Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
🤣🤣🤣🤣Najua ulichowaza, kwenye kukugoesha lazima nikusugue sehemu muhimu...
Hapo ndiyo ujinga uliouwaza...
Nahisi utakuwa humalizi.....zoezi sijui litachukua masaa mangapi
🤣🤣🤣🤣Najua ulichowaza, kwenye kukugoesha lazima nikusugue sehemu muhimu...
Hapo ndiyo ujinga uliouwaza...
Hawa viumbe ni htr sanaThey call it, Bodaboda wangu
SS unakua ulioa malaya tuTabia ni kama ngozi unajua
Kuchapiwa kupo pale pale whether ur are a gentleman or a bed to bed midfielderunafanya yote hayo na wahuni wanaichapa tu watakavyo
Yameanza lini kuwa na mwongozo????
Kwa ufupi ungetueleza kwamba tuwadekeze akina mama Asimwe.
Elewaneni fresh hela iwepo mengine ni ngonjera tuNimependa umekazia hiyo point ya mwisho;
MPE HELA MKEO/MPENZI
Mengine yote ya kawaida, ila hiyo ni muhimu zaidi Kwa Dunia yenu hii ya sasa Vijana
Sisi Mwaka 47, ilikuwa ukimletea zawadi ya Khanga, unakuwa umemaliza Kila kitu
Utapewa wewe hadi useme Mama nanii, unajua kesho naanza zamu Kwa Mke mdogo
Naomba uniachie nguvu kidogo za mwenzio 😜
Hilo ndiyo la msingi MkuuElewaneni fresh hela iwepo mengine ni ngonjera tu
Hapa kilichobakia ni upate ofisi tu kwaajiri ya vijana kuja kulipia semina elekezi za mahusiano kabla ya ndoa.🔹 Ukweli wa Kisaikolojia
1. Ubongo wa binadamu unachoka na “mambo ya kurudiarudia”
Kuna kitu kinaitwa hedonic adaptation – yaani hata kitu kizuri kikipitia mara nyingi mno bila kubadilika, ubongo unazoea na thamani yake inashuka. Ndiyo maana mtu akipata zawadi kubwa leo anafurahi sana, lakini baada ya muda anazoea.
👉 Kwa mapenzi, ukimpa “utamu” kila siku bila changamoto, anakuzoea na excitement inapungua.
2. Hisia chungu nazo zikizidi zinavunja
Ukitoa stress, baridi au maumivu pekee – mtu anaweza kuchoka, kupoteza hamu na kujiuliza kama yuko sehemu salama. Hii inaleta emotional burnout kwenye mahusiano.
👉 Ndio maana “ukali tu” au “kukorofisha tu” kila wakati huchosha.
3. Mchanganyiko wa hisia ndio unaweka moto
Wataalamu wa mahusiano wanasema kitu kinachojenga ukaribu na msisimko wa muda mrefu ni emotional variety. Kuwa na “rollercoaster” kidogo – kuna tamu, kuna changamoto, kuna mazoea mazuri, na kuna kutokuelewana kisha kusameheana.
👉 Hapo penzi linakuwa hai na lenye nguvu.
---
🔹 Mzunguko wa Hisia (Sweet + Chungu)
Mwezi 1 (Sweet zaidi): Mapenzi ya karibu, zawadi, vicheko, kumshika mkono, kumwonyesha “yeye ni wa kipekee.”
Mwezi 2 (Chungu kidogo): Kuonesha mipaka, kutokuwa 24/7 available, kumkosoa kwa upendo, kuacha nafasi ili akukose.
Mwezi 3 (Balance): Sweet moments tena, lakini sio kila siku. Unapomrudisha kwenye utamu baada ya kumkosa kidogo, anathamini zaidi.
---
🔹 Facts za Kimapenzi
1. Absence makes the heart grow fonder – Kumkosekana mtu hujenga hamu ya kuonana tena.
2. Conflict resolution builds intimacy – Mkinong’ona au kugombana kisha mkasuluhiana, upendo unaongezeka kuliko bila changamoto kabisa.
3. Mystery keeps attraction alive – Sio kila kitu utoe mara moja; siri kidogo na surprise hufanya mtu abaki anataka kujua zaidi.
4. Emotional rhythm is natural – Mapenzi ya muda mrefu siyo laini kila siku; yana peaks (furaha kubwa) na valleys (changamoto ndogo) – na hizo ndizo hujenga uhalisia wa mahusiano.
Hayanaga muongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Yameanza lini kuwa na mwongozo????
Umeenielewa vizuri sanaKwa ufupi ungetueleza kwamba tuwadekeze akina mama Asimwe.
Huu ni uongoKuchapiwa kupo pale pale whether ur are a gentleman or a bed to bed midfielder
Nimepitoa comments watu wengi mioyo yao imeumia na makovu wanepoteza trust na true loveHuu ni uongo
Kuna wanawake Hawana hayo mambo wameridhika
Yes sbb wameumizwa basi wanadhani wanawake wote wako sawaNimepitoa comments watu wengi mioyo yao imeumia na makovu wanepoteza trust na true love
Umenena kweli kabisaYes sbb wqmeumizwa basi wanqdhani wanawake wote wako sawa
Kitu ambacho sio
Mi naamini Kuna wanaume wazuri tu japo nimepitia pia mikono ya wabaya ila hii Hina maana kuwa wazuri hawapo