TATA kwa Dar ni 150000, musoma to mwanza ni 180000, mbeya to sumbawanga ni 220000 hadi 250000, kahama to kasulu ni 220000 hadi 250000, coaster za misiba Dar wastani kila ukitoka inatakiwa kulaza 450000 hadi 500000, malipo yote hapo ni kutoa service ndogondogo na posho ya safari kwa dreva na kondakta wake, bei hubadilika kulingana na msimu miezi dume kama January hadi April maongezi hua yapo, hapo kwa route zote charge ya mizigo na zile excess hazihesabiwi kwa tajiri. Nawasilisha, ngara to mwanza ni 300k hadi 3