Kwa hali hii wengi wanatembea bila kuvaa

Kwa hali hii wengi wanatembea bila kuvaa

Kama kavaa mini skirt lazma arudi maana vile vinguo ni lazma akijiachia kidogo kakitumbua nje nje

sent from my Tecno W3
 
Huyo mdada kuna kitu kinamic kwenye ubongo wake kwa sababu kama mambo ya msingi kama hayo anasahau ni mangapi ambayo pia ni ya muhimu anayapotezea? Sipati picha mdada aliyelelewa kimaadili anasema amesahau kuvaa chupi!!!!!!! aibu yake na huyo nadhani atakuwa anafanya biashara yetu ile na hasa ukizingatia sasa hivi tupo kwenye kuweka mazingira wezeshi ya biashara.
mpaka sasa najiuliza kama huyu ni mmoja je kuna wangapi wenye kusahau
 
Huo wa kuvaa chupi ni ulimbukeni mbona chupi zimeanza hivi karibuni ninajua aliyeandika hapa ni mwanafunzi miaka yote tumeishi bira kuvaa chupi .
Na zilipoanza zilikuja chupi zinaitwa VIP hazikuchagua mwanamke au mwanaume zilikua aina moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app

maoni yako yamepokelewa na yataheshimiwa
 
Ninachojua tu ni kwamba Wanawake wengi wa Dar es Salaam kwa wastani huvaa Chupi ndani tu ya siku 3 au 5 au 7 na zinazobaki Mbunye zao huwa zinaoga sana Vumbi la Jiji huku zikipigwa na Kipupwe cha Indian Ocean. Mwendo mdundo, mbele kwa mbele na kanyaga twende.
Mkuu unataka kusema kuwa alikua anataka kutupa ujumbe ili tufahamu tabia zao
 
Kweli sasa ya nini kwanza naonaga inaninyima Uhuru kutembea, inabana, Bora kikaptula kinacholegea legea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom