begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,822
- 2,860
acha chuki zako? ambaye anatakiwa alaumiwe ni waziri wa fedha sio gavana..kingine kuongoza ni karama ya mtu binafsio sio elimu
Umekielewa ulichoandika au umekurupuka tu?acha chuki zako? ambaye anatakiwa alaumiwe ni waziri wa fedha sio gavana..kingine kuongoza ni karama ya mtu binafsio sio elimu
Sahihi kabisa.Kwa Ufupi Tumepigwa, JPM hakutaka hata kumfikiria .
Watakuja kukuambia ana uzoefu, Uzoefu which ? When ? Where ?? Keshawah ongoza Taasisi gan kubwa ya kifedha nchini na akaipa matokeo chanya???.
Inawezekana kabisa, Magavana wote wa Bank Dunianiz ukiwapanga kw Elimu zao, huyu wetu ndio wa Mwisho.
Elimu kwenye suala husika, ndio nguzo sahihi ya mawazo mapya.
Unadhani wanafanya kwa bahati mbaya kuweka kilaza?Hatuna gavana pale Benki Kuu ya Tanzania, huo ndiyo ukweli.
Nani wa kumrudisha wakati wamemweka pale kimkakati ili wachote fedha za wajinga wa Tanzania.Arudishwe kijijini kwao kule Suruti akapalilie mahindi na wanja wake anaopaka uitwao "sina mume"!
Hatuna gavana pale Benki Kuu ya Tanzania, huo ndiyo ukweli.
Gavana hawezi kufafanua jambo kwa lugha ya kiSwahili wala kiingereza.
Gavana hawezi kuhojiwa na vyombo vya habari mambo mazito akatoa ufafanuzi
Gavana huyu hata hatisho kuwa katibu mkuu wa wizara yoyote nyeti na ngumu hapa Tanzania.
Gavana anatakiwa kuwa kama
View: https://m.youtube.com/watch?v=-ji1pmmOypU&pp=ygUWQmFuayBvZiBUYW56YW5pYSBwcm9mLg%3D%3D
Unajua kazi za Benki Kuu kwenye Taifa ni nini?acha chuki zako? ambaye anatakiwa alaumiwe ni waziri wa fedha sio gavana..kingine kuongoza ni karama ya mtu binafsio sio elimu
kawe gavana wewe tuone kama ni rahisiUmekielewa ulichoandika au umekurupuka tu?
Hapo kwenye neno "uchawa" nadhani ulitaka kuandika aache ujingaujinga.Anachojua ni "bata tredi" tu.Unajua kazi za Benki Kuu kwenye Taifa ni nini?
Unajua kwa nini nafasi ya Gavana wa Benki Kuu ni nafasi nyeti sana kwenye nchi zote Duniani hasa kiuchumi?
Mie niwe na chuki na Tutuba ili iweje? Simjui, hanijui na siingiliani nae popote pale.
Angalia maslahi ya Taifa dogo. Acha uchawa.
Umenikumbusha mbali sana. Kichwa hicho, Marehemu Beno Ndulu. The best gavana tuliyekuwa nae baada ya Edwin Mtei na Marehemu Rutihinda.Kwa hiyo tumuue?
Mimi mbona ni gavana siku nyingi tu.Wanakufichaficha kwa nini?kawe gavana wewe tuone kama ni rahisi
Akiongea kiingereza tu unaweza ingia chini ya meza.Gavana hajui kuongea kingereza atafanya nini sasa, Gavana mzee wa DEI
Punguza ujuaji na uwe na uhakika wa mambo kabla hujamshambulia mtu. Prof. Luoga ndiye alikuwa Gavana wa BoT kipindi cha Rais Magufuli na wala Magufuli hakumteua Tutuba kuwa ganava wa BoT bali ni Rais Samia Hassan.wa Ufupi Tumepigwa, JPM hakutaka hata kumfikiria .
Hahahahaha nimecheka kama mazuriHapo kwenye neno "uchawa" nadhani ulitaka kuandika aache ujingaujinga.Anachojua ni "bata tredi" tu.
Umekosea anachomaanisha Magufuli hakutaka hata kumfikiria Tutuba kwenye nafasi hizi nyeti.Punguza ujuaji na uwe na uhakika wa mambo kabla hujamshambulia mtu. Prof. Luoga ndiye alikuwa Gavana wa BoT kipindi cha Rais Magufuli na wala Magufuli hakumteua Tutuba kuwa ganava wa BoT bali ni Rais Samia Hassan. View attachment 3282720
Watu wa kaliba ya fedha na uchumi huwa wanajua kuongea lugha kwa ufasaha sana Sasa huyo mzee wako amepata wapi kiseyeye cha lugha? Sluggish and idiot!Akiongea kiingereza tu unaweza ingia chini ya meza.
Sasa unajiuliza huyu anaweza kwenda kwenye International Platforms akafantq midahalo na wachumi wa dunia kuhamasisha sera za kifedha za Tanzania?
Kweli twafaaaa😂
Kwa hiyo tumuue?
Hata hiyo kubwa sana kwake.Abadilishwe akawe katibu tawala wa mkoa RAS Simiyu