Mkapa ni mwizi na muuaji.mwalimu kipindi kile hakua na mafua wala kichomi,walimkuta mzee wa watu yupo zake shambani anapalilia,sasa kwakua mwalimu alikua na tabia ya kufanya checkup ya afya yake mara kwa mara na ilikua ni muda mrefu hakuawahi kufanya huo uchunguzi wa afya yake akaona si vibaya ngoja akacheki.kumbe limkapa limesgafanya mambo yake huko ndio yakawa yaliyokua,kwanza laana lile limtu ndio maana haishi kupigwa na mkewe kila kukicha na kusaidiwa kazi za chumbani,jitu sura mbaya kama mdudu vile.mbona na usomi wake hakuna alilofanya zaidi yakuuza viwanda na raslimali zote za nchi?mkapa ndie mtu wa kwanza kuimajisi ikulu kwani aligeuza kuwa pango la biashara na wanyanganyi,alikua anafanya biashara kitu ambacho mwalimu alikipiga vita kuliko vitu vyote,ukwepaji kodi mkubwa ulianzia kwa mkapa na ufisadi wote wakutisha,epa,meremeta,mchuchuma ,majengo pacha na madudu mengine yote.bora huyu mnae mwita hakusoma alakini anatetea haki za wanyonge na kusimama katika ukweli.wakowapi wasomi kina balali,mramba,chenge,karamagi,rostam na hao mnao amini ni wasomi,wamelifikisha wapi tanzania ya sasa au mnaongozwa na ushabiki tu.nyerere ni msomi mara mia ya mkapa msomi mwizi na muuaji.