi gani cha fedha kutokana na hizo SHEREHE ZA MUUNGANO?
Karibu kila halmashauri hapa nchini waliaadhimisha hiyo miaka 48 ya Muungano, fedha kiasi gani zimetumika? Hiyo fedha wangekopeshwa wakulima isingewasaidia kukuza uzalishaji na hivyo kupunguza umasikini wa kipato?

JIULIZE MARA MBILI ZAIDI NA SIO KULETA USHABIKI WA KISIASA, UKISHABIKIA USICHOKIJUA (MUUNGANO).
 
Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini…!

Baada ya yote yanayotokea naomba turudi kuzungumzia maadili ya utaifa. Kwa maana ya utaifa kama msingi na alama ya uwepo wetu kama WATANZANIA, bila ya watanzania kuwa na maadili ya utaifa hakuna Maendeleo ama mabadiliko ambayo yatakuwa na maana.

Maadili ya utaifa yana maana kubwa sana kwa kila mtanzania, tujivunie utaifa wetu na tupende kutambulika kwa utaifa wetu.

Lakini maadili ya Taifa pia ni kutojiona bora kuliko wengine, kutokuwa mbinafsi kwa kujijali mwenyewe ama kikundi chako ama taasisi yako ama chama chako na badala yake kufanya kila jambo huku ukijali na kuweka mbele maslahi ya taifa. Tukianzia hapo, tutapata viongozi ama utawala unaojali zaidi maslahi ya taifa.

Tarehe 26/04/ ni siku ya muungano, muungano ni moja ya nembo muhimu kama Taifa, lakini pia ni ishara ya uwepo wa Taifa liitwalo Tanzania kwani Taifa hilo linatokana na maamuzi ya busara yaliyofanywa na waasisi wa muungano huo. Lakini pia ni elimu, historia na kumbukumbu kwa watoto na kizazi cha sasa kuwa kulikuwapo na matukio muhimu ya namna hii ambayo yalikuwa ni asili ya umoja wetu na utaifa wetu.

Kitendo cha viongozi waandamizi wa chadema kutohudhuria katika sherehe hizi kumeacha maswali na mkanganyiko mkubwa katika vichwa vya watanzania juu ya misimamo na itikadi za viongozi wa chama hiki kikuu cha upinzani hivi sasa.

  • Je, kwa kitendo hiki wanataka watanzania waamini kuwa wao hawana haja ya muungano na kwa maana hiyo muungano kwao sio kitu cha msingi kuadhimishwa
  • Ama hii ndiyo maana ya falsafa ya upinzani kuwa unapinga kila kitu kilichoasisiwa na viongozi wa chama tawala na serikali ( hata yale yanayowakilisha utaifa wetu)
  • Lakini tafsiri ya kuwepo kwa viongozi wengine wa vyama vya siasa (ccm, cuf, tlp,udp, cck n.k) na kukosekana kwao wao pekee ni ishara kuwa wao ni bora kuliko hawa wengine wote..?
  • Lakini kama hayo hayatoshi, viongozi hawa wananafasi gani katika matukio kama haya kulingana na falsafa ya wajibu wa raia “citizens obligation to nation” ni kweli wanayo nafasi ya kufanya dharau hii..?
  • Haya pamoja na mengine mengi ikiwemo kauli ambayo mpaka leo haijawahi kukanushwa ya mmoja wa vongozi waandamizi wa chadema kuwa hatahakikisha kuwa nchi hii “HAITAWALIKI” vina nafasi gani katika dhana ya UTAIFA wetu.

Kila mtu atafurahia Muungano iwapo maisha bora kwa kila mtanzania yataonekana. Muungano usitumike kama agenda ya kuonesha nani ni Mtaifa kweli na nani ni mwasi. Maneno mazuri ya kuenzi muungano wakati kwenye muungano hakuna haki, dhuluma imetawala, ufisadi umeshamiri, nk, inatusaidia nini. Watu hatuli Muungano bwana. Tunataka maendeleo. Muungano basi uwe ni kichocheo cha maendeleo, la sivyo upigwe chini.
 
"Siwapendi wazenji kuliko hata muuaji wa albino"-Mnyisanzu
 
Henge unafikiri kwa kutumia masaburi kabisa! Ni tabia yao kutohudhuria shughuli za kitaifa siyo hiyo tu, si unakumbuka hawakumtambua Rais lakini wakaenda kunywa kahawa walipokuwa na lao jambo. Sisi tunawajua hao CDM wanapenda umaarufu kwa vitu vidogo vidogo kama hivyo. Lazima wajitathimini kama kweli wanataka tuwapatie dhamana ya nchi hii. Kamwe hatutawapatia kama wana akili hilo za kipumbavu!

Wanajiamini ndio maana hawakuudhuri, Henje amekuzidi sana akili, wacha kutusi. Kama kwako ni vitu vidogo kwetu ni vikubwa.
 
Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini…!

Baada ya yote yanayotokea naomba turudi kuzungumzia maadili ya utaifa. Kwa maana ya utaifa kama msingi na alama ya uwepo wetu kama WATANZANIA, bila ya watanzania kuwa na maadili ya utaifa hakuna Maendeleo ama mabadiliko ambayo yatakuwa na maana.

Maadili ya utaifa yana maana kubwa sana kwa kila mtanzania, tujivunie utaifa wetu na tupende kutambulika kwa utaifa wetu.

Lakini maadili ya Taifa pia ni kutojiona bora kuliko wengine, kutokuwa mbinafsi kwa kujijali mwenyewe ama kikundi chako ama taasisi yako ama chama chako na badala yake kufanya kila jambo huku ukijali na kuweka mbele maslahi ya taifa. Tukianzia hapo, tutapata viongozi ama utawala unaojali zaidi maslahi ya taifa.

Tarehe 26/04/ ni siku ya muungano, muungano ni moja ya nembo muhimu kama Taifa, lakini pia ni ishara ya uwepo wa Taifa liitwalo Tanzania kwani Taifa hilo linatokana na maamuzi ya busara yaliyofanywa na waasisi wa muungano huo. Lakini pia ni elimu, historia na kumbukumbu kwa watoto na kizazi cha sasa kuwa kulikuwapo na matukio muhimu ya namna hii ambayo yalikuwa ni asili ya umoja wetu na utaifa wetu.

Kitendo cha viongozi waandamizi wa chadema kutohudhuria katika sherehe hizi kumeacha maswali na mkanganyiko mkubwa katika vichwa vya watanzania juu ya misimamo na itikadi za viongozi wa chama hiki kikuu cha upinzani hivi sasa.

  • Je, kwa kitendo hiki wanataka watanzania waamini kuwa wao hawana haja ya muungano na kwa maana hiyo muungano kwao sio kitu cha msingi kuadhimishwa
  • Ama hii ndiyo maana ya falsafa ya upinzani kuwa unapinga kila kitu kilichoasisiwa na viongozi wa chama tawala na serikali ( hata yale yanayowakilisha utaifa wetu)
  • Lakini tafsiri ya kuwepo kwa viongozi wengine wa vyama vya siasa (ccm, cuf, tlp,udp, cck n.k) na kukosekana kwao wao pekee ni ishara kuwa wao ni bora kuliko hawa wengine wote..?
  • Lakini kama hayo hayatoshi, viongozi hawa wananafasi gani katika matukio kama haya kulingana na falsafa ya wajibu wa raia “citizens obligation to nation” ni kweli wanayo nafasi ya kufanya dharau hii..?
  • Haya pamoja na mengine mengi ikiwemo kauli ambayo mpaka leo haijawahi kukanushwa ya mmoja wa vongozi waandamizi wa chadema kuwa hatahakikisha kuwa nchi hii “HAITAWALIKI” vina nafasi gani katika dhana ya UTAIFA wetu.

Labda niseme kuwa, ni vyema kwa watanzania, wanaharakati na yeyote aliye katika ari ya kuona mustakibali mwema wa nchi hii akatambua kuwa tunahitaji kuheshimu na kufuata maadili ya taifa na kusimamia utaifa wetu.
Ni kweli kuwa tunahitaji mabadiliko katika Nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, siasa na hata mabadiliko katika mienendo ya jamii yetu ila kwa hili la kudharau misingi ya umoja wetu na utaifa si jambo jema na wala hatuhitaji kufanya mabadiliko kwenye misingi ya utaifa wetu.

Baada ya kuona mambo si mambo sasa mnaanza kukimbilia utaifa! Hii nayo ni single mpya nayo itachuja na kuondolewa kwenye chart ila CDM watabaki palepale! Utaifa wakati taifa mmelimaliza!
 
Kwani utaifa ni kutambua muungano au kutokuutambua! Taifa linaweza kuwepo bila muungano, usilazimishe chadema wawe wanafiki kama wewe, chadema ina falsafa yake ya aina ya muungano inayoutaka! Huu wa sasa wa kificho hatuutaki! Tunataka uwazi, toeni hadharani hati ya muungano mnaficha nini?
 
Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini!

Baada ya yote yanayotokea naomba turudi kuzungumzia maadili ya utaifa. Kwa maana ya utaifa kama msingi na alama ya uwepo wetu kama WATANZANIA, bila ya watanzania kuwa na maadili ya utaifa hakuna Maendeleo ama mabadiliko ambayo yatakuwa na maana.

Maadili ya utaifa yana maana kubwa sana kwa kila mtanzania, tujivunie utaifa wetu na tupende kutambulika kwa utaifa wetu.

Lakini maadili ya Taifa pia ni kutojiona bora kuliko wengine, kutokuwa mbinafsi kwa kujijali mwenyewe ama kikundi chako ama taasisi yako ama chama chako na badala yake kufanya kila jambo huku ukijali na kuweka mbele maslahi ya taifa. Tukianzia hapo, tutapata viongozi ama utawala unaojali zaidi maslahi ya taifa.

Tarehe 26/04/ ni siku ya muungano, muungano ni moja ya nembo muhimu kama Taifa, lakini pia ni ishara ya uwepo wa Taifa liitwalo Tanzania kwani Taifa hilo linatokana na maamuzi ya busara yaliyofanywa na waasisi wa muungano huo. Lakini pia ni elimu, historia na kumbukumbu kwa watoto na kizazi cha sasa kuwa kulikuwapo na matukio muhimu ya namna hii ambayo yalikuwa ni asili ya umoja wetu na utaifa wetu.

Kitendo cha viongozi waandamizi wa chadema kutohudhuria katika sherehe hizi kumeacha maswali na mkanganyiko mkubwa katika vichwa vya watanzania juu ya misimamo na itikadi za viongozi wa chama hiki kikuu cha upinzani hivi sasa.

  • Je, kwa kitendo hiki wanataka watanzania waamini kuwa wao hawana haja ya muungano na kwa maana hiyo muungano kwao sio kitu cha msingi kuadhimishwa
  • Ama hii ndiyo maana ya falsafa ya upinzani kuwa unapinga kila kitu kilichoasisiwa na viongozi wa chama tawala na serikali ( hata yale yanayowakilisha utaifa wetu)
  • Lakini tafsiri ya kuwepo kwa viongozi wengine wa vyama vya siasa (ccm, cuf, tlp,udp, cck n.k) na kukosekana kwao wao pekee ni ishara kuwa wao ni bora kuliko hawa wengine wote..?
  • Lakini kama hayo hayatoshi, viongozi hawa wananafasi gani katika matukio kama haya kulingana na falsafa ya wajibu wa raia citizens obligation to nation ni kweli wanayo nafasi ya kufanya dharau hii..?
  • Haya pamoja na mengine mengi ikiwemo kauli ambayo mpaka leo haijawahi kukanushwa ya mmoja wa vongozi waandamizi wa chadema kuwa hatahakikisha kuwa nchi hii HAITAWALIKI vina nafasi gani katika dhana ya UTAIFA wetu.

Labda niseme kuwa, ni vyema kwa watanzania, wanaharakati na yeyote aliye katika ari ya kuona mustakibali mwema wa nchi hii akatambua kuwa tunahitaji kuheshimu na kufuata maadili ya taifa na kusimamia utaifa wetu.
Ni kweli kuwa tunahitaji mabadiliko katika Nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, siasa na hata mabadiliko katika mienendo ya jamii yetu ila kwa hili la kudharau misingi ya umoja wetu na utaifa si jambo jema na wala hatuhitaji kufanya mabadiliko kwenye misingi ya utaifa wetu.
Kuwepo kwenye tukio au kutokuwepo si hoja sana. Ulichokisema kina mashiko sana, je viongozi wetu wa serikali kuanzia raisi wetu na makamu wake na pia baraza lote la mawaziri na waziri
mkuu wana hizo sifa tajwa hapo juu?

Kama hawana sifa hizo tajwa hapo juu sasa hata kama wameudhuria ndio tusemaje sasa? Yamkini CDM hawapingi muungano bali wanapinga muundo wake. Hapa suluhu iliyopo ili kupata muungano wa kweli ni kuruhusu mijadala ya ni aina gani ya muungano wananchi wanataka.

Unajua ukiwa unakipinga kitu kuna njia nyingi zilizo na amani kuonyesha kama hukubaliani na kitu hicho.
Tafakari, chukua hatua, inaanza na wewe!
 
Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini…!

........

Kitendo cha viongozi waandamizi wa chadema kutohudhuria katika sherehe hizi kumeacha maswali na mkanganyiko mkubwa katika vichwa vya watanzania juu ya misimamo na itikadi za viongozi wa chama hiki kikuu cha upinzani hivi sasa.

  • ........
  • Haya pamoja na mengine mengi ikiwemo kauli ambayo mpaka leo haijawahi kukanushwa ya mmoja wa vongozi waandamizi wa chadema kuwa hatahakikisha kuwa nchi hii “HAITAWALIKI” vina nafasi gani katika dhana ya UTAIFA wetu.

Labda niseme kuwa, ni vyema kwa watanzania, wanaharakati na yeyote aliye katika ari ya kuona mustakibali mwema wa nchi hii akatambua kuwa tunahitaji kuheshimu na kufuata maadili ya taifa na kusimamia utaifa wetu.
Ni kweli kuwa tunahitaji mabadiliko katika Nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi, siasa na hata mabadiliko katika mienendo ya jamii yetu ila kwa hili la kudharau misingi ya umoja wetu na utaifa si jambo jema na wala hatuhitaji kufanya mabadiliko kwenye misingi ya utaifa wetu.

Hebu angalia hapo kwenye red,
Mimi najiuliza, hivi kila mtu aliyehudhuria kwenye sherehe za muungano atakuwa anaunga mkono muungano? au wengine walienda tu ili kulinda maslahi yao? Jaribu kujiuliza, kwa nini mambo mengi ya muungano hayaelewezi hata kwa viongozi? mfano swala la uchimbaji wa mafuta limeleta utata mkubwa sana mpaka sasa kuwa ni la muungano au sio la muungano.

Na hapo kwenye blue,
Hivi nchi hii ya Tanzania inatawalika kweli? Kila kiongozi anajifanyia mambo kivyake kwa maslahi yake binafsi. Hivi juzi-juzi tumeshuhudia mawaziri na manaibu wao wakishutumiana tuhuma nzito sana kana kwamba hawafanyi kazi pamoja. Hapo kuna utawala wowote??
Nchi hii kuna uozo wa kutisha sana kama vile mikataba mibovu ya madini, ufisadi, wizi wa mali za umma, rushwa, nk. hayo yote yanafanyika hadharani lakini hakuna lolote linalofanyika kuwaadhibu hao. Hapo vipi? Nchi inatawalika?? Au hayo yote ndio ishara hailisi ya UTAIFA.
 
Hivi nani alikuwa tarishi wa kugawa mialiko ya kuhudhuria sherehe za Mungano kati yenu mnaowajadili viongozi wa CDM.?
Kwa uwazi kabisa muungano una maswali mengi na liabilities nyingi kuliko potential benefits on both sides of the union.Na mbay zaidi kama tukifuata ushauri wa janga la Taifa wakati wa kuapishwa tume ya mabdiliko ya katiba. Tuponye muungano mapema kabla na wakati wa mabadiliko ya katiba la sivyo historia ya muungano itaishia hapo.
 
Wenye shida na huo muungano ni wale tu wenye maslahi nao binafsi. Maadili ya kitaifa yanapaswa kujengwa katika misingi ya haki na utawala wa kisheria. Wewe na hao CCM wenzako ndiyo wa kwanza kuipeleka nchi hii kwenye tope la dhuluma na utawala usiozingatia sheria na uwajibikaji. Vipaumbele vyenu viko wapi? Kwenye sherehe?

CHADEMA walitumia vizuri siku ya Muungano kuwaelimisha wadanganyika juu ya umuhimu wa kuleta mageuzi yenye tija, na siyo kushinda wanatizama maigizo uwanjani. Hata mimi nililetewa kadi ya mwaliko lakini nilihisi fedheha kwenda huko.
 
mm na shangaa watu wengine cdm nichama makini hakikurupuki kufanya maamuzi kutohuzuria kwenye sherehe za muungano ujue kuna mapungufu mengi yamesha onekana ndio maana wana hitaji kuona hati ya muungano sasa kwa watu wavivu wa fikra ndio mnata kila lilo anzishwa lifuatwe bila hata kufuatilia mwanzo ilikuaje wananchi walio wengi muungano hawautaki.
 
Baada ya kuona mambo si mambo sasa mnaanza kukimbilia utaifa! Hii nayo ni single mpya nayo itachuja na kuondolewa kwenye chart ila CDM watabaki palepale! Utaifa wakati taifa mmelimaliza!
Ni kweli mkuu hawa jamaa wanawaona watanzania ni wajinga sana. Eti anaongelea utaifa, hivi kuiba mali ya uma nayo ni utaifa? Kama ni utaifa basi viongozi wengi kwenye serikali ya CCM hawana sifa ya utaifa, viongozi wengi wanajali maslahi yao binafsi na utaifa kwao ni msamiati mgumu sana. Tuacheni kuwa wanafiki, hasa watanganyika. Ni heri hata ya wazanzibar wana uwezo wa kusema hadharani kwamba hawakubaliani na aina ya muungano uliopo.
Najua ni asilimia kubwa ya watanganyika hawataki aina hii ya muungano ila wanashindwa kujitokeza kutamka hadharani kwa sababu ya woga na unafiki uliowajaa mioyoni mwao!
 
Kabla ya kuthibitisha unayoyasema unatuambia kwamba pale jukwaa kuu watu wanajipeleka wanyewe kama mimi au wewe au kuna mwaliko maalum kwa viongozi wa vyama? Au ni chuki yako kwa CDM unataka kutuaminisha kwamba wamekosea kutokuwepo. Aidha nadhani unafahamu kuwa CUF na UDP ni vibaraka wa CCM so kuwepo kwao hatustui..tuache blaa blaa wa kutafuta umaarufu usio na tija. Tuletee hoja za maana tutakusapoti hata ile kashfa ya mapanki na uvamizi wa makazi ya Watanzania wenzetu wa Bulyanhulu 1996 kwa kuwaambia ni wakimbizi ilhali ni raia.
 
Hebu angalia hapo kwenye red,
Mimi najiuliza, hivi kila mtu aliyehudhuria kwenye sherehe za muungano atakuwa anaunga mkono muungano? au wengine walienda tu ili kulinda maslahi yao? Jaribu kujiuliza, kwa nini mambo mengi ya muungano hayaelewezi hata kwa viongozi? mfano swala la uchimbaji wa mafuta limeleta utata mkubwa sana mpaka sasa kuwa ni la muungano au sio la muungano.

Na hapo kwenye blue,
Hivi nchi hii ya Tanzania inatawalika kweli? Kila kiongozi anajifanyia mambo kivyake kwa maslahi yake binafsi. Hivi juzi-juzi tumeshuhudia mawaziri na manaibu wao wakishutumiana tuhuma nzito sana kana kwamba hawafanyi kazi pamoja. Hapo kuna utawala wowote??
Nchi hii kuna uozo wa kutisha sana kama vile mikataba mibovu ya madini, ufisadi, wizi wa mali za umma, rushwa, nk. hayo yote yanafanyika hadharani lakini hakuna lolote linalofanyika kuwaadhibu hao. Hapo vipi? Nchi inatawalika?? Au hayo yote ndio ishara hailisi ya UTAIFA.
Conguratulation!
Umechambua vizuri sana mkuu!
 
Muungano ni project ya magamba.Kwa watz wa kawaida hauna maana yeyote ile ni ufujaji wa mali na kodi za watz kwani hauna mvuto kama limwenge lao la ajabu.
 
There is no way one can construe the ‘Article of Union’ as a basis for a federal set-up. Nor can they be seen as an interim arrangement towards a one government. They intended to create a single state with two authorities, but with one of those authorities having a limited geographical jurisdiction. The effect of the intention was to deny Zanzibar the capacity to be an international actor, not to interfere with what was happening inside the country.

The majority of members of Nyalali commission felt that in a federal set-up, both Tanganyika and Zanzibar would retain their identity, federal areas would be clearly defined and the responsibilities of each would be understood, and the federal entity would be distinct from the national ones.

Discussions on the union were conducted very secretively. From the archival materials and the statements of those who were in the ‘corridors of power’ at the time, it would appear that not many people in the Tanganyika government or the Zanzibar Revolutionary Council knew what was happening. Apart from Nyerere and Karume, the only other people who might have been privy to those discussions were Rashidi Kawawa, Oscar Kambona, Job Lusinde, Abdallah Kassim Hanga, Abdul-Aziz Ali Twala and Salim Rashidi.

Nyerere is said to have called in his attorney-general at the time, British expert Roland Brown, and asked him to draft a union agreement without anybody knowing. In the case of Zanzibar, the attorney-general, Wolf Dourado, is said to have been sent on a one-week ‘leave’ and instead a Ugandan lawyer, Dan Nabudere (according to his own account which was corroborated by Babu), was brought in to advise Karume on the draft submitted by Tanganyika.

These are few extracts:
*A full version of this paper was published in 1993 by the Danish Centre for Development Research. It also appeared in the book Zanzibar and the Union Question, edited by Prof Chris Peter and Professor Haroub Othman
and published by the Zanzibar Legal Services Centre.
 
"Siwapendi wazenji kuliko hata muuaji wa albino"-Mnyisanzu
Mkuu punguza hasira, najua unasema haya kwa kuwa una hasira sana na jinsi muundo wa muungano ulivyo.
Hapa tatizo si wazanzibar wala watanganyika. Tatizo kubwa ni viongozi wetu kutokuwa na busara ya kutafuta aina nzuri ya muungano ili wote zanzibar na tanganyika turidhie. Wenyewe wanatumia mabavu tu kulazimisha aina hii ya muungano ambayo si nzuri kwetu sote yaani mzanzibar na mtanganyika.
Kwa kosa hilo ndio unakuta mtanganyika hampendi mzanzibari kwa kuwa anaona aina hii ya muungano inamnufaisha yeye tu. Hata kwa upande mwingine pia mzanzibar anaona vivyo hivyo.
Kwa hiyo hapa tusichukiane tukaleta dhambi ya ubaguzi. Wa kuwalaumu hapa ni viongozi wetu waliopo madarakani. Wasiendelee kuficha maradhi kwani kifo kitawaumbua.
Mkuu Mnyisanzu nakuomba futa kauli yako ili usiikaribishe dhambi ya ubaguzi ikutafune. Ni ushauri wangu tu mkuu na wala usijenge chuki na mimi.
 
Kuwepo kwenye tukio au kutokuwepo si hoja sana. Ulichokisema kina mashiko sana, je viongozi wetu wa serikali kuanzia raisi wetu na makamu wake na pia baraza lote la mawaziri na waziri
mkuu wana hizo sifa tajwa hapo juu?

Kama hawana sifa hizo tajwa hapo juu sasa hata kama wameudhuria ndio tusemaje sasa? Yamkini CDM hawapingi muungano bali wanapinga muundo wake. Hapa suluhu iliyopo ili kupata muungano wa kweli ni kuruhusu mijadala ya ni aina gani ya muungano wananchi wanataka.

Unajua ukiwa unakipinga kitu kuna njia nyingi zilizo na amani kuonyesha kama hukubaliani na kitu hicho.
Tafakari, chukua hatua, inaanza na wewe!
Well said dude!
Muundo wa Muungano una kasoro nyingi na zinazokandamiza watanganyika na kuwapa upendeleo wa wazi wazi wazenji ambao hata hivyo hawaridhiki na hawaishi kuchonga! Hao CUF waliohudhuria hizo sherehe agenda yao kuu (japo hawaisemi wazi wazi) ni kuvunja Muungano! Utaifa uko wapi hapo; kuhudhuria sherehe?

"UWOGA WETU WA KUWAUDHI WAZANZIBARI NDIO ULIOTUFIKISHA MAHALI PA KUIFANYA ZANZIBARI KUWA NA UZITO SAWA NA TANZANIA" - Thanx to Lissu & Chadema kwa ujasiri wa kusema ukweli. Jamani leteni hoja zenye mashiko hapa, watanzania sio vilaza tena kama mnavyodhani.
 
siku zote akili nyingi huondoa maarifa.

Poleni sana chadema.
Kama walikuwa hawautambui muungano mbona walikwenda kugombea uwakilishi kule uzini.

Unafiki mtupu.

siyo kwamba hawautambui, wanauchambua na kuona kuwa hauna maslahi kwa taifa !kwani kuhudhuria sherehe ya jambo ni kuunga mkono ? wapo wanaohudhuria kwa unafiki tu. Itatusaidia nini ?
 
Back
Top Bottom