Kwa Calculation hizi mimi Nanyoosha Mikono!

Hesabu kwangu ilikuwa ni mama mkwe nimejitahidi sana mtihani 65% na hapo nimeshaumiza kichwa vya kutosha
 
Niligombana na Hesabu, so
mimi na Hesabu tuna Beef
 
Kwel hiyo hesabu ngumu had imemtoa jasho teacher.Kaamua avue na shati kabsaa
 
Hahaha! Nimeipenda and its true! Wanasemaga wanawake huwezi ishi nao na huwezi ishi bila wao. Kwahiyo huna namna zaid ya kuishi ndani ya matatizo
 
Hahaha! Nimeipenda and its true! Wanasemaga wanawake huwezi ishi nao na huwezi ishi bila wao. Kwahiyo huna namna zaid ya kuishi ndani ya matatizo
umenifurahisha sana na maneno yako kijana
teh ! teh! teh!
ni kweli huwezi kuyakimbia mapenzi zaidi ya kubaki kulalama tuu lkn humo tuu !
 
Reactions: ydn
Hesabu ina wenyewe mimi hapana unaumiza akili weeee mwisho wa kazi unaambulia x
 
ha ha haπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Hesabu ni nomaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sema ndiyo vile kwa wale rafiki zangu wa People Calculate like Machine basi Mororo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…