Ngowi alifariki aisee yule alikua ni mtu sahihiNguli wa uchumi Mzumbe alikuwa professor Ngowi alifariki kwa ajali
kutumia zanafedha (monetary tools and financial instruments) duni ya enzi za mawe yaani VICOBA badala ya SMEs, bonds, green bonds
Dr. Charles A. Mwamwaja : profile /
Qualification
- PhD (Finance)
- Master in Business Administration (MBA) (Finance & Banking)
- Postgraduate Diploma in Finance Management (PGDFM)
- Advanced Diploma in Accountancy (ADA)
Experience
- Commissioner Financial Sector Development, Ministry of Finance
- Board Member for SUA Council and Chairperson of SUA Audit Committee for 3 years
- Board Member for Mzumbe University Council and Chairperson of Finance and Development Committee for 6 years
Wote hao uliowataja ni vilaza na wamekariri darasani isipokuwa tu Edwin Mtei.Umenikumbusha mbali sana. Kichwa hicho, Marehemu Beno Ndulu. The best gavana tuliyekuwa nae baada ya Edwin Mtei na Marehemu Rutihinda.
Naskia Mtei alikuwa vizuri sana.
Sasa wale ama wale wenye elimu kamili unaowashabikia wamefanya nini? Magufuli alikuwa na PhD ya kukariri alifanya nini? Au kurukaruka hapa na pale kama swala na kufokafoka ndo mliona ni kiongozi mzuri? Kaiba trillion 30 halafu eti shujaa, shujaa mafii yenu?Mteuzi wake naye ana elimu ya hapa na pale. Hii nchi inapenda sana watu wenye elimu za kuunga unga.
Benno Ndulu naye alikuwa vizuri, ila mpigaji.
Kwanini unasikia?Naskia hali ya uchumi hapa bongo inaendelea kwenda shimoni. Ni vurugu me hi hadi wanatoa matangazo kila siku
Kama ushauri aliotaka kutoa ndo source ya kuzaliwa CHADEMA basi spiritually CHADEMA siku ikichukua madaraka pengine nchi yetu itasonga mbele hatua kadhaa.Mzee Mtei alimgomea Nyerere alivyoleta ujuaji kwenye masuala ya Uchumi. Na Nyerere alivyoleta kiburi, Mzee mtei alijiuzuru na kumuacha ateue Gavana mwingine.
Sote tunajua leo kuwa sababu ya Tanzania kufeli kiuchumi kipindi cha Nyerere ni baada ya Nyerere kukataa kuchukua ushauri wa Mzee Mtei ambaye ndo huyo baadae alikuja kuanzisha Chadema.
Tupe ushaidi wa hizo pesa unazosema aliiba hili na sisi tuanze kumchukia kama wewe.
Pata kwa undani kinachofanyika kuliko kuwa sehemu ya waendelezao uzushi kila siku mitandaoni.Limekuja lingine la kuuza dhahabu. Kweli ccm ni laana
Wa nyumbani Kumbe💪Ngoja nipige kayoga lita moja hapa Bangwe-Kigoma halafu tujadili hili jambo!
Mjibu mwenzio kwa hoja. Upumbavu utakuwa nao wewe unayeendeshwa na mihemko ya wapumbavu wenzako waliojazana huko uvccm.Kwa upumbavu ulionao sikushangaa kuandika huu uchafu uliooza
Hamna tabu, mbona Jenista alikuwa waziri wa afya!Kwa Ufupi Tumepigwa, JPM hakutaka hata kumfikiria .
Watakuja kukuambia ana uzoefu, Uzoefu which ? When ? Where ?? Keshawah ongoza Taasisi gan kubwa ya kifedha nchini na akaipa matokeo chanya???.
Inawezekana kabisa, Magavana wote wa Bank Dunianiz ukiwapanga kw Elimu zao, huyu wetu ndio wa Mwisho.
Elimu kwenye suala husika, ndio nguzo sahihi ya mawazo mapya.
Lipumba na kweli ni lipumbavu.Sio kwamba wtu sahihi hawapo, laa hasha, shida tu ni kwamba Tanzania huwezi pata nafasi ya Juu kama ww sio ccm, Lipumba was the best at his time, but they never gave him a single chance. Kisa mpinzani. Na tutazikwa kweli hata siuongo.