Kwa faida ya wale wasiomjua!

Kwa faida ya wale wasiomjua!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
Hizi salamu zimfikie Kui popote pale alipo![emoji1]
 

Attachments

  • 1481012541940.jpg
    1481012541940.jpg
    22.3 KB · Views: 72
Roho ya shetani hiyo iraq na Afghanistan wana habari yake jamaa ananuka damu za binadamu wenzie
 
Atakua punga tu huyo maana marekan mmmmh
 
Ila mkuu hyo avatar yko huwa inaniacha hoi aisee. Na unavyojiita behaviourist nikilinganisha na hyo sura huwa nachoka kabisa
 
Muunganiko wenu nina wasiwasi nao,
Mtaishia kugusishana vikojoleo.
 
kuna mkaburu mmoja alikuwa security manager wetu alikuwa ni mbabe alijikataga uume na huyu jamaa tukiwa kama askari wake kazini tulimuogopa sana ingawa hakuwa na uume alijipikia na kujifulia nguo zake!aliitwa colins kuna watakuwa wanamjua hapa
 
Ila mkuu hyo avatar yko huwa inaniacha hoi aisee. Na unavyojiita behaviourist nikilinganisha na hyo sura huwa nachoka kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23].......hiyo ndo sura yangu halisi mkuu,alinichoraga rafiki yangu wa kike akawa amenitoa sana so nikaupenda huo mchoro wake!
 
Back
Top Bottom