Kwa GPA hii ntapata chuo kweli?

collgene

Member
Dec 8, 2015
60
6
Ni mhitimu wa stashsahada ya Financial Management, nina GPA ya 2.30. Natamani kuendelea na degree, je, nitapata chuo kwa alama hizo?
 
Kuna baadh ya vyuo kama tia unapata ila kuna coz ya miez kama mi3 kama skosei inaitwa pre entry ni lazma upge na unafanya mtihan uki qualify unasoma dgree.
 
we ulikuwa unacheza au....degree ukipata uache utoz ukasome...jipime kabisa usije poteza ada yako bure
 
Mkuu hukua na haja ya kunilaumu hujui nimesoma ktk mazingira gani hongera kwako ulifaulu vzuri
 
Kuna baadh ya vyuo kama tia unapata ila kuna coz ya miez kama mi3 kama skosei inaitwa pre entry ni lazma upge na unafanya mtihan uki qualify unasoma dgree.

Asante Deo nafikiri nitashughulikia mwakani maana mwaka huu nimeshachelewa
 
hapo ni lazima pre entry upige aisee ndo utaweza kuendelea na chuo... gpa ni ndogo sana
 
Mkuu hukua na haja ya kunilaumu hujui nimesoma ktk mazingira gani hongera kwako ulifaulu vzuri

mi sikulaumu ndugu...sorry kwa kutumia lugha kali...please fuata ushauri uliopewa then next soma kwa bidii...suala la kufaulu halina excuses ....i believe utapata kupitia pre entry...lakini chukulia kama unaenda kufanya maisha....nakutakia elimu njema ndugu..wala usikate tamaa....life is history......again am sorry
 
Noted Fazam nitajitahid sana tena sana
 
Usijal ndugu fuatilia ushauri uliopewa mwakani ujiunge degree. Nitakukumbuka katika sala japo sikujui ili uwe na mazingira huru ya kusoma yatakayowezesha ufaulu wako kuwa mzuri.
 
ningekushauri uchonge cheti feki cha degree but kwa hiyo gpa yaki lazima utashtukiwa
 
Back
Top Bottom