Kwa failed system kama ya CCM ni kwamba Serikali haiendesheki na si hujuma

Kuchuja haraka kwa serikali ya makada wa Ccm ni ishara na ushahidi wa wazi kwamba Ccm ni kitovu cha total irrationality. Wajamaa Hawawezi kwenda mbali zaidi ya MAJARIBIO. Kila kitu kwao ni majaribio
 
Its funny majibu speaker wa bunge anahukumu kesi ambayo yeye mwenyewe ni mtuhumiwa, badala ya kujibu tuhuma anadhibu mlalamikaji kwa kulalamika. Huo ndio ujamaa "The sum of all stupidities"
 
Uteuzi tuu wa mawaziri unaonyesha jinsi vigezo na fikra za Ccm zipo kuongeza matatizo.Hata kiongozi anayesifiwa bado atachagua mawaziri wasio na utendaji bora, wasio na maadili wala kuamini haki za binadamu.
 
Nchi nzima watu hawajui nini kinaendelea na kwanini kanacho ituwa nia njema hakina majibu ya kueleweka. Problem ni Ccm na siasa zake
 
tatizo watanzania wengi hawajui hata kusoma na kuandika hivyo kuwaelimisha watu wa namna hii ni shida tupu
Na wanaojua kusoma hawa kupoteza sana muda shule ni ktk vipande vya ufahamu/ comprehension.
 
Tayari Ccm imekaa mkao wa kuanza jipinga yenyewe.Tayari mamluki wao ktk upinzani na ndani ya chama wameshaswitch sides. Sasa wanafanya kazi dhidi ya kila kitu ikiwapo na yenyewe.
 
Leo Mkapa hajui kwanini mchakato wa katiba kakwama. Leo magufuli hajui sasa udini sijui udhehebu uliomwingiza ndio kikwazo kwake, sasa hivi udini umewekwa on guard kulinda old guards. Huu ndio wendawazimu wa ujamaa. Hawana project endelevu.
 
Kujaa thread za kushangaa failures za uongozi na kupinga miezi ya Ccm , hujuma ktk uenyekiti, wizi fisadi.Ni wazi kila kitu kinanyooshea Ccm kidole kuwa ndio tatizo.
 
Tukianza tangu enzi ya Nyerere hadi dawa Ccm ikigusa kitu kinanajisika. Wenyewe wana poteza muda kulinganisha awamu zake. Kwa vile hawana uwezo wa kuona nje ya upuuzi wa mfumo wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom