Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,836
- 19,533
Hata msipopiga kura makonda ni Mbunge wenuHatutaki kumuona huyu jamaa hapa.
Hakuna mtu hapa Arusha atampigia kura huyu jamaa.
Hakuna.
Hata msipopiga kura makonda ni Mbunge wenuHatutaki kumuona huyu jamaa hapa.
Hakuna mtu hapa Arusha atampigia kura huyu jamaa.
Hakuna.
Kaka leo umemkana jamaa yako wa muda woteNimezaliwa na kukuwa Arusha.
Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.
Naona Makonda kama mvamizi tu.
Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.
Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.
Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Sikiliza kwa utawala na mifumo ilivyo hata yesu akiwa Mbunge hakuna atakacho fanya, sijui kama mna akili au la.U RC ulikuwa unamtosha sana kwa Arusha
Ningeshangaa sana Watu wa ArushaHatutaki kumuona huyu jamaa hapa.
Hakuna mtu hapa Arusha atampigia kura huyu jamaa.
Hakuna.
Fight for ReformsSikiliza kwa utawala na mifumo ilivyo hata yesu akiwa Mbunge hakuna atakacho fanya, sijui kama mna akili au la.
Nyie ndio mmeshikiwa akili na mifumo, Hao wabunge sana wanatafuta ajira kwa faida za familia zao, Sasa endeleeni kujitoa ufahamu mkizania akija nani ndio itakuwa sawa.Fight for Reform
Nyie ni mabwegeNimezaliwa na kukuwa Arusha.
Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.
Naona Makonda kama mvamizi tu.
Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.
Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.
Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
We endelea kulamba miguu watu. Yasiyokuhusu achana nayo.aw
Nyie ndio mmeshikiwa akili na mifumo, Hao wabunge sana wanatafuta ajira kwa faida za familia zao, Sasa endeleeni kujitoa ufahamu mkizania akija nani ndio itakuwa sawa.
Mnadanganywa na maendeleo ya pipi.
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.
Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.
Naona Makonda kama mvamizi tu.
Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.
Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.
Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Mtampigia nani??Hatutaki kumuona huyu jamaa hapa.
Hakuna mtu hapa Arusha atampigia kura huyu jamaa.
Hakuna.
Kua atakua labda huko kudumu ndio sijuiHawezi kuwa nakuambia mimi hapa. Na akiwa sio kwa baraka zetu. Na hata dumu.
Maendeleo yapi?Gambo amefanya maendeleo ambayo huyo jamaa sijui kama ataweza kufanya kwa kupindi chake sijui wamewaza ninj hao ccm aisee...
Mfano nani? naongelea mfumo mzima kwa sasa hata mbunge atoke chama gani hakuna anacho weza kufanya, Taifa limejaa wapumbavu sana type yako.We endelea kulamba miguu watu. Yasiyokuhusu achana nayo.
Usisahau Warioba alitiwa Kofi mbele ya Waandishi wa HabariHatutaki kumuona huyu jamaa hapa.
Hakuna mtu hapa Arusha atampigia kura huyu jamaa.
Hakuna.