Je, naweza kupata chuo kwa matokeo haya?

Undeceteris

Member
May 15, 2021
48
125
Mimi ni kijana umri 26 nimehitimu kidato cha 6 2019 HGE matokeo yalikuwa EDE. Napend Sana niende chuo ila maisha yamenipiga Sana nmesoma kama PC nilikosa ada na mwaka huu nimerudia somo moja la Economics ila kwa pepa ilivokuwa nadhani hata D sitapata maana walikaza Sana hasa Ec2.

Je, naweza pata chuo nikasome degree hata ya biashara na mkopo nikapata kwa ufaulu tajwa? Na je naweza soma diploma ualimu kwa masomo ya Geog vs Commerce, japo olevel sikusoma commerce nimesoma tu uchumi.

Nilijaribu kuangalia diploma ya Geog vs Economics sikuikuta.

Mwenye ujuzi kwa hilo tafadhari mi napenda uchumi/commerce.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom