Kwa hali hii tutawaachia dunia tujiondokee

Kwa hali hii tutawaachia dunia tujiondokee

Sipingani na mada ila ntaendelea kumpa mpenzi wangu hela.
Naomba nisiulizwe chochote
 
Mwanaume ukiwa huna chaku-offer lazima uombwe Pesa.

Tafuta anayekupenda hizi hadithi utazisahau.

Wanawake wanapenda wanaume watanashati, HB, wacheshi, wanaojua kupeti peti.
Ukishakuwa na hayo pesa haitakutoka.

Ukiwa mchafu, Sura ngumu, kauzu usiyemcheshi, usiyejua kubembeleza lazima utoe Pesa.
 
Wanawake wa dizaini hii wapo asimilia 5 tu
 
Hivi kweli nyinyi wanawake hamjawaza kitu kingine mnapoingia kwenye mahusiano tofauti na pesa?? Nimekutana nao kwenye hiace wanaongea, "yule mwanaume ntamuacha, siwezi kukaa na mtu ambae hanijali!! Namuomba hela ya kusuka bila aibu ananipa 10, 000 akati anajua ni 40, 000"
Tunawapa muda, mapenzi, pesa ila hata kwenye akili zenu hatupo, mko kimasirahi zaidi!!
Mungu anawaona!!!!
Njooni kwenye thread mseme neno hata moja tu!!

Sema kimeumana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Poleni kizazi chetu ambacho hakiombi pesa ndo kimeisha kama wamebaki labda 6 tuu. Hivyo pambaneni tuu mliambiwa mtakula kwa jasho ikiwa pamoja na kumkula mdada utatokwa na jasho wakati wa kutafuta hela ya kumpooza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom