Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

Na vipi ina support apps za Google?
Mzee embu chukua hiyo utokuja jutia

hizo Samsung na infinix ni nzuri sijakataa Ila Xiaomi ni simu Kati simu zinazoeleweka camera yake imenyooka

Charge inakaa mno
Ina performance kubwa

We imagine Tu simu ina Snapdragon 680 [emoji2937]
 
Back
Top Bottom