GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Ni vizuri mzawa ndiye apewe nafasi ya kuwa muwakilishi wa mkoa katika bunge kwani yeye ni muathirika ikiwa kutakuwa na maendeleo au tabu katika mkoa huo pamoja na familia na watu wake kwa ujumla. Akiwa mtu kutoka sehemu nyingine ni vigumu kuwa sauti ya utetezi wa watu wa mkoa anaosimamia.
 
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Yule katumwa kuna kazi za watu anafanya.
 
Mbaya ni kwamba kama upinzani hawatagombea na nyie hamtapiga kura! Zitahesabiwa za hao hao wachache wataomchagua!! "Kama atapita kwenye kura za maoni
 
Nyinyi si mnapenda sana matamasha ya kuchoma nyama, mikesha ya mwaka mpya na maonesho ya magari ya landrover, pamoja kuchangamana na wadudu! Huyo ndiyo mbunge wenu sasa kutoka koromije.
Watanzania wanahongwa kwa vitu vidogo vidogo, vitenge, nyama, baiskeli na pikipiki. Taifa letu limekuwa la ovyo. Tuchague watu waliozaliwa kwenye majimbo yetu siyo wavamizi kama huyo Makonda.....hawafai kwanini wasiende kugombea kwao huko walikozaliwa. Wazaliwa ni muhimu kugombea kwenye maeneo yao walikozaliwa na wanakoishi. Hatumtaki Makonda.
 
Kwani anafaa wapi? Just curious though, no offense...
 
Kwa tulioishi HAPO muda mrefu naweza SEMA makonda ni Bora kuliko gambo . APO stendi ni MJINI amini usiamini HAPO pia nikama choo YANI usiku wanakojoa popote mchana ukila chakula HAPO stendi ni harufu ya mikojo tupu. SA kunakufika kwa HALI hiyo
 
Back
Top Bottom