Kwa hali hii ilivyo daaah nime give up

Kwa hali hii ilivyo daaah nime give up

Kujulikana ukweni isiwe sababu ya wewe kuendelea kukumbatiana na mamba.
Kaa kimasta.
 
Wanashkuru kwa kuwapokea kero Yao kubwa na kuihamishia kwako.
FB_IMG_16671152818265196.jpg
 
hahaha hadi wewe mzee watotoz unasema hivi.
Siku hizi ndoa ni usanii tu na kujitia stress. Jinsi tunavyovyua vyupi vya wake za watu naona ndoa hazina maana yoyote

Wanangu wana ndoa zao tukikutana kwenye bata hawaji na wake zao wako na michepuko yao
 
Ndoa Ni upendo unaobakia baada ya kuchoka kingono,
Ndoa Ni kuvumilia maudhi yanayokela,
 
Huyo mtoto wa Singida keshakupiga tukio? Kwani ushasepa ukweni? Au bado una week moja mbele ya kukaa huko?
 
Kwa hali yenyewe ya ndoa kama ndipo ipo hivi aisee nahisi ku give up mapema saaa aise.

Nilihisi ndoa ni kunyanduana tu na kucheka cheka aiseee.

Samahanini nimeandika kwa sababu niko na stress ila nitapambana tu kwasababu nimetoa mahela na nimejulikana ukweni.
Relax
 
Fanya kuoa kwenu sehemu yenye nasaba yako achana na kubabaika na mtu umekutana nae town hapa kweny harakati huji miaka 20 na kitu nyuma alikuwaje na kwao hupajui.


Zamani walikuwa watu wa mtaa mmoja wanaona kwa sana ila sasa mambo ya elimu na mihangaiko leo uko huku mara kule kutafuta Maisha ndo matatizo.

Rudini kwenu mkaoe tuone kama hayo matatizo yatazdi ,kwani huoni kama ni gharama kwenda kwa wakwe mpaka ufunge safari kubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom