Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
 
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.

Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.

Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.

Tulisema adui wa nchi hii ni CCM hamkutuelewa, sasa mtaelewa tu
 
Kagame ni sisimizi tu.

Anatumia propaganda dhaifu za vitisho, kwanza yule tunamtumia MIGAMBO tu wamnyooshe na kakijiji chake cha Rwanda.

JWTZ ni jeshi lenye hadhi ya juu sana haliwezi kushindanishwa na huyo KIJITI mwenye afya GOIGOI.

Huu ndio wakati wa akina Lucas Mwashambwa na migambo wenzake akina ChoiceVariable kuchangamkia fursa na kwenda kumtwanga huyo KIJITI WA RWANDA.
 
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.😩😩😩
 
Kagame ni sisimizi tu.

Anatumia propaganda dhaifu za vitisho, kwanza yule tunamtumia MIGAMBO tu wamnyooshe na kakijiji chake cha Rwanda.

JWTZ ni jeshi lenye hadhi ya juu sana haliwezi kushindanishwa na huyo KIJITI mwenye afya GOIGOI.

Huu ndio wakati wa akina Lucas Mwashambwa na migambo wenzake akina ChoiceVariable kuchangamkia fursa na kwenda kumtwanga huyo KIJITI WA RWANDA.
Saivi wamekuwa Jeshi la Maonyesho. Leo walikuwa Comoro wanacheza kwata ya kimya kimya.

Kweli CCM wametuulia hili Taifa.

Tena kawaambia kuwa mnajisifu mnaweza kushambulia mji wetu Kigali kutoka nchini kwenu sasa nawaambia sisi tunaweza kuja hadi hapo mnapofanyia mashambulizi dhidi ya Kigali na kuwafanyizia.

Kagame mtu hatari sana.
 
JWTZ Ipo imara mno

Mjinga ni Samia na Shishekedi tu kutokidhi mahitaji ya wanajeshi na ushauri wa kitaalamu!!
Ndo upumbavu ambao kama wana akili washirikiane na TISS kuukomesha walazimishe katiba mpya inayowapiga pini Wanasiasa.

Inakuwaje mwanasiasa anakuwa juu ya mifumo?

Huu upuuzi upo Tanzania tu ndo mana saivi tunazidi kuwa kituko.
 
Back
Top Bottom