Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Hi members, nitaanza kwa kujitambulisha hapa chini kabla ya kwenda kwenye mada kamili.

Jina: Free ideas(Not official)
Umri:29yrs
Elimu:Shahada
Kabila:Kanda ya ziwa
Familia: Married with 2 kids

Kiufupi nimesoma 0-A level hapa Tanzania kisha nikaenda nje ya nchi(Europe) kuchukua Bachala.

Binafsi kuna hali inanitokea hua mpaka mwenyewe nashindwa kujielewa kama ni kwangu tu ama hata kwa watu wengine, lakini kila nikijaribu kumsimulia mtu kuhusu yanayonitokea hua ananishangaa na kuona kwamba mimi sio mtu wa kawaida.

Nitaeleza japo kwa ufupi hapa chini kuhusu hali hiyo.

1. Nikiwa bado nasoma(primary), sikuwahi kakaa n kujisomea iwe wakati wa mitihani ala la!, kuna wamwaka niliugua mapunye(mashilingi)kichwani nikakaa nyumbani miez 10 nikaenda shule baada ya kupona mwezi wa 11.Week iliyofuata kukawa na mitihani ya kufunga shule kuingia darasa la sita.

Nilifanya mtihani ule bila maadalizi yoyote na kuna walimu walitaka nisiwanye mtihani kwa sababu sikuwepo almost mwaka mzima.Nikalia sana wakaniacha nikafanya.Matokea yalipotoka nikawa mtu wa pili (2) kati ya watu mia moja thelethini na nane( 138.) Mwalimu mkuu aliniita akitak nimwambie kama nilipewa mtihani na mwalimu yeyote , lakini aligundua kwamba sikupewa mtihani.
.
.
2. Napenda sana kukaa mwenyewe na hua nikiwa mwenyewe najikuta naongeaongea na wakati mwingine kucheka mwenyewe.Pia mama yangu aliponizaa anasema kwanza hakusikia uchungu wa uzazi kabisa.Pia nilipozaliwa tu nilicheka badala ya kulia kama watoto wengine.Nikiwa na miaka 3 nikikua na uwezo wa kusoma bila kukosea.
.
.
3. Nikiota kitu ndotoni hua haipiti siku tatu kinatokea kweli.Mwezi ulopita niliota nimepata ajali ya kugongana na bajaji kisha nikaumia kichwani.Baada ya siku mbili nilipata ajali kweli na nikaumia kwenye paji la uso.Hata rangi ya bajaji niliyoota ilikua nyekundu na kweli bajaji ilikua nyekundu.
.
.
4. Nina uwezo wa kujua mgeni gani atanitembelea nyumbani kwangu na kweli mgeni huyo atakuja.Wakati mwingine mke wangu hua anaogopa ninapomwambia leo atakuja mgeni kavaa nguo flani na atakuja kwa shida flani.Nilitabili mama yake mzazi atakuja mwezi flani na akakuja na mtoto mdogo na watakua wamevaa hibi na kweli ikawa hivyo.
.
.
5. Kuna siku nilikua mahala nimekaa vichakani kama kawaida yangu kukaa mwenyewe, nikahisi kuna nyuka mweusi nyuma yangu katokea shimoni.Nilichofanya ni kuinuka taratibu kusonga mbele na kweli ile nageuka nakuta nyoka mweusi.
.
.
6. Mwaka mmoja kabla ya babu wa Loliondo nikiwa nje ya nchi nilimwambia jamaa yangu kwamba mwakani kuna mtu ataibuka maarufu kwa kusema anatibu ukimwi tanzania na atapata watu wengi.Kweli ikawa jamaa yangu mpaka leo anaamini mimi ni ndugu yake huyo babu na kwamba nilijua paln zake.
.
.
7. Nikiwa masomoni nje ya nchi sijawahi kukaa na kujisomea zaidi ya kuangalia movie za ki-Intelejensia na documentary za sayansi lakini hakuna mzungu hata mmoja amewahi kunipita darasani ama kwenye presentation, nimekua nikifanya vizur sana.Baadhi ya presentation zangu na machapisho yangu naskia zinatumiwa chuoni hapo na walimu.(lecturers)
.
.
8. Ninaweza kujua kwamba week ijayo nitaumwa na kulazwa kwa siku kadhaa.Pia naweza kujua nitaumwa ugonjwa gani ama malaria ngapi na hata nikipimwa hua ni kweli idadi ile ile.Mwezi ulipita nilimwambia wife nimewaza kua nitaumia mguu mlangoni, nakweli nikaumia mguu na mpaka sasa sijapona vizuri.
.
.
9. Ninauwezo mkubwa sana wa kutumia computer kufanya kazi.
Naweza kuchapa kwa kasi sana bila kukosea hata herufi moja.Naweza kutatua tatizo la computer lililowashinda mafundi japo sijasoma kabisa maswala ya computer.
.
.
11. Naweza kujua mawazo ya mtu hasa kabla hajaongea hata kama ni mara ha kwanza kuonana nae.Lakini pia naweza kujua kama mtu anasema uongo ama ukweli.Mke wangu akiniaga anakwenda sehemu hua najua anakwenda wapi na muda atakaorudi najua au kama kuna dharura atapata hua najua.
.
.
12. Ninaweza kuongea lugha tano za kimataifa(tofauti na kiswahili na kiingereza) kwa ufasaha lakini sijafanya kozi ya lugha hata moja kati ya hizo.Lugha hizo ni pamoja na kifaransa, kijerumani, kichina, kihispania, kihindi na kiarabu.Nimejifunza kupitia simu ya mkononi.
.
.
13. Sipendi kabisa habari za Dini na maswala yamuhusuyo mungu(mimi ni Atheist) na hua najickia vibaya sana kujadili maswala hayo.Ninaamini hakuna mungu.Pia sina ushabiki wa vitu vinavyopendwa na watu wengi mfano mpira ama siasa.
.
.
14. Napenda kukaa sana vijijini (japo kwa sasa niko mjini sababu ya kazi)na kufanya kazi huko, sipendi kuajiliwa na wala sifurahii kabisa kulipwa mshahara na mtu mwingine.Napenda pia kuzunguka zunguka sehemu zenye mito ama maji yanayotiririka na kuyaangalia huku nikijiongelea mwenyewe.
.
.
15. Kuna mwaka flani nilikua kijijini eneo la mto akili ikanituma niangalie juu ghafla kikashuka kitu kizito sana kutoka angani kama jiwe kubwa, baada ya kutua chini ghafla kitu kile kikageuka ndege mzuri na sijawahi kuona ndege wa aina kama ile tena mpaka leo.Ndege yule aliruka ruka kunizunguka kisha akapaa kurrudi angani vertically. Cha ajabu sikuogopa kabisa hali ile.
.
.
16. Tangu nizaliwe nimefanya mapenzi kwa mara ya kwanza nikiwa na mke wangu.I mean sikuwahi kufanya mapenzi hapo kabla sijaoa.Katika kipindi hicho chote sikuwahi kuwa na hisia na mwanamke yaani kutamani kufanya sex.
.
.
17. Tangu niwe na akili timamu sijawahi kutoa chozi kwa maana ya kulia.Hata misibani nikienda hua naona ni hali ya kawaida na napenda sana kuishika maiti hasa kichwani.Wakati mwingine hua naomba nioshe maiti iliradi niishike kichwa tu kisha nami najishika kichwa halafu naondoka msibani.
.
.
18. Napenda harufu mbaya sana.Nikipita mahali kuna mzoga naweza kumaliza nusu saa hapo navuta harufu mpaka tumbo hua linajaa.Nikimuona mtu analia ama yuko kwenye huzuni mimi hua nafsi inafarijika na napenda kumwangalia huku natabasamu.
.
.
19. Sina hasira hata mtu akiniudhi namna gani.Hua nacheka na kutabasamu muda wote.Kuna baadhi ya ndugu wanadhani mimi ninamatatizo ya kiakili.
.
.
20. Nikiwa kazini hua ninatumia muda mwingi kufanya kazi za wafanyakazi wenzangu maana zangu hua namaliza kabla ya saa 3 asubuhi.Ofisini tunapangiwa kazi za siku husika hivyo mimi namaliza mapema hata kama kazi ngumu na kisha huwasaidia wengine karibu wote.Kufika sa sita kazi zote zimekwisha.Boss wangu hua ananipa majukumu hata yasiyo yangu (ya kwake)lakini nayafanya kwa haraka na kwa usahihi kabisa.
.
.
21. Sikuwahi kujifunza koz yoyote ya udereva lakini ninaendesha gari aina zote kwa ufasaha.Ninaweza kutumia mitambo mbali mbali hata kama ni mara ya kwanza kuuona.

Mwisho:

Hali hii inaniletea usumbufu sana kwa kua wengine wananitafrisi vibaya kutokana na tabia zangu.

Nimeleta hapa nipate ushauri wenu na kama kuna yeyote ambaye hali kama hii inamtokea nipate kujua kama ni tatizo ama ni kawaida.

.....Free ideas.......
You're a wierdo.

Kufurahia wengine wakiwa na huzuni ama kulia inaonyesha una ushetani ndani yako.

Halafu btw umesema hau type makosa yoyote, mbona kwenye bandiko lako tayari kuna makosa ya kutosha?

Hizo karama nyingine ni kama vile una karama ya kuwa physicist. Hao wana uwezo wa kuwasiliana na roho mfu ambazo huweza kuwaambia mambo yatakayotokea, au ambayo hayaonekani kwa macho ya kawaida.

Marekani polisi huwa wanawatumia watu kama wewe kukamata wahalifu.
 
Ndugu yangu yote uliyoeleza yanashangaza lakini yanaeleweka kwa mtu mwenye ufahamu wa mambo ya kiroho. Sitapenda sana kukueleza wewe ni nani au una jambo gani. Lakini kwa maelezo yako hayo tafadhali mtafute mtu wa kweli wa Mungu (najua n vigumu maana wengi si wa kweli) akuombee manake yawezekana sana roho fulani ipo nawe na itajitokeza baadaye kwa ajili ya kazi fulani ambayo si ya Mungu. Una roho wa utambuzi na hatoki kwa Mungu, roho hizi zinaitwa familiar spirits, ni vitu vya kurithi kutoka familia yako. Kuna wakati utafika utaanza kufanya mambo ya ajabu ya kiroho kuliko sasa na utakuwa unafanya kwa ajili ya ufalme wa giza. Pengine hata sasa wafanya hivyo kwa kujua ama kwa kutokujua. Kuwa mkweli na mtafute Mungu wa kweli na Kweli yake ambaye na YESU KRISTO pekee akusaidie usipotelee kwenye shimo la uongo na uharibifu wa milele!
 
Nilipochoka mm, Mara umejajili hapo hapo unawasaidia wafanyakazi wenzio kazi mlopangiwa na boss wenu!!! jipange upya
 
Kaka una mijini hizi tabia ulizoziweka ni ushahidi kamili, ila yawezekana yanakupa uwezo kutenda yenye manufaa na wewe. Ni ukosefu wa kuelewa kusema huamini uwepo wa M/Mungu wenye akili sahihi na iliyosalimika na uchafuzi wa mawazo ya dunia hii lazima waamini kuwa yupo muumba na ndie anaendesha ulimwengu.
Nakushauri juu ya uwezo wako wote jaribu kujizuwia ama kucontrol baadhi ya tabia zako kwa mfano huwezi kusema unapenda harufu mbaya ama kumgusa maaiti kichwa na nk kama ulivyozitaja.
Kiufupi hautakuwa sawa kwa vijitabia hivyo kaa utafakari na kuepukana na akili ya kujiona ni genius kwa uwezo huo.
 
As this is a public platform, I have got a chance to pass through it and having read between lines of the post and the comments, I have something to contribute:-

This Man has some Traits which are exactly abnomal (If it's really true what he is claiming).

Some of the traits may be associated with Geniusness But other traits I think they are not genius characters. Some traits like to recognize a person's name, his trib or backgrounds. I have no the right to call them Demon Actions simply because I'm not a Local witchcraft to know that.

The wise decisions and Opinions were to appreciate first the abilities possessed by the guy and keep testing of the things claimed by guy (that he is able to do them)
As far as this is concerned, I have started to be convinced of language abilities of the guy.

Please, I would appreciate other Bilinguals (of the languages he claims to know) to show up here and make conversation with the guy to see if he says truth.

I think it is not proper to attack directly the Man without being sure of what he is saying. Some of the people do not know even Who a genius Person is and what are the Traits of genius, Yet he Keeps on Attacking, hahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Lastly, I think genius never doubt of who they are. This is because how they are is how they were created to be. There is no way they can feel themselves as not normal human beings unless possessed by other external things.

Let us meet together if possible.
 
Wewe utakua a Fool Genius maana ata kuandika ni tatizo kwako
 
You're a wierdo.

Kufurahia wengine wakiwa na huzuni ama kulia inaonyesha una ushetani ndani yako.

Halafu btw umesema hau type makosa yoyote, mbona kwenye bandiko lako tayari kuna makosa ya kutosha?

Hizo karama nyingine ni kama vile una karama ya kuwa physicist. Hao wana uwezo wa kuwasiliana na roho mfu ambazo huweza kuwaambia mambo yatakayotokea, au ambayo hayaonekani kwa macho ya kawaida.

Marekani polisi huwa wanawatumia watu kama wewe kukamata wahalifu.
Hi members, nitaanza kwa kujitambulisha hapa chini kabla ya kwenda kwenye mada kamili.

Jina: Free ideas(Not official)
Umri:29yrs
Elimu:Shahada
Kabila:Kanda ya ziwa
Familia: Married with 2 kids

Kiufupi nimesoma 0-A level hapa Tanzania kisha nikaenda nje ya nchi(Europe) kuchukua Bachala.

Binafsi kuna hali inanitokea hua mpaka mwenyewe nashindwa kujielewa kama ni kwangu tu ama hata kwa watu wengine, lakini kila nikijaribu kumsimulia mtu kuhusu yanayonitokea hua ananishangaa na kuona kwamba mimi sio mtu wa kawaida.

Nitaeleza japo kwa ufupi hapa chini kuhusu hali hiyo.

1. Nikiwa bado nasoma(primary), sikuwahi kakaa n kujisomea iwe wakati wa mitihani ala la!, kuna wamwaka niliugua mapunye(mashilingi)kichwani nikakaa nyumbani miez 10 nikaenda shule baada ya kupona mwezi wa 11.Week iliyofuata kukawa na mitihani ya kufunga shule kuingia darasa la sita.

Nilifanya mtihani ule bila maadalizi yoyote na kuna walimu walitaka nisiwanye mtihani kwa sababu sikuwepo almost mwaka mzima.Nikalia sana wakaniacha nikafanya.Matokea yalipotoka nikawa mtu wa pili (2) kati ya watu mia moja thelethini na nane( 138.) Mwalimu mkuu aliniita akitak nimwambie kama nilipewa mtihani na mwalimu yeyote , lakini aligundua kwamba sikupewa mtihani.
.
.
2. Napenda sana kukaa mwenyewe na hua nikiwa mwenyewe najikuta naongeaongea na wakati mwingine kucheka mwenyewe.Pia mama yangu aliponizaa anasema kwanza hakusikia uchungu wa uzazi kabisa.Pia nilipozaliwa tu nilicheka badala ya kulia kama watoto wengine.Nikiwa na miaka 3 nikikua na uwezo wa kusoma bila kukosea.
.
.
3. Nikiota kitu ndotoni hua haipiti siku tatu kinatokea kweli.Mwezi ulopita niliota nimepata ajali ya kugongana na bajaji kisha nikaumia kichwani.Baada ya siku mbili nilipata ajali kweli na nikaumia kwenye paji la uso.Hata rangi ya bajaji niliyoota ilikua nyekundu na kweli bajaji ilikua nyekundu.
.
.
4. Nina uwezo wa kujua mgeni gani atanitembelea nyumbani kwangu na kweli mgeni huyo atakuja.Wakati mwingine mke wangu hua anaogopa ninapomwambia leo atakuja mgeni kavaa nguo flani na atakuja kwa shida flani.Nilitabili mama yake mzazi atakuja mwezi flani na akakuja na mtoto mdogo na watakua wamevaa hibi na kweli ikawa hivyo.
.
.
5. Kuna siku nilikua mahala nimekaa vichakani kama kawaida yangu kukaa mwenyewe, nikahisi kuna nyuka mweusi nyuma yangu katokea shimoni.Nilichofanya ni kuinuka taratibu kusonga mbele na kweli ile nageuka nakuta nyoka mweusi.
.
.
6. Mwaka mmoja kabla ya babu wa Loliondo nikiwa nje ya nchi nilimwambia jamaa yangu kwamba mwakani kuna mtu ataibuka maarufu kwa kusema anatibu ukimwi tanzania na atapata watu wengi.Kweli ikawa jamaa yangu mpaka leo anaamini mimi ni ndugu yake huyo babu na kwamba nilijua paln zake.
.
.
7. Nikiwa masomoni nje ya nchi sijawahi kukaa na kujisomea zaidi ya kuangalia movie za ki-Intelejensia na documentary za sayansi lakini hakuna mzungu hata mmoja amewahi kunipita darasani ama kwenye presentation, nimekua nikifanya vizur sana.Baadhi ya presentation zangu na machapisho yangu naskia zinatumiwa chuoni hapo na walimu.(lecturers)
.
.
8. Ninaweza kujua kwamba week ijayo nitaumwa na kulazwa kwa siku kadhaa.Pia naweza kujua nitaumwa ugonjwa gani ama malaria ngapi na hata nikipimwa hua ni kweli idadi ile ile.Mwezi ulipita nilimwambia wife nimewaza kua nitaumia mguu mlangoni, nakweli nikaumia mguu na mpaka sasa sijapona vizuri.
.
.
9. Ninauwezo mkubwa sana wa kutumia computer kufanya kazi.
Naweza kuchapa kwa kasi sana bila kukosea hata herufi moja.Naweza kutatua tatizo la computer lililowashinda mafundi japo sijasoma kabisa maswala ya computer.
.
.
11. Naweza kujua mawazo ya mtu hasa kabla hajaongea hata kama ni mara ha kwanza kuonana nae.Lakini pia naweza kujua kama mtu anasema uongo ama ukweli.Mke wangu akiniaga anakwenda sehemu hua najua anakwenda wapi na muda atakaorudi najua au kama kuna dharura atapata hua najua.
.
.
12. Ninaweza kuongea lugha tano za kimataifa(tofauti na kiswahili na kiingereza) kwa ufasaha lakini sijafanya kozi ya lugha hata moja kati ya hizo.Lugha hizo ni pamoja na kifaransa, kijerumani, kichina, kihispania, kihindi na kiarabu.Nimejifunza kupitia simu ya mkononi.
.
.
13. Sipendi kabisa habari za Dini na maswala yamuhusuyo mungu(mimi ni Atheist) na hua najickia vibaya sana kujadili maswala hayo.Ninaamini hakuna mungu.Pia sina ushabiki wa vitu vinavyopendwa na watu wengi mfano mpira ama siasa.
.
.
14. Napenda kukaa sana vijijini (japo kwa sasa niko mjini sababu ya kazi)na kufanya kazi huko, sipendi kuajiliwa na wala sifurahii kabisa kulipwa mshahara na mtu mwingine.Napenda pia kuzunguka zunguka sehemu zenye mito ama maji yanayotiririka na kuyaangalia huku nikijiongelea mwenyewe.
.
.
15. Kuna mwaka flani nilikua kijijini eneo la mto akili ikanituma niangalie juu ghafla kikashuka kitu kizito sana kutoka angani kama jiwe kubwa, baada ya kutua chini ghafla kitu kile kikageuka ndege mzuri na sijawahi kuona ndege wa aina kama ile tena mpaka leo.Ndege yule aliruka ruka kunizunguka kisha akapaa kurrudi angani vertically. Cha ajabu sikuogopa kabisa hali ile.
.
.
16. Tangu nizaliwe nimefanya mapenzi kwa mara ya kwanza nikiwa na mke wangu.I mean sikuwahi kufanya mapenzi hapo kabla sijaoa.Katika kipindi hicho chote sikuwahi kuwa na hisia na mwanamke yaani kutamani kufanya sex.
.
.
17. Tangu niwe na akili timamu sijawahi kutoa chozi kwa maana ya kulia.Hata misibani nikienda hua naona ni hali ya kawaida na napenda sana kuishika maiti hasa kichwani.Wakati mwingine hua naomba nioshe maiti iliradi niishike kichwa tu kisha nami najishika kichwa halafu naondoka msibani.
.
.
18. Napenda harufu mbaya sana.Nikipita mahali kuna mzoga naweza kumaliza nusu saa hapo navuta harufu mpaka tumbo hua linajaa.Nikimuona mtu analia ama yuko kwenye huzuni mimi hua nafsi inafarijika na napenda kumwangalia huku natabasamu.
.
.
19. Sina hasira hata mtu akiniudhi namna gani.Hua nacheka na kutabasamu muda wote.Kuna baadhi ya ndugu wanadhani mimi ninamatatizo ya kiakili.
.
.
20. Nikiwa kazini hua ninatumia muda mwingi kufanya kazi za wafanyakazi wenzangu maana zangu hua namaliza kabla ya saa 3 asubuhi.Ofisini tunapangiwa kazi za siku husika hivyo mimi namaliza mapema hata kama kazi ngumu na kisha huwasaidia wengine karibu wote.Kufika sa sita kazi zote zimekwisha.Boss wangu hua ananipa majukumu hata yasiyo yangu (ya kwake)lakini nayafanya kwa haraka na kwa usahihi kabisa.
.
.
21. Sikuwahi kujifunza koz yoyote ya udereva lakini ninaendesha gari aina zote kwa ufasaha.Ninaweza kutumia mitambo mbali mbali hata kama ni mara ya kwanza kuuona.

Mwisho:

Hali hii inaniletea usumbufu sana kwa kua wengine wananitafrisi vibaya kutokana na tabia zangu.

Nimeleta hapa nipate ushauri wenu na kama kuna yeyote ambaye hali kama hii inamtokea nipate kujua kama ni tatizo ama ni kawaida.

.....Free ideas.......

Huwezi kujiita "genius" hata chembe sababu huja excel katika taaluma yoyote kwa namna iliyoleta new knowledge au innovation duniani. Wewe ni wale wanaitwa "savant" na kwa kifupi ni mental.
 
Ok! tuazie hapa kisha tutarejea
-Namna ya kutoa bios password kwa mtu aliyesahau password
 
Mkuu hali yako si ugenious ila ni ESP - Extra Sensory Perception.Yaani wewe unaona na kuhisi vitu ambavyo wengine hawawezi.Kama ulikaa ng'ambo - hukueleza nchi - kwa nini hukwenda kwa wanasaikolijia wakueleze ni nini hicho ulicho nacho? Ulipoteza fursa nzuri ya kujifahamu.

Anyway hongera kwa vipaji hivyo ulivyo navyo na nakushauri isitokee ukaenda kuishi Mwanza, Shinyanga, Tabora. Watakuchoma moto!
 
JF raha sana, karibia kila mtu ameenda ulaya, ana gari zuri ana maisha mazuri, ni genius, ni fundi mzuri n.k
Mbona wenye shida wapo na wanajitokeza na namshukuru Mungu nimewasaidia a number of them. Mpaka alete hapa ameona inakwaza wengine. Na ndio maana wengine huitwa wachawi kumbe kutokana na akili alizo nazo. Kwa kifupi hawa ndio wanaoitwa genius. He is genius there is no doubt about it kutokana na maelezo aliyoyatoa mfano, wa kuwa mgonjwa lakini kuja akafaulu tena kwa kiwango cha juu. Kuweza kuelewa lugha kwa urahisi kwa muda mfupi. Hiyo anayosema hapendi kuajiriwa ni kweli kwanza genius hawapendi sana kuchangamana na watu kwa sababu watu wengi huwa hawawaelewi kutoka na na vitendo vyao. Mimi nina ndugu yangu naamini ni genius, namuombaga labda anifanyie mahesabu ya ujenzi ( ni engineer) jamani endapo isingekuwa ndugu yangu sijui ningesemaje hata kueleza hapa nashindwa hiyo speed anayotumia kujumlisha! namuuliza tayari unahitaji Tsh. fulani. nahuwa perfect hakosei. Alijifunza kifaransa kama part time , huwezi kuamini.
Sas huyu kijana there is no doubpt about it ana akili zilizopitiliza. Kuna vitabu vinasema binadamu anatumia asililimia ndogo sana ya akiliyake na kuna vitu vingi sana havijagundulika. Kwa kuwa humu wengi ni wazazi/ mtakuwa wazazi lazima mgudue kuna watoto wenye akili za ziada ambao hufanya mambo ambayo yanaweza kukushangaza , badala ya kutenga msaidie. mambo yenyewe ni km,. yafuatayo
1. Kujitenga na watoto/watu wengine
2. Wengine hata hawapendi formal education as inawa-boa .
3. So rahisi kuongoza maana hawawaelewi hawa slow-workers- wanashangaa kitu rahisi mtu anashindwa- namkumbuka mtoto wa huyo ndugu yangu ( kuna wakati nilikuwa likizo nikakaa kwao) - mtoto wake alikuja kunieleza Mwalimu wake anamchelewesha akimaliza hesabu na kupeleka isahihishwe ( na hapo ni few minutes mpaka mwalimu anashangaa) mwalimu anamwambia arudi kwanza asubiri wengine..
Kifupi mtoa mada wewe ni genious, ila kuna mambo mfano ya kushika kicwa cha marehemu kwa kuwa una kuwa uko conscious jarubu kujiepusha as utafikiriwa vibaya maana Tanzania ni ya pili duniani kuamini ushirikina.
 
Mkuu hali yako si ugenious ila ni ESP - Extra Sensory Perception.Yaani wewe unaona na kuhisi vitu ambavyo wengine hawawezi.Kama ulikaa ng'ambo - hukueleza nchi - kwa nini hukwenda kwa wanasaikolijia wakueleze ni nini hicho ulicho nacho? Ulipoteza fursa nzuri ya kujifahamu.

Anyway hongera kwa vipaji hivyo ulivyo navyo na nakushauri isitokee ukaenda kuishi Mwanza, Shinyanga, Tabora. Watakuchoma moto!
Asante mkuu,
 
Back
Top Bottom