masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,386
- 19,309
- Thread starter
- #41
200kWewe ulitaka iwe ngapi?
200kWewe ulitaka iwe ngapi?
Mimi naomba walioko kwenye buashara wasemesio kweli
tata daladala hesabu ya juu kabisa kwa ruti za DSMni 100000 mpk 150000 kulingana na upya na makubariano na njia inayoenda
laki tatu labda ruti za mikoani rough road
baada ya mda gan inakua yakoTATA kwa Dar ni 150000, musoma to mwanza ni 180000, mbeya to sumbawanga ni 220000 hadi 250000, kahama to kasulu ni 220000 hadi 250000, coaster za misiba Dar wastani kila ukitoka inatakiwa kulaza 450000 hadi 500000, malipo yote hapo ni kutoa service ndogondogo na posho ya safari kwa dreva na kondakta wake, bei hubadilika kulingana na msimu miezi dume kama January hadi April maongezi hua yapo, hapo kwa route zote charge ya mizigo na zile excess hazihesabiwi kwa tajiri. Nawasilisha, ngara to mwanza ni 300k hadi 3
Hiii walisema tata mpya 100-120Mkuu,Tata Ukinunua Mpya ni Milioni 100+So kwa hesabu ya 300k inamaana kwa mwezi ni 9M kwa mwaka 100m net.Ili kwanza ilipe mtaji.So Yes ni kubwa ila sasa Utafanyeje na Umetaka kazi ukapewa kazi.Kwa kweli madereva wa daladala tunapata tabu sana.Serikali itupe Ruzuku,
Tata au echa ?Hizo Tata za chanika na ruti mbali mbali mkiziona tata hiyo ndo hesabu
Hii hesabu naiona ni kubwa na kwa maoni yangu ni ya kinyonyaji na hii inafanya dereva alale late aamke mshale
na pia inachangia mwendo kasi sana kwa haya ma TATA
kama mnakumbuka kuna lile lilidondoka juu kwenye fly over
Hapa anamaanisha Tata minibus, marejesho kwa tajiri per day.Tata ipi hiyo?
Hivi hamna wanaonunua wai wenyewe kwa cashBila kubana hivyo kwenye Hesabu ya Siku, mmiliki unaweza kufa Kwa pressure/kisukari kabla ya wakati wako.
Imagine umechukua Mkopo kununua hiyo gari, na rejesho ni zaidi ya milioni 3 Kila Mwezi
Utaachaje kukaza kwenye hiyo hela ya malengo
Hata kama utanunua Kwa cash, principal ni kuwa mjanja kuangalia payback period ya uwekezaji wako kabla gari halijaanza kusumbua kutokana na depreciation maana as times goes lina depreciateHivi hamna wanaonunua wai wenyewe kwa cash
Sawa.Hesabu ya tata mbovu
Injini nyumaTata ipi hiyo?
Mi naona kama ni ngumu sanaHio hela ilikua inaptikana mapema kabisa kiasi ukiamka saa 11 hadi saa nne tayari , ila foleni za dar es salaam hadi saa tano usiku unaweza usifikie.
Na ndo walikua wanasemaHata kama utanunua Kwa cash, principal ni kuwa mjanja kuangalia payback period ya uwekezaji wako kabla gari halijaanza kusumbua kutokana na depreciation maana as times goes lina depreciate
Watu wanasema ni 150kHata kama utanunua Kwa cash, principal ni kuwa mjanja kuangalia payback period ya uwekezaji wako kabla gari halijaanza kusumbua kutokana na depreciation maana as times goes lina depreciate
Bora ulivosema😃✋️Yan huu uzi umejaa uongo uongoooo
ndio sisi madereva wa hizo tataMimi naomba walioko kwenye buashara waseme
Mimi nimestaajabu sana
Hesabu ya 150k tata ya zaman