Kwa graduates msio na ajira ....faraja..


Sa hv kuna climate change' mvua hazieleweki umepigia na hio gharama pia we jamaa
 

Husna una akili sana mpenzi
 
mkuu mtaji hata wa mil5 watu wangejiajiri, tatizo hata mahali pakuishi wengine hawana, leo akila kwa aunt, kesho kwa mjomba, keshokutwa kwa masela, watu wanasafa wewe unaongelea mitaji?
 
Kweli mdau kilimo kinalipa sana mi mwenyewe na boom nilianza kulima moro/turiani na handeni tanga tangia nikiwa mwaka wa pili wala sina haja saaana na ajira japo ikija nzuri na-apply. Ok subiri niwape mbuzi wangu maji alafu nitawapa tips za ukulima na ufugaji
 
mkuu mtaji hata wa mil5 watu wangejiajiri, tatizo hata mahali pakuishi wengine hawana, leo akila kwa aunt, kesho kwa mjomba, keshokutwa kwa masela, watu wanasafa wewe unaongelea mitaji?
= kabisa
 

Baada ya kuvuna tatizo linakuja serikali ndiyo inayokupangia bei ya kuuzia mazao pia itakulazimisha usiuze nje ya nchi kwa maslahi yao binafsi.Hivyo kuna uwezekano mkubwa kabisa ukashindwa kutimiza malengo yako.Kitu cha msingi ni kuishauri Serikali iruhusu free market ktk mazao ya kilimo kwa kufanya hivyo naamini graduates wengi wanaweza kujiajiri.
 

Ni kweli kabisa uko sahihi ulichokisema kiukweli imewalenga graduates walio makazini namna gani wataongeza kipato chao pasi kutegemea mushahara wanayopewa kumbuka jamaa hiyo laki tano aliyoanza nayo imetokana na kazi aliyokuwa nayo,kwa wale je wasio ajirani wapi watatoa hiyo capital,kiukweli ni ngumu .Nakubaliana naye juu ya ushauri alioutoa lakini nahisi watafanikisha walio makazini tu
 
wakuu sioni tatizo la muanzisha mada, tatizo liko kwetu wenyewe.

1. Cc tunaongoza kwa kukatishana tamaa

2. C c kabla hata mtu hajaanza ameisha shindwa, yaani tunashindwa kabla ya kuanza.

Tukubali tunapenda sana kuajiliwa, na mtu asikudanganye kwamba unatafuta kazi ili upate mtaji then uache kazi uanzishe biashara, ukisha ingia kwenye kazi za kuajiliwa huwezi toka, na ndo mwisho wa kulemaa.

- kwani ni mtaji kiasi gani unatosha kujiajili wewe?
- umeisha jalibu kujiajili ukiwa na angalau10,000 ukashindwa?
Au ndo mambo ya kushindwa kabla ya hata kujaribu.

Mimi nampongeza mtoa maada ila chaguo ni lako wewe, ufanyie kazi mawazo ayke au utemane nayo
 

yah nadhan alikua anamaanisha hivyo!ni kwa magadruate walioingia tu kazin wavtunze vjifedha vyao kuja kufanya issue hiyo,pia mazngira ya kijijn kwao yalimruhusu,issue ya kilimo inategemea mazngira bwn!
 
dahh jamani hii nadhani inaendana na mimi
mi ndo nimemaliza hv sasa na hata matokeo bado kwahiyo hata hiyo ajira bado ni ndoto ila nimekuwa niiktumia fani yangu kufanya kazi kwa watu na sasa nina mil 5 na nimeshindwa nifanye shughuli gani jamani na imekaaa tu kwani hela ya kula napata.
nahitaji kufanya hiyo kazi jamani na wiki ijayo nitakuwa nimelipwa zingine zitakuwa 7m,sasa huu mtaji sijui nifanye nini?
naomba msaada wako juu ya hilo dili ili niangalie km naweza fanya au nichunguze inshu zingine
 

jamaa anaongea jambo la ukweli kabisa ila ameropoka kidogo. ni kwamba angesema kuwa sie graduets tukipata kazi tuuache utozi tutafute mtaji wa project kama hiyo yake, maana magraduets hatuna kitu hata kama nina hiyo laki tano ntaitumia kujitunza ili niondoe aibu ya kutunzwa baada ya kugraduate huku nikitumia pesa kutoa kopy cvs.
 

unajiita msani au msanii, maana wasiwasi wangu ni kuwa umetumia usanii kuandika hayo maelezo, ila kama ni kweli unazo hizo pesa basi nakuomba uendelee kuzitunza huku ukiangalia ni jambo gani unalopenda kulifanya na litazalisha zaidi, maana unaweza ukasubiri kazi na usije kuukusanya kiasi hicho cha pesa mapema hivo
 
Mkuu ni wazo zuri sana! na mi ni mmoja mwenye mawazo ya kuwa mkulima tena mkubwa! mimi ardhi ninayo lakini ni kwa hapa dar na mkoani ninayo. tatizo mkuu ni capital, sasa wewe mkuu umeishatoka kimtindo unaonaje km ukatupa c wengine capital tukaanza kidogo kidogo mi niko tayari tuonane tuongee vzr..... kwani we utakuwa mfano mzuri sana..
 
wapi huko yanakopatikana mashamba kwa ekari 5 laki mbili(200,000)?
 
uliwahi kuajiriwa. ukafanya saving, ukawa na access na mikopo.....vyovyote vile lakini b'dae ndio ukapata mtaji wa kulima. Sasa hao mafresh from school watatoa wapi capital? Ushauri wako bado hautowasaidia.

Kweli!! another alternative jamani............................
 
u are a person i can talk u think systematically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…