Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

Napenda kazi zao, na ilikua moja ya ndoto zangubkua spy lakini hazikuzaa matunda maana kwa sasa nimejikita kwenye kazi ingine

Usipoteze kirahisi unachotaka kukipata maishani mwako. It's not easy kukipata lazima ukitafute hata kama it will cost your entire life.

Narudia tena kukusisitiza if you mean it then you must become a spy.

Make sure that you achieve this, it should be your ambition!

Free ideas
 
Unaweza kutype bila kukosea hata herufi moja; mbona hapo kwenye thread yako umekosea maneno kibao mfano NYUKA mweusi.
NB: focused on what you want and it will happen.
 
Tuambie tuambie huyu ndiye tuliyemzania ama tusubiri mtumwingine?ni kweli alikua anajaribu ama alimaanisha?
 
Huyu jamaa mswahili sana....Mara anasema hataki kuajiriwa anafanya mambo yake mwenyewe....afu baadae eti anamaliza kazi za bosi wake mapema...au mi ndo sijamuelewa!??
 
Sawa kwahiyo mkuu ukiota upo mombasa kweli lazima uende mombasa
 
  • Thanks
Reactions: ywf
naomba niambie mimi ni kabila gani ukiweza tunaendelea na mjadala
Narudia, ili niweze kufanya predictions lazima nikuone japo mara moja.Hii haihitaji kukujua sana kabla.Nitakuangalia katika mboni za macho na kupata taarifa zako nyingi kama sio zote.
 
Swali hilo nimeshalijibu zaidi ya mara nne.Ni kwamba binafsi sipendi ile hali ya kuajiliwa lakini baada ya masomo niliajiliwa.

Sawa. Sasa genius kwanin unafanya kitu usichokipenda????? Genius anatakiwa avumbue yale anayoyapenda kwasabb ww una kila possible opportunity.

Unachanganya watu. Unatakiwa ujiajiri, kuajiriwa utuachie sisi vilaza
 
Ww Siyo Genious Bali Ww Ni Mtu Wa Ajabu. Unapenda Harufu Mbayambaya, Mtu Akiwa Kwny Huzuni Ww Unafurahia,! Hizo Ni Tabia Za Kijini Ila Sijui Ni Jini Gn. Kwa Uwezo Wako Inamaana Unaweza Kujua Unakufa Lini Na Aina Ya Kifo Chako! Mrudie Mungu.
 
Back
Top Bottom