gavana wa benki kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Sudani Kusini: Rais Kiir amfukuza kazi Gavana wa Benki kuu ya nchi hiyo

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amemfuta kazi Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo, Johnny Ohisa, katika hatua ya karibuni ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kufanywa ndani ya serikali yake. Kiir alitangaza uamuzi huo usiku wa Julai 29, 2026 kupitia amri iliyosomwa na shirika la utangazaji la...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Gavana wa BoT- Emmanuel Tutuba: Kiwango cha akiba yetu ya fedha za kigeni kinatosha uagizaji wa huduma na bidhaa kutoka nje kwa zaidi ya miezi 4.8

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imebainisha kuwa kiwango cha akiba ya fedha za kigeni nchini kimeendelea kuimarika na kufikia uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma kutoka nje kwa kipindi cha miezi 4.8, kiwango ambacho kiko juu ya matakwa ya kisheria ya nchi. Hayo yameelezwa leo Juni 12, 2026, na Gavana...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania alionya matumizi ya cryptocurrency

    Gavana wa Bank Kuu Tanzania Emmanuel Tutuba Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya fedha za kidijitali maarufu kama cryptocurrency yameongezeka duniani kote. Watu wengi wamevutiwa na ahadi ya kupata faida kubwa kupitia uwekezaji wa sarafu kama Bitcoin na nyinginezo. Hata hivyo, nchini...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tanzania mbioni kutunga Sheria za Fedha za Kiislamu kuwavutia wawekezaji wanaofuata Sharia. Rasimu imekamilika, tayari kwenda Bungeni

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba amesema kuwa Tanzania iko hatua za mwisho kutunga sheria maalum za kifedha ambazo zinafuata sheria za Kiislamu. Sheria hizo zitasaidia watu na taasisi zinazofuata misingi ya Shariah (sheria za kiislamu) kupata huduma za kifedha kwa urahisi bila...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Gavana wa benki kuu agoma kufukuzwa kazi na Trump

    Gavana wa Benki Kuu ya Marekani, Lisa Cook, ameanzisha mvutano na Rais Donald Trump kwa kukataa kuondoka kwenye wadhifa wake baada ya rais huyo kutangaza kumfukuza kazi. Mvutano huo umetokea baada ya jana Jumatatu Agosti 25, 2025 Rais Trump kutangaza amemfukuza kazi Cook kwa sababu maalumu...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

    Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani. Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu: Shughuli zote za Upatu ni haramu, tunawaonya wanaowaibia Wananchi

    Serikali imetoa onyo kuhusu shughuli za upatu, ambapo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, amesema kwamba mtu yeyote anayeshiriki katika upatu kwa kukusanya fedha ili kuzigawa kwa wachache, huku akidai kuwa lengo ni kuvutia watu kuleta fedha zao bila kuwa na biashara halali ya...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Gavana wa BoT: Deni la Taifa ni Tsh Trilioni 100, linazidi kukua japo bado linahimilika

    Wakuu, Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba akiwa anazungumza kwenye mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado lipo chini ya ukomo wa uwiano wa deni la taifa na pato la taifa unaokubalika kimataifa wa asilimia...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu. Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
  10. Don Gorgon

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Rais Salva Kiir awafuta kazi Mkuu wa Jeshi, Mkuu wa Polisi, na Gavana wa Benki Kuu

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi kwa kumfuta kazi mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi, na gavana wa benki kuu, kwa mujibu wa tangazo la shirika la habari la serikali SSBC. Hakutoa sababu za mabadiliko hayo. Paul Nang Majok...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi

    Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1000), elfu mbili (2000), elfu tano (5000), na elfu kumi (10000) za matoleo ya mwaka 1985 hadi 2003, pamoja na noti ya shilingi mia tano (500)...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Liberia: Rais amsimamisha kazi Gavana wa Benki Kuu kwa kukataa kutoa taarifa kwa Tume ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (GAC), Azuia malipo yake yote

    Rais Joseph Boakai amechukua hatua hiyo baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (GAC) kuripo kuwa Gavana Aloysius Tarlue alikataa kutoa taarifa muhimu wakati wa Ukaguzi na hivyo kuongeza mashaka juu ya utendaji wake. Pia, Tume ya Ukaguzi imesema Uongozi wa Benki Kuu haukusimamia...
Back
Top Bottom