Kwa gpa hi naweza kupata full scholarship?

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,898
Reaction score
33,712
Wana JF habari zenu,nina GPA ya 3.56 ktk degree ya uchumi ninatafuta full scholarship/grant ya kuendelea na degree ya pili ( master) ya uchumi/Policy dvt/ project management/MBA mwaka kesho.Nchi ambazo napendelea nisome ni norway,korea,dernmark,sweden,australia,austria,brunei,belgium,na japani,ikipatikana na zngne sio mbaya.Kwa kweli nataka nipate international exposure.
1.Je kwa GPA hii naweza kufanikisha mpango wangu?
2.Ninaombeni link ambazo naweza pata msaada zaidi
3.wapi naweza pata msaada wa kuandika study plan? Nipo Dar!
 
Kama umesoma Teofili Kisanji hakitambuliki kimataifa.... labda usome hapa hapa Tz
 
Kakangu Mungu atakuwezesha usjal..mm pia nina ndoto kama izo
 
Chuo is a big factor,,,,,,,,wherever you want to apply, kama rank yake ni ya 200 basi utaishia maeneo hayo hayo ya 200
 
hujasema ni kati ya ngapi, tano au nne au nne point tatu??
alafu study plan unataka usaidiwe na mtu? kwa nini?
hizo zote ni quality zinazopunguza competency katika kupata scholarship em tupe details zote vizuri... naongea kama mtu nliyepata full scholarship before..
 
Nikweli ndugu maana SUA C inaanza na 50 wakati UDSM C inaanza na 40, sasa hawa watu GPA zao zitakua na uzito sawa?

Hapo umeongea point mana nishakuta mtu transcript imejaa 50 za kufa mtu bado mwisho wa siku ni second upper hons, na mtu mwingine yuko na 60 n 70 mwsho wa siku lower second,n nadhani chuo ina matter kwa njia moja au nyingine
 
Acha Utaira

pole sana ndugu, lkn yawekana ndo mwisho wako wa kufikiri, wengine tunakwambia haya kwa sababu tuna expirience sasa nakuona umekurupuka, kama kitu haufaham ni vema ukawa kimya sio lazma na wewe uonekane ume comment ktk vitu ambavyo sio level yako
 
hujasema ni kati ya ngapi, tano au nne au nne point tatu??
alafu study plan unataka usaidiwe na mtu? kwa nini?
hizo zote ni quality zinazopunguza competency katika kupata scholarship em tupe details zote vizuri... naongea kama mtu nliyepata full scholarship before..

kk sijafahamu unamanisha nn? Ukisema ni kati ya ngap? Kama ni GPA nina 3.56 Ktk scale ya nch y2 ya 5.0 scale afu kwny stdy plan sio kwmba nataka m2 aniandikie bt nataka nipewe directn 2 ya v2 ambavyo ni vzr ku vi consider ili kuögeza nafc ya kupata hyo schkxhp
 
naomba ufafanuz zaid
 
Mkuu ZERO IQ,With great concern, nafahamu humu jamvini watu huwa tunakuja juu sana linapokuja suala la kuzungumzia ubora wa vyuo! Anyway, I can understand this coz' wengine wanazungumzia suala hili kwa nyodo as if UDSM, SUA labda na Mzumbe peke yake wanaweza kubeba wanafunzi wote nchi hii... Nikirudi kwenye hoja, ni kweli suala la vyuo lina-matter sana! Tatizo ni kwamba, inawezekana kabisa SAUT ikawa juu kitaaluma kuliko say SUA, UDSM au Mzumbe lakini uwezekano wa SAUT kufahamika kimataifa ni mdogo sana ukilinganisha na UDSM au SUA! I am sorry kusema hili, nina mashaka ikiwa hata hiyo Mzumbe nayo inafahamika... wanaweza kuwa bora; but that's another issue!! Kwa kumbukumbu zangu, hadi miaka ya hivi karibuni vyuo ambavyo vilikuwa vinakubalika zaidi ni UDSM na SUA... ilikuwa hata ukiangalia kwenye directory ya vyuo vikuu duniani, ilikuwa unaikuta UDSM na SUA peke yake. Inawezekana ikawa ni ukiritimba tu; ukiritimba ambao hata domestically upo! Kwamba, mtu mwenye second class (say) from Mzumbe na mwenye second class (say) from TIA, hawa waki-apply UDSM kusoma Masters, si ajabu mmoja akaenguliwa kutokana na chuo tu alichotoka!Sasa basi, jambo la msingi ni kwamba huwezi kuacha ku-apply kwa hofu ya kigegezo chochote kile hususani zama hizi za online application ambazo ni cost effective! Which means, hata usipopata, hutapoteza chochote. Lakini best chance kwako ni kuanza kutafuta kazi, hususani serikalini. Ukipata post ya Economist II serikalini, basi two years later itakupa nafasi ya kusoma Masters kwa urahisi zaidi kuliko sasa! And to be honest. GPA ya 3.56 ni ndogo sana hata kama ingekuwa ni ya UDSM unless kama base yake 4.0 lakini ikiwa ni out of 5.0, hiyo GPA yako ni ndogo sana... yaani ulikuwa unachungulia Second Lower.
 
Last edited by a moderator:
ngoja niendelee kupiga materials technology UE iko karibu sana hizi nafasi ni nitanyoka naza mwakani
 
Acheni kukatisha tamaa watu GPA ya 3.56 ni standard kabisa kwa udhamini wa masomo kwa nchi nyingi za ughaibuni. Bro go for it kama umeamua. Kwani kuna jamaa hapa kwa GPA ya 2.7 kapata scholarship why not you!? Figure it out!!?
 
Wana JF habari zenu,nina GPA ya 3.56 ktk degree ya uchumi ninatafuta full scholarship/grant ya kuendelea na degree ya pili ( master) ya uchumi/Policy dvt/ project management/MBA mwaka kesho.Nchi ambazo napendelea nisome ni norway,korea,dernmark,sweden,australia,austria,brunei,belgium,na japani,ikipatikana na zngne sio mbaya.Kwa kweli nataka nipate international exposure.
1.Je kwa GPA hii naweza kufanikisha mpango wangu?
2.Ninaombeni link ambazo naweza pata msaada zaidi
3.wapi naweza pata msaada wa kuandika study plan? Nipo Dar!

Tembelea hapa ndugu yangu.. at least unaweza kupata mwanga.

www.scholars4dev.com
 
Hiyo GPA ni ndogo sana, ukiona vp tumia hata cheti cha form six
 
Acha kupotosha mkuu siyo vizuri. Mkuu ZERO IQ Jaribu SWEEDEN utapata asa hiyo economics you are most welcome in Scandinavia.

Back
Top Bottom