Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimali Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Hiyo wizarà , taasisi na idara zake viongozi wake wote ni tia maji tia maji. Mwingine kapewa desa la kukopa analitumia hilo hilo iwe imf, s. Korea, world bank, afdb nk.
 
Jenesta Mhagama anasema Uzi huu naangalia pembeni kwa hasira

jenista.jpeg
 
acha chuki zako? ambaye anatakiwa alaumiwe ni waziri wa fedha sio gavana..kingine kuongoza ni karama ya mtu binafsio sio elimu
I beg to differ, kutokuwa na gavana asie na vigezo kunaweza leta
Sera za kifedha zisizofaa: Maamuzi mabaya ya sera yanaweza kusababisha mfumuko wa bei kupanda au akiba ya fedha za kigeni kupungua, na hivyo kusababisha shilingi kushuka thamani.
Kukosa imani katika uchumi: Kukosekana kwa uongozi thabiti katika benki kuu kunaweza kupunguza imani ya watu na wawekezaji katika uchumi, na kusababisha wao kuuza shilingi, hivyo kuipunguzia thamani.
Usimamizi mbovu wa sekta ya fedha: Gavana anayefaa pia anasimamia sekta ya fedha. Kutokuwa na gavana sahihi kunaweza kusababisha usimamizi mbovu, ambao unaweza kuathiri utulivu wa kifedha na thamani ya shilingi.
Kwa kifupi, nafasi ya gavana wa benki kuu ni muhimu sana kwa utulivu wa sarafu ya nchi. Gavana asiyefaa anaweza kusababisha matatizo mbalimbali ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na kushuka kwa thamani ya shilingi.
 
Cheki gavana wetu mwana diploma Emmanuel Tutuba akiisoma CV ya gavana wa nchi jirani makini, ataweza kufanya mjadala kuhusu hotuba makini ya kiuchumi ya Yoweri Museveni* :

View: https://m.youtube.com/watch?v=krr6KeKg02w

PROFILES: Bank of Uganda appointments

Following the appointment of Dr. Michael Atingi-Ego as the Bank of Uganda Governor and Augustus Nuwagaba as the new Deputy Governor by President Yoweri Kaguta Museveni, tonight we highlight who the two men are.

Dr. Michael Atingi-Ego : Born in 1965 in Uganda, Dr. Atingi-Ego holds a Bachelor's degree in Economics from Makerere University, a Master of Science in Economics from Cardiff Business School, Wales, UK, and a Doctor of Philosophy in Economics from the University of Liverpool, UK.

Career Highlights:

In 1984, he joined the Bank of Uganda, rising to the position of Executive Director.

In 2008, he became Deputy Director of, the African Department at the International Monetary Fund (IMF) in Washington, D.C.

In 2020, he served as Executive Director of Macroeconomics, at the Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa in Harare, Zimbabwe.

Later in 2020, he was appointed Deputy Governor of the Bank of Uganda.

In 2022, he took over as Acting Governor following the passing of Emmanuel Tumusiime-Mutebile.

Deputy Governor of the Bank of Uganda:
Prof. Augustus Nuwagaba: Born in 1964 in Kabale Municipality, Prof. Nuwagaba attended Kigezi High School from 1979 to 1985 and later joined Makerere University in 1986, graduating in 1989.

He obtained a Master of Science degree from the London School of Economics and a PhD in Economics from Makerere University.

He also holds a Master of Business Administration degree in monetary policy from ESAMI.

Career Highlights: In 1989, he joined Makerere University as a lecturer, rising to the rank of MUASA Chairperson. He is the Managing Consultant at Reev Consult International Limited, a private consultancy firm in Uganda.

He is a Consultant for the African Peer Review Mechanism under NEPAD and a member of the African Regional Panel of Experts on Development.

He is a member of the World Bank Consultative Group that developed the African Plan of Action.

On February 10, 2025, he was appointed Deputy Governor of the Bank of Uganda

TOKA MAKTABA *:
 
Man nimejisikia kutukana, embu angalia mawaziri wa wenzetu halaf kuna huyo wakwetu, korogwe teachers college halaf anaenda kujadiliana na heavy cv kama hizo

Hatuko serious, nchi inahitaji overhaul aisee

Hii nchi inapenda sana watu wa elimu za hapa na pale, mkuu. Jenista kila siku anahamishwa wizara tu anachofanya hukoni ila kila siku anapewa wizara nyingine, begs the qn anafanya nini cha maana ambacho wengine hawawezi?
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimali Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.

Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimali Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.
Wote Waziri wa fedha na Gavana hawatoshi maana hawana exposure ya kutosha kwenye maeneo yao ya kazi.
Ata Waziri wa Afya Jenister pia hatoshi kuwa Waziri wa Afya!
Samia anateua watu vituko sana!!
 
Nchi jirani wapo makini nani anakuwa gavana wa benki kuu :

TOKA MAKTABA :
Kamati ya Bunge likitaka ufafanuzi kuhusu deni la taifa kutoka kwa Gavana wa Banki Kuu ya Kenya

View: https://m.youtube.com/watch?v=IgrndSXsruA

Prior to joining the IMF, Dr. Patrick Njoroge had worked in Kenya as an Economist at the Ministry of Finance and as a Planning Officer at the Ministry of Planning. He holds a PhD in Economics from Yale University, a Master and Bachelor in Economics from the University of Nairobi....

Governor Patrick Njoroge explains the CBK Digital Currency concept |

View: https://m.youtube.com/watch?v=Ic1yB2LQGMA
 
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani.

Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimali Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika eneo la uchumi ndani na nje ya nchi zao. Pia wenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kifedha zenye historia ya kufanya vizuri kwenye masuala ya Fedha.

Kwenye mataifa mbaimbali, nafasi ya Gavana wa Benki Kuu inahusisha kuteuliwa watu wenye PhD katika masuala ya Uchumi, Fedha na Biashara au Sheria. Hata kama asipokuwa na PhD basi anapaswa kuwa mtu mwenye rekodi ya outstanding performance kwenye masuala ya Fedha, Uchumi na Sheria.

Kwa utafiti wangu mdogo, haya hayafanyiki kwa bahati mbaya. Gavana wa Benki Kuu anapaswa kuwa kichwa cha nchi kwenye suala nyeti la uchumi. Anapaswa kuwa mshauri wa mwisho pale nchi inapokuwa kwenye crisis yeyote ya kiuchumi.

kwenye kufanya haya anatakiwa awe mbobezi sana kwenye masuala ya uchumi. Anatakiwa kuwa na exposure kubwa sana ya kimataifa na kitaaluma katika masuala ya kiuchumi.

Nakumbuka wakati Emmanuel Tutuba anateuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu niliwahi toa maoni yangu kuwa ule haukuwa uteuzi sahihi.

Kwa haya matokeo ya shilingi yetu kufanya vibaya zaidi nadhani sasa niko sahihi nikisema uteuzi wa Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu haukuwa sahihi. Ni bahati mbaya sana mamlaka za Uteuzi nchi hii hazihojiwi kutokana na kuwa na Katiba mbovu.

Angalieni wenyewe biography kwa kifupi za Gavana wetu wa Benki Kuu alafu linganisha na Magavana wa Mataifa mengine.

Hii ndo Bio ya Gavana wetu Tutuba
👇- Amesoma Diploma Mzumbe na Master kwenye chuo hiko tena kipindi kinachojulikana kuwa Chuo hiko hakikuwa Chuo chenye hadhi ya Chuo Kikuu hata kwa Tanzania. Zaidi kafanya kazi public sector tu tena Tanzania.
View attachment 3282699
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Kenya👇
View attachment 3282700
Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu Uganda👇
View attachment 3282701

Hii ndo Bio ya Gavana wa Benki Kuu ya Marekani. Hana PhD ya Uchumi ila angalia rekodi yake ya utendaji kwenye sekta ya Umma na sekta binafsi hasa kwenye firms zinazotambulika vizuri Marekani kwenye masuala ya Fedha na Mitaji👇
View attachment 3282704

Mwisho.
Ni hitimisho langu kuwa Tanzania tupambane sana kupata Katiba Mpya maana tutapata watu wasiostahili kwenye nafasi za juu hadi tutajikuta tunazikwa kabisa kimaendeleo na Kiuchumi.

Mkuu Lord Denning pole sana!
Angalau katika taasisi ya BOT mara nyingi wamekuwa wakiwekwa watu wenye uzoefu na uwezo katika fani yao.... isipokuwa kwa huyo Tutuba pekee.
Lakini maeneo mengine tunafeli kwa kiasi kikubwa. ..,
Tatizo letu sisi ni kuteua watu sahihi na kuwaweka katika nafasi ambazo hawastahili. Kwa mfano utakuta waliowekwa katika departments zinazohusiana na kukuza soko la utalii Tanzania ni wale wenye degrees au masters au doctrate kuhusu wildlife...,which is very wrong. Hawa wamesoma sayansi ya wanyama na tabia zao....,kwa hiyo ni wazuri sana katika kujua mahitaji ya wanyama na nini kifanyike ili waongezeke. lakini bahati mbaya watalii siyo wanyama...ni watu. Kunahitajika watu wa kujua sayansi na behaviour za watu toka kila nchi ili upate mbinu ya kuwavutia waje katika nchi yako.
Kwa mfano Kunahitajika watu wanaojua tabia na mahitaji ya soko la utalii linalokua kwa kasi kuiliko yote duniani....wachina. Wachina zaidi ya milioni 130 wanatoka kufanya utalii..,na wanaongezeka kila mwaka. Sasa marketing strategy yako lazima ihusishe watu wa ndani ya China wanaowajua vizuri wenzao wanataka nini ili uweze kuwashawishi watembelee kwako. Kwa mfano zaidi ya watalii milion 20 wa kichina walienda Thailand mwaka jana...hasa kwa ajili ya beach tourism. Na wachina wana tabia moja..wakienda sehemu,wakiipenda mwaka unaofuata lazima warudie tena..na lazima amlete na mwenzie mpya ambaye hajawahi kufika..
Wachina hawataki bei kubwa katika accommodations japo ni big spenders katika masuala mengine. Marketing strategist anatakiwa kuyajua yote hayo.
Tanzania na East Africa wamekariri utalii wa namna moja tu...Safari tourism..unaohusisha wildlife sightseeing...na hiyo yote ni kutokana na kuweka watu wasio sahihi wa kujua soko la watalii wa eneo fulani linataka nini.
Kulikuja Watalii 200 kwa wakati mmoja toka Australia..wakaenda Ngorongoro,..walipotoka hapo tour operator wao akawapeleka Morocco kwa ajili ya beach breeze. Lakini tungekuwa na investment ya kutosha katika beach zetu na ufahamu wa kutosha kuhusu hilo...,wasingetoka...unaua jiwe moja kwa ndege wawili.
Mwaka jana Thailand waliingiza watalii 35 milioni. Projection ya mwaka hu ni 40 M. Sasa fananisha hiyo na watalii wanaokuja East Africa...ambako hawazidi milioni 5. Hakuna nchi inyofikisha watalii milioni 2 East Africa. Hatuna mipango. Na suala la mipango linaanzia katika kuteua watu sahihi katika maeneo muafaka..
 
GAVANA ANATAKIWA KILA MARA AWE 'FRONTI' WASAFI MEDIA, CLOUDS GROUP, EATV, GLOBAL KUFAFANUA MAMBO

Gavana Emmanuel Tutuba anajificha sana kutokana na mapungufu yake ya uelewa wa sera za kifedha (monetary) hawezi kuhojiwa akatoa ufafanuzi, faida, visheni au madhara n.k ,

Kiasi kumetokea ombwe kuhusu masuala ya taasisi za fedha na kujitokeza matapeli mtaani.

Zile PhD za watumishi zilizojaa pale BOT kwa nidhamu wanamuangalia kwa huruma na heshima kwa bosi wao, lakini wanajua hatoshi. Ndiyo maana mambo ya ajabu ya VICOBA n.k vya kina Nicole na wengine wanakuwa wanasambaza habari za utajiri wa kifedha kutumia zanafedha (monetary tools) duni ya enzi za mawe yaani VICOBA

24 March 2025

KIMENUKA TENA!! WATAPELIWA ZAIDI YA MILIONI 500 NA HOPE VICOBA / HAPATOSHI WAOMBA SERIKALI ISAWAIDIE

View: https://m.youtube.com/watch?v=zjKJUY2-S_Q

Toka maktaba :
Nicole Berry aziba nafasi ya mamlaka za kifedha kama BoT kwa kueneza habari njema na uzuri wa vicoba
1742896736837.jpeg
 
Hii nchi inapenda sana watu wa elimu za hapa na pale, mkuu. Jenista kila siku anahamishwa wizara tu anachofanya hukoni ila kila siku anapewa wizara nyingine, begs the qn anafanya nini cha maana ambacho wengine hawawezi?
Jen nasikia ni Mwanga balaa huko kwao anaogopwa,Kuna kipindi Bungeni alikuna Mjomba wake kavaa mangozi ya chui nasikia ni Chifu uko kwao.Samia kakaangwa kwenye chungu hafurukuti!!
 
Back
Top Bottom