kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
Mchukue ukamuweke kabatini!Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM.
Naomba CCM mjitafakari Sana.