GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Kwani ameshapitishwa na Ccm kuwa mgombea ubunge huko Arusha?..

Anyway..mkatae kwenye sanduku la kura.
 
Makongoro Nyerere alikuwa mzaliwa.wa Arusha, Felix Mrema?, Godless Lema?, Gambo?
 
Makonda ni Muhuni sana,Aliamua kuwakumbatia wale vijana wahuni wa mjini ili hatakama wanaArusha wakimkataa kusitawalike,mana atawatumia hao vijana wahuni kufanya vurugu
 
Makonda ni Muhuni sana,Aliamua kuwakumbatia wale vijana wahuni wa mjini ili hatakama wanaArusha wakimkataa kusitawalike,mana atawatumia hao vijana wahuni kufanya vurugu
Anafikiri hao wahuni watamsaidia.
 
Makongoro Nyerere alikuwa mzaliwa.wa Arusha, Felix Mrema?, Godless Lema?, Gambo?
Unaandika ujinga kweli wewe

Makonda hajawahi kuwa na hata hatua moja ya ardhi arusha kabla ya kuwa mkuu wa mkoa.
 
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Wewe utakuwa Mrisho Gambo
 
Hatutaki mashoger wasukuma Arusha.
 
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Hao wabunge waliotangulia waliokuwa wanaijua vizuri Arusha, wameifanyia nini Arusha? Kama ni kwa wewe binafsi hakufai, basi hakuhusu, kwasababu hatakuwa Mbunge wako binafsi, atakuwa kwa wana Arusha wote. Arusha ilikuwa imeshadumaa, sio kwa utalii au madini au mahusiano ya kimataifa na kibiashara. Ila Makonda kwa hii miaka 2 tu kama Mkuu wa Mkoa kairudisha Arusha kwenye ramani
 
Maendeleo yapi?

Bado kuna porverty kwa raia wengi sana, Huduma za afya ni shida sana mno, Ajira hakuna, Mifumo ya kodi sio rafiki kabisa, mazingira magumu ya ufanyaji biashara, na kadhalika, nyie mlivyo wapumbavu, mnaangalia idadi ya Barabara za lami? Zinaondoa umasikini? zinafanya mifumo ya afya kuwa Bora? Zinafanya kuwe na mifumo rafiki ya kodi?

Ujinga sidhani kamautawaisha Wabongo, sidhanii kabisa.
Maendendeleo ya mtu mmoja mmoja, jamii, Jimbo au taifa hayafanywi na mbunge binafsi.
Viongozi akiwemo mbunge ni viunganishi tu wa juhudi za wananchi kwa ujumla wao kujiletea maendendeleo.
Fikra mbaya na za kimasikini ni kuamini kwamba viongozi ambao huishi kwa kutegemea jasho la walalahoi (kodi) watawaletea maendendeleo kutoka mifukoni mwao au kwa juhudi binafsi.
Maendendeleo ya jamii, jimbo na hata taifa ni matokeo ya jitihada za wananchi wote.
 
Back
Top Bottom