ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,233
- 2,161
Yes ...95% ya wanawake ni wapiga virungu.....ukiwa HB na mtanashati bila hela ni kazi bure......mademu wanataka matunzo ya maana....sasa kama hauna uwezo huo unategemea nini hata kama anakupenda zaidi ya kugongewa na wajuba?95% wanawake wapo hivyo
Wanawake Duniani kote wanapenda mwanaume HB na Mtanashati
Labda ujidanganye.