Kwa failed system kama ya CCM ni kwamba Serikali haiendesheki na si hujuma

mkuu, tuliaminishwa hivyo hivyo mwaka 2005 kuwaJMK ni mtu anayejua umasikini wetu maana alikuwa ana mazoea ya kukaa na wananchi vijiweni. je, maisha bora ya kila mtanzania yamepatikana? unauona ubaya wa huo unaouita mrengo wa upinzani wa udini,ukanda na ukabila tu, je mrengo wa CCM wa rushwa na ufisadi uliotufikisha hapa hukuuona?
CCM na ujamaa wao ni ushetani, una sababu nyingi za kumshawishi raia waliomharibu akili, kupigania kubaki masikini kuliko zababu za kuuondoa umasikini.Wanaharamisha kila matumaini na njia za kumkomboa mwananchi. Ujamaa ni ushetani, ni km uchawi , wachawi wanaishi vibaya sana ila hawaoni sababu ya kuachana na huo upuuzi km wanavyoona sababu ya kudhalilisha watu .Wanapenda power kwa gharama yoyote kugeuza watu masikini na watumwa kisha kuwapa matumaini ya uongo kwamba wao ndio wakombozi. WATZ WATASHANGAA SANA KWANINI KILA TAFITI NA MIPANGO YA UKOMBOZI INAWEKWA KTK MAKABATI NA MIZENGWE INAIBUKA.
 
Unasikitisha sana, kwa sababu wewe mwenye thread umeachana na hoja unaanza kuandika mambo yasiyohusiana na thread yako mwenyewe!!. Mlitaka mabadiliko kwa kutumia mwanasiasa ambaye alipaswa kuondoshwa na mabadiliko!!.
Mlitaka kutuingiza chaka baya sana, mlikosa strategies nzuri, jipangeni upya.
Utasikitika vipi kwa kitu usichokijua muzee? Sasa unataka tuambia miaka 50+ shida ni viongozi au ni CCM?Unataka tuambie tatizo lako la kushindwa kufikiri ni kiongozi au ni siasa zilizokuprogram hivyo?
 
CCM ina miaka 39, CDM ina miaka 24, kuna tofauti ya miaka 15 kati ya vyama hivyo viwili. Kimkakati CCM wapo vizuri sana kuliko CDM, ndio maana nasema jipangeni vizuri.
Akili yako ikiwa negative huwezi kuona lolote linalofanyika, utaishia kuona matatizo tu. Typical Tanzanian.
 
Haha mikakati gani msukule wetu?Hata wachawi wana mikakati, majambazi na hata vichaa wana mikakati ,sijui km mikakati yao ina wema kwa jamii na hata wao wenyewe?Unajua kwanini ccm wapo busy kuficha bunge, kudai sijui nini siri ya serikali, na hata wachekeshaji wana kashfa ya kumkufuru mwenyekiti na rais? Kwa vile ni ushetani na kila kitu ni aibu wafanyacho.Kwa hiyo lazima wapewe muda wa kuchambua aibu zao. Bahati mbaya sana wafuasi wao km wewe huenda zionyesha kwa vitendo.Kwani wao ndio wahanga wa kwanza.
 
Haha mikakati gani msukule wetu?Hata wachawi wana mikakati, majambazi na hata vichaa wana mikakati ,sijui km mikakati yao ina wema kwa jamii na hata wao wenyewe?
Tunza kitambulisho chako cha kupiga kura, mwaka 2020 ukakitumie kwa kumchagua umpendae. Zaidi ya hapo unapoteza muda kulalama humu JF.
 
Tunza kitambulisho chako cha kupiga kura, mwaka 2020 ukakitumie kwa kumchagua umpendae. Zaidi ya hapo unapoteza muda kulalama humu JF.
Sipotezi muda kuelimisha wahanga km wewe. wanaochagua kupoteza mnuda na kukuita kufanya kazi, na kufanya kazi practcal mnaita kupoteza muda. Ujamaa ni kifo,ndio maana umepoteza muda kuzunguka hapahapa, sijui kapige kura, kisha unasema sijui nani hashindi ng`o, halafu unalia shida.Unazunguka hapo hapo kwa vile akili yako na maadili mabovu ya wajamaa hawana aibu,huruma wala integrity yoyote.Very irresonsible.

Majamaa hayajui hesabu ndogo ya demanda and supply ndio maana hawajui kwanini sukari inapanda bei, na hawakujui kujenga siasa ktk supply ndio shida.CCM ndio kikwazo si wafanya biashara. Wajamaa wanataka uhuru ila wanaka upande wa mizigo. Kura yangu ni muhimu ila uwepo wenu ni km trela iliyochomoka ktk kichwa.
 
Nicholas

CCM iko vizuri Kama Taasisi na ni rahisi sana kuirudisha kwenye mstari kuliko unavyodhani watu wanaingia na kutoka kwa maslahi yao, wakiweza tu kuwatoa hao maslahi watakua wameshinda kuna dalili njema toka kwa Magufuli.

Chadema bado iko kiharakati zaidi sote tuko kwenye NGO tunajua jinsi tunavyoziendesha, siwezi kukubali kumuachia mtu NGO yangu mtu mwingine bila kutimiza malengo yangu ni ngumu.

Chadema iko hivyo ukitaka mabadiliko ya kweli washauri watoke huko waingie kwenye siasa watu wenye upeo waingie utayaona mafanikio vinginevyo utaishia kuimba tu.
 
Ujamaa umewakuza wazazi wako wote wawili wakapata elimu wakaja kuoana na kukuza wewe. Ubepari ni ushenzi tu, humshangai David Cameron anahubiri siasa nyingi kumbe marehemu Baba yake alikuwa mkwepa kodi. Ubepari ndio uliowafundisha wanasiasa wa kiafrika kuweka fedha Switzerland, huku wananchi wa nchi zao wakihangaika na njaa na rundo la matatizo. Ubepari ndio huu ushenzi wa Marekani wa kusikiliza maongezi ya viongozi wakubwa wa nchi nyingine kina Angela Merkel.
Jitahidi sana usiwe mtumwa wa wazungu kiasi cha kujiabisha kwa kuandika comments zinazokushushia heshima yako.
 
Nicholas

CCM iko vizuri Kama Taasisi na ni rahisi sana kuirudisha kwenye mstari kuliko unavyodhani watu wanaingia na kutoka kwa maslahi yao, wakiweza tu kuwatoa hao maslahi watakua wameshinda kuna dalili njema toka kwa Magufuli.

Chadema bado iko kiharakati zaidi sote tuko kwenye NGO tunajua jinsi tunavyoziendesha, siwezi kukubali kumuachia mtu NGO yangu mtu mwingine bila kutimiza malengo yangu ni ngumu.

Chadema iko hivyo ukitaka mabadiliko ya kweli washauri watoke huko waingie kwenye siasa watu wenye upeo waingie utayaona mafanikio vinginevyo utaishia kuimba tu.
Pole sana.Mhanga wa zidumu fikra za mwenye kiti. Hata magaidi huwa wanaamini wakizidisha imani ndio wanato, na kila siku wana kitu kidogo cha kurekebisha ili waone mafanikio (watu wenye kufuata maslahi yao)kwao ikidogo.Ila kinawasumbua forever. Wewe ulitaka maslahi ya nani kwanza? Hata hizo NGO nazo hufeli sana kwa vile km ulivyokiri kuiona ccm ni nzuri naukakiri tena unajua jinsi unaiendesha.Sidhani km kuna zaidi cha kuwaambia watu jinsi huna maadili ya kutosha hata kuchangia hapa.

CCM mna fikra na mpangilio usiofanya kazi zaidi ya ktk maonyesho.Mnasema mnataka watu gani? Mnaanda watu wasio na maadili,waongo km wewe, mafiri halafu mnawapa wana kondoo .kisha mnajifanya hamjui shida ipo wapi mnamlaumu fisi mliyemuumba kwa kuwa mbinafsi?

Unafahamu kwanini kila PROJECT IKIANZA KWENDA VIZURI BAADAE IKAANZA KUFA WATU HESEMAJE? Siasa ziliingia, hiyo ni layman language ya kusema CCM ILIINGIA. Nani kakuambia Movement(Harakati) ni haramu politics ndio halali? Kwa udogo huu wa akili tayari unathibitisha thread. MAGUFULI ALIANZA VIZURI HADI CCM(SIASA) ZIKAINGIA. Sasa kachagua askari kivuli wake wote kichekesho zaidi. Kajipa kazi ya kufanya baadae kutimuatimua. Ni km kuchafua nyumba ili usafishe.
 
Ubepari anaouzungumzia Nicholaus ni unyama wa hali ya juu. Marekani imewakamata vijana wa kiarabu na kuwatesa Guantanamo Bay kwa miaka mingi, mwisho wanawaachia bila ya ushahidi kama kweli walikuwa ni magaidi.

Marekani inawadanganya kina Nico kwamba yenyewe haihusiki na chanzo cha ugaidi bali inapambana na madhara yake!. Juzi juzi Obama amekiri kwamba Marekani ilihusika katika kuifanyia ukatili Libya mpaka Gaddafi akauwawa kikatili.

Awamu ya tano itawanyoosha sana watu wenye akili za Nico, wasiofahamu kuwa misingi ya ubepari wa magharibi ilichukua miaka mingi kuweza kuwekwa, wanataka watanzania waingie kichwakichwa katika kucopy na kupaste mambo ambayo hawayajui vizuri.

Kila biashara kubwa inayohusisha mabepari ni lazima iwe na faida kwao kwanza. Migodini kuna wazungu ambao huko Ulaya walikuwa wafungwa lakini matajiri wa kimarekani na kicanada wakaongea na serikali zao ili hao wafungwa waje kufanya kazi afrika, kwani watapata pato halafu mlundikano wa wafungwa wa huko kwao utapungua.

Nico usiwathamini sana mabepari, lazima uwe na pride yako, lazima uwe na kiburi chako ambacho kinakuwa ni identity yako kila uendako.
 
Kwa hiyo unataka kuiondoa CCM ili uweke nini, CHADEMA? Miaka 20 hata ofisi hakuna leo unataka mpewe nchi? Miaka nane unaimba ufisadi na kuwapa wananchi list of shame leo unakumbatia watu wale wale? CHADEMA mnasimamia nani?

Na hicho unachoita a failed system, pitisha kontena lako pale bandarani bila kulipia ushuru halafu uje utuambie a failed system ni kweli au la?
 
pole sana, hata Saudi Arabia inawakamata, Iran, Iraq, Uturuki, Urusi, Uchina, na Tanzania pia tunawakata. Hiyo jumla inakupa UBEPARI? katibu huo ugonjwa unaoambukizwa na CCM. Ukisoma hapo juu na hichi ulichoandika ndio utaona ujamaa unawaandaa watu kuwa magaidi kwa zaidi ya 80%, wewe hapo bado kidogo tuu ukipigwa starter utakuwa iraq ukipigania kitu usichokijua utakifia lini na kikoje . Hiyo kutu ya ujamaa huwa ni road to nowhere.
 
Kwa hiyo unataka kuiondoa CCM ili uweke nini, CHADEMA? Miaka 20 hata ofisi hakuna leo unataka mpewe nchi? Miaka nane unaimba ufisadi na kuwapa wananchi list of shame leo unakumbatia watu wale wale? CHADEMA mnasimamia nani?

Na hicho unachoita a failed system, pitisha kontena lako pale bandarani bila kulipia ushuru halafu uje utuambie a failed system ni kweli au la?
wewe huwa unaenda tibu TB,EBOLA ili uweke nini? Km unapenda ugonjwa ni wazi utapenda ukitibiwa ugonjwa upewe ugonjwa. Simple kuindoa CCM ni mwanzo kufanya vitu vingine vizivyo na mzunguko wa kuleta magonjwa.

Hizo ni sifa za mhanga wa kitu kibaya,pole sana. Ulitaka CCM ikitoka uongezewe dosage kubwa na wale magidi? Ndio nakuambia Ujaama ni maandalizi ya ugaidi na wengine ni magaidi full. Siku zote wa wa kulaumu, wanatafuta maadui kila kona. Kisha wanpoteza rasilimaliz ote ktk kupigana na huyo adui wa kufikirika. Na siku zote wana mifumo kuanzia ktk vyuo, na vyombo vya habari vya kutafuta adui na kupandikiza kwa vizazi vijavyo. Ndio maana mnaonekana km misukule kila mahali.
 
wewe huwa unaenda tibu TB,EBOLA ili uweke nini? Km unapenda ugonjwa ni wazi utapenda ukitibiwa ugonjwa upewe ugonjwa. Simple kuindoa CCM ni mwanzo kufanya vitu vingine vizivyo na mzunguko wa kuleta magonjwa.

Jibu hoja, acha kujificha kwenye matusi. Miaka 20 CHADEMA hata ofisi hakuna leo mnataka kupewa nchi? Hamna historia ya kusimamia jambo, zaidi ya kubadilisha goal posts. Hoja ya ufisadi mmejilisha matapishi leo unakuja na failed system! Mmesababisha watu wakapigwa virungu mkiwaambia mnapinga ufisadi leo hii mnafanya kinyume. What a shame!
 
Kwani wanatumia nini siku hizi?office za CCM? Au unataka majengo ya kifisadi na ushahidi wa kuuzwa nchi km yale majengo ya dodoma zawadi ya mchina kwa kuuza nchi? Upuuzi wako ufisadi ni hadithi tuu ya kupiga na kuondoka.Wajamaa ni km wanyama hawana maadili,aibu wala akili ya kufanya kitu chenye maana. Kwa akili yako ufisadi ni hadithi tuu ya kupiga na kuondoka. Ndio maana watz waliambia ccm haiwezo toa ufisadi. kwao ni story tuu na si kitu ch akuwajibika kimaadili.
 
Pole sana.Mhanga wa zidumu fikra za mwenye kiti. Hata magaidi huwa wanaamini wakizidisha imani ndio wanato, na kila siku wana kitu kidogo cha kurekebisha ili waone mafanikio (watu wenye kufuata maslahi yao)kwao ikidogo.Ila kinawasumbua forever. Wewe ulitaka maslahi ya nani kwanza? Hata hizo NGO nazo hufeli sana kwa vile km ulivyokiri kuiona ccm ni nzuri naukakiri tena unajua jinsi unaiendesha.Sidhani km kuna zaidi cha kuwaambia watu jinsi huna maadili ya kutosha hata kuchangia hapa.

CCM mna vikra na mpangilio usiofanya kazi zaidi ya ktk maonyesho.Mnasema mnataka watu gani? Mnaanda watu wasio na maadili,waongo km wewe, mafiri halafu mnawapa wana kondoo .kisha mnajifanya hamjui shida ipo wapi mnamlaumu fisi mliyemuumba kwa kuwa mbinafsi?

Unafahamu kwanini kila PROJECT IKIANZA KWENDA VIZURI BAADAE IKAANZA KUFA WATU HESEMAJE? Siasa ziliingia, hiyo ni layman language ya kusema CCM ILIINGIA. Nani kakuambia Movement(Harakati) ni haramu politics ndio halali? Kwa udogo huu wa akili tayari unathibitisha thread. MAGUFULI ALIANZA VIZURI HADI CCM(SIASA) ZIKAINGIA. Sasa kachagua askari kivuli wake wote kichekesho zaidi. Kajipa kazi ya kufanya baadae kutimuatimua. Ni km kuchafua nyumba ili usafishe.
Bado unazungusha mikono Nicholas umebaki nyuma sana Mbowe Kiongozi wako 2014 alisema wanaibadili Chadema toka kuwa chama cha harakati kua chama cha Siasa, Lowasa juzi hapa kasema anaibadili Chadema kutoka Harakati kua chama cha siasa ili atakapogombea urais iwe heri kwake.

Pokea ushauri badilikeni ktk chama chenu kupokea Amri toka kwa Mtei na Mbowe hata CCM wameacha siasa za Zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Wengi wanaweza wasinielewe. Ila kwa wenye kuelewa mambo na walioiona CCM ktk historia, watakubaliana nami. Na hata wale wasioweka linganisha data nyingi sana kwa mara moja, wanaweza hata kuangalia quality ya wana CCM na kuona kuna shida zaidi ya watu,hata wale wanaopigiwa upatu. Bila nguvu za ziada hawawezi hata linda au kutetea value yoyote ya CCM.Bila nguvu nyingi hawawezi simama ktk jukwaa huru la fikra.

Hakuna kiongozi wa CCM atakuja asianze sifiwa sana mwanzo, muda mfupi baadae.Kilio cha hujuma toka ndani kisianze, kisipoanza cha hujuma basi WATENDAJI WAKE WATAAMBIWA NDIO HAWANA SIFA, baadae wanarudi tena ktk hujuma. HIi ni pattern inayojirudia. Ni pattern hihi inayoweza onekana kwa watu wasio na utaratibu wa maisha,au wanaomini mifumo, imani, na mila zilizoshindwa ktk dunia ya wakat huo. NI ccm hi hi imejengwa ktk ujamaa unaominisha watu unaoaminisha watu kwamba kushindwa kwao kunatokana na watu fulani wanaitwa Mabeberu na Si mipango na uendeshaji mbovu wa maisha yao.

Sitegemei popote katika maisha haya Utawala huu mpya utakapoona mambo hayaendei wakimbilie ktk hoja kwamba anahujumiwa. Itakuwa ni kipindi km taifa kujiuliza km tunahitaji tena ccm ili tutoke ktk hii VICIOUS CYCLE. Tutakaposikia hii kilio cha kuhujumiwa basi wajue sisi wananchi ndio tuna kila sababu ya KUHUJUMIWA NA TUTAHITAJI NASI KULIA HICHO KILIO NA KUDAI FIDIA YA HIZO HUJUMA.Bado hatujalia, kwa vile tunaamini kulalama sio tiba, ila kuwakumbusha kwamba shida ni mfumo uliopitwa na wakati unaoshikiliwa na uwepo na chama kilichopitwa na wakati.

CCM NA HII NCHI NI KAMA MDUDU AU BINADAMU ALIYEINGIWA KTK JIJI NA AKITAFUTA NJIA YA KUTOKA HUKU AKITEMBEA KWA MIGUU,HUKU MITAA MINGI IKIZUNGUKA HAPO HAPO NA MINGINE HAICHOMOZI. WAPINZANI NI KM WATU WALIOPO KTK JIJI HILO HILO HUKU WAKIWA NA GARI ,NA CHOPA PAMOJA NA GOOGLE MAP. UKIWA NA CHOPA UNAONA MITAA NA UNAWEZA MWONGOZA MTEMBEA KWA MIGUU MITAA IPI INACHOMOZA. CCM NI MTEMBEA KWA MIGUU MPUUZI ANAYEBISHANA NA MWENYE KUJUA NJIA HUKU AKIWA HANA NJIA YA KUTOKA.MWISHOWE ANAISHIA KURUDI PALEPALE

MAGUFULI AKITAKA FANIKIWA HANA HAJA YA KUPOTEZA MUDA NA KAZI NGUMU YENYE TIJA NDOGO KWA KUJENGA NYUMBA JUU YA MSINGI WA MCHANGA MTUPU CCM. ANACHOWEZA FANYA CHA KUKUMBUKWA NI KUIBOMOA KABISA CCM. MENGINE YATAJIENDESHA YENYEWE. NCHI NYINGI ZENYE MIFUMO MIZURI HUJIENDESHA ZENYEWE. CCM IMETENGENEZA NCHI HATA IKIWA NA UONGOZI HAIENDI SANA. CCM NI KIKWAZO KIKUBWA SANA.

UJAMAA NI KM MGANGA ANAYETAMBIKA WENGINE WAPATE PESA,HUKU YEYE AKIPEWA KIDOGO ZAIDI. KWA MISEMO YA CCM MGANGA HAJIGANGI .AS IF MGANGA HAWEZI KUNYWA DAWA ANAYOMPA MTU. HAMJAWAHI SIKIA WATU WOTE WALIOJIFUNZA VITU KWETU WAMEKWENDA PATA TUZO?SABABU NI NINI? NI KWAMBA MCHAWI HASTAHILI CHOCHOTE KTK HII, MCHAWI NI KM MTUMWA ANAYESHIKIA VITU WATU HADI WENYEWE(WARITHI) WAJE CHUKUA. MWISHOWE HUJISIFU KWAMBA WAO NDIO WATOA RISIKI, WAO NDIO WATOTO WA MJINI, WAO NDIO MASTER PLANNERS.

Kwa aliyewahi sikia huu usemi.."ULE MRADI ULIKUWA MZURI SANA HADI ZILIPOINGIA SIASA" kwa lugha nyingine hawakusema tuu "ILIKUWA NZURI HADI ILIPOINGIA CCM". Walipogusa tuu ikanajisika.

UJAMAA SI KITU HALISIA. WAJAMAA KILA KTK MAONYESHO YAO NI UONGO NA KINAISHIA KUWA MAONYESHO TUU NA SI KWA MATUMIZI .NI KUJIONYESHA TUU KUWA NAO WAPO AU ZAIDI ILA SI VITU HALISI. KWA MIAKA YOTE TZ KTK MAONYESHO UTAONA SAMPLE NYINGI .HATA KILIMO SIKU ZOTE NI NURSERY.HATA KELELE ZA KILIMO KWANZA NI MAONYESHO TUU..WANAOFANYA SERIOUS NI WALE WALIOKUJA KTK MAONYESHO.DUNIA NZIMA KUNA NCHI ZILIJIFUNZA KILIMO KWANZA NA SASA WANAATA MBUGA.WANACHOWEZA NI KUKWAMISHA WAZAWA KWA VILE NDIO SIZE YAO, NDIO NAMNA YA KUENDESHA HUU MFUMO ULIOUMBWA NA WIVU NDANI YAKE, MFUMO WENYE GHILIBA NA KUCHUKIA MAFANIKIO.WALIOFANIKIWA KUHARAMISHWA.

KWA BAHATI MBAYA SANA WATU HAWAJAONA . ILA NADHANI WATZ WACHA MUNGU WANGEKUWA WAMEFUNGUKA KIDOGO "WANGEFANYA MAOMBI YA KUMSHUKURU MUNGU KWAMBA TUPO SALAMA HADI SASA". MPAKA SASA UJAMAA NA JIKO LAKE CCM WAMESHAFIKISHA WATZ KTK STAGE YA MBALI SANA KUGEUZWA MAGAIDI. WATZ WALIPEWA ADUI, WAKAPEWA SABABU ZA KUCHUKIA, WAKAPEWA MOYO NA NIA YA KUPIGANA,WAKAPEWA KINGA WASIPATE KUAMKA AKILI(WAKAAMBIA KILA ANAYEAMSHA NI KIBARAKA ASIYETAKIA NCHI MEMA, KUWA ANAYEWAAMSHA ANATAKA MADARAKA).KISHA WAKAPOOZWA KUSUBIRI AMRI YA UONGOZI MKUU .PROPAGANDA MACHINES ZOTE KUANZIA VYUONI, MABALOZI, NA WAANDISHI WOTE KAZI NI MOJA KUWAGEUZA MAGAIDI,NA KUWAKINGA NA WOKOVU. Ukiwasikiliza watz ktk mijadala unaweza tapika jinsi wanavyoongea km misukule bila aibu.Hata walioona mwanga hawakuweza ona vyema kwani tayari matongotongo na ukungu yalishaganda sana machoni. Mara nyingine wakingalia vitu wanakuwa na wasiwasi km ni chenyewe.

MAGUFULI POLE SANA, HIYO NDIO CCM NA WATU WAKE NA UWEZO WAO. MAKOSA MENGINE SI HUJUMA NDIVYO AKILI ZAO ZINAWATUMA KWAMBA WANAFANYA BEST THING AROUND FOR THE PARTY.NI MAKADA WALIOAPA KUFIA CHAMA NA MWENYEKITI WAKE.SOON UTAKUWA MWENYEKITI UTAPEWA UTIIFU WA KUTISHA. HATA YULE MAMA SHEM WAKO KWA WAJINA ALIKUWA ANATIMIZA WAJIBU WAKE KWA CHAMA.KUTETEA CHAMA ILI HAYO MAMBO YA WEZI WA MISHAHARA KWA WATUMISHI HEWA MKAMALIZE SIRINI KM MUNGE LA SIRI.NDIO AKILI ZA KIJAMAA, NA MAHATI MBAYA SANA WAJAMAA HUWA ISSUE ZAO ZINAJIGONGA PABAYA SANA KIASI CHA KUWAFANYA WASIAMINI KM TRENI ZAO NI KM NYUMBA YA BABEL NA HAKUNA MKONO WA MTU. UJAMAA NI SHETANI NDIO MAANA WANAJIPA UUNGU KWAMBA BINADAMU(MWANANCHI ANA MAPUNGUFU SANA BILA KUONGOZWA NA KUSAIDIWA FIKIRI ATATUMBUKIA SHIMONI). WAJAMAA KWA VILE MIUNGU, CHAMA NI DINI, IKULU NI MBINGU NA MWENYEKITI NDIO MWENYE FIKRA PEKEE SAHIHI.BASI HUWASAIDIA WANANCHI KUCHAGUA HABARI TAKATIFU ILI YULE MWOVU ASIYEWAZIDI. BASI NAPE MALAIKA MLINZI KAAMUA KUWASAIDIA WANANCHI WASISIKIE AKINA KITWANGA NA AKINA LEMA WAOVU WAKUBWA WANAOLETA VITU VYA KUTWANGA. NA KUMVUTA MUNGU(AKA MWENYEKITI SHARUBU).

IMAGINE CUBA LEO NDIO INAPATA INTERNET NA TV KWA WANANCHI WAKE.PAMOJA NA ELIMU NA UWEZO WA WATU WAKE.LEO CUBA KM GEREJI KUBWA YA KUKUSANYIA MAGARI YA KIZAMANI .WANGEKUWA SI WAJAMAA LEO WANGEKUWA WAPI.SIDHANI KM MAREKANI NDIO WALIWANYIMA CUBA KUWA NA INTERNET ZAIDI YA MUNGU CASTRO MLEZI WA KILA RAIA, MUNGU WAO N ABABA YAO WA KUALINDA HADI NA FIKRA MPYA.HUO NDIO UJAMAA KM UGAIDI ULIVYOACHA NCHI ZA WATU NA MATESO MAKUBWA BADO WANAAMINI WENGINE NDIO WANAWAHUJUMU KM VILE WENGINE NDIO WALIWALISHA HIZO ITIKADI ZA KUWAZUNGUSHA KTK MATATIZO BILA KUTOKA.

Nipo tayari kwa changamoto za kifikra na nawasilisha rasmi.
Ipi system ya chama gani wewe unaona ni succesfull na hayo mafanikio yameoneka
Wapi
ul
 
Kwani wanatumia nini siku hizi?office za CCM? Au unataka majengo ya kifisadi na ushahidi wa kuuzwa nchi km yale majengo ya dodoma zawadi ya mchina kwa kuuza nchi? Upuuzi wako ufisadi ni hadithi tuu ya kupiga na kuondoka.Wajamaa ni km wanyama hawana maadili,aibu wala akili ya kufanya kitu chenye maana. Kwa akili yako ufisadi ni hadithi tuu ya kupiga na kuondoka. Ndio maana watz waliambia ccm haiwezo toa ufisadi. kwao ni story tuu na si kitu ch akuwajibika kimaadili.

Hapo kwenye red, that's exactly what CHADEMA ya mwaka 2016. You are nothing more than hypocrite, miaka 20 ruzuku imeeanda wapi haha ofisi hakuna? Mmeishia kuuziana fusso zilizoeka! Na mmengekuwa na maadili au aibu kama unavyojidai kuandika hapa mmewaomba Watanzania msahama for lying all these years! Ifike mahali tuite a spade a spade, CHADEMA ya mwaka 2016 haina moral authority kuhubiri maadili au ufisadi. Hakuna. Na ni swala la muda huo uozo wa kuuziana Chama utaajitokeza hadharani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom