Kwa Gentleman tu

Kwa Gentleman tu

Nimependa umekazia hiyo point ya mwisho;

MPE HELA MKEO/MPENZI

Mengine yote ya kawaida, ila hiyo ni muhimu zaidi Kwa Dunia yenu hii ya sasa Vijana

Sisi Mwaka 47, ilikuwa ukimletea zawadi ya Khanga, unakuwa umemaliza Kila kitu

Utapewa wewe hadi useme Mama nanii, unajua kesho naanza zamu Kwa Mke mdogo

Naomba uniachie nguvu kidogo za mwenzio 😜
 
Hapo Point ni moja tu nayo ni namba 8.
Hizo zingine achia Schoolbwoyz.
 
Mkuu haya mambo tuwaachie watasha tu, sisi tupambane na mboga mboga.
 
Back
Top Bottom