GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Make msitake huyo ndiyo mb wenu mfumo na ccm insmtaka
Mpiga kura kumkata lkn ccm/mfumo unamtaka
Mshachaguluwa

Ova
 
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Ndo mnaye sasa hawezi ondoka hapo na anakuja kuwa waziri wa maliasili na utalii! Apige mounga vizuri
 
Mkuu, nenda kampigie kura yule unayeona anakufaa, waache watu wengine nao waamue kivyao ni nani anayewafaa. Kama uko chadema basi imekula kwako, No reform No erection inakuhusu.
 
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.

..nyama choma alizowagawia mtazilipa kwa kura za ubunge.
 
AR wamebak wangese tu sikuhizi wanaojiita wadudu.. Chuga ya miaka hiyo boya from nowhere tena mashambani koromije asingejaribu hata kusogea
 
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Wengine tuliozaliwa Arusha awamu ya kwanza tunajua mbunge mzawa alikuwa ni mmoja tuu Solomon Ole Saibul wote wengine ni wakuja akiwemo Abdurahman Kinana.
 
Labda mazingira ya Kisiasa yabadilike vinginevyo ndio Mbunge wenu.
 
Wengine tuliozaliwa Arusha awamu ya kwanza tunajua mbunge mzawa alikuwa ni mmoja tuu Solomon Ole Saibul wote wengine ni wakuja akiwemo Abdurahman Kinana.
Uko sahihi mzee. Mimi nimekuta Kinana, Makongoro, Felix, Lema na Gambo. Wote hao sio wazawa wa Arusha. Na hata kama Arusha tukimkataa Makonda ni mwanaCCM gani mzawa anaweza kufaa? Monaban? Nilidhani Meya Max anafaa ila nikagundua kisiasa ni mdogo sana anafaa umeya wake tu. Ndugu Stroke labda atuambie mzawa gani anaweza kuwa mbadala wa mkolomije.
 
Hatutaki kumuona huyu jamaa hapa.

Hakuna mtu hapa Arusha atampigia kura huyu jamaa.

Hakuna.
Upige kura usipige ,kura zenu hazina kazi yeyote ile wala msaada

Makonda ndie mbunge hapo imeshapangwa hivyo

Kura ni utaratibu tu

Unamtisha nani?Unajua kura zinajumlishwa wapi
 
Chama changu CCM mtatukosea sana kutuletea huyu mtu.

Msimlete.
Wewe una chama?Na Samia na Kikwete watasema nini?

Wewe unatumika kama sub woofer au spika kupiga kelele watu wapate uongozi

You are nothing ndani ya Arusha na ccm

Makonda ndie amepangwa hapo Arusha mjini kama mbunge
 
Make msitake huyo ndiyo mb wenu mfumo na ccm insmtaka
Mpiga kura kumkata lkn ccm/mfumo unamtaka
Mshachaguluwa

Ova
Makonda hatufai watu wa Arusha. Makonda akagombee kwao Koromije, Ni aibu watu wa Arusha kumchagua huyo Pimbi, hatufai ni muuaji na mtekaji, ana-fake kuwa amesaidia matatizo ya watu.....watu wangapi wamesaidiwa? It is just Media frenzy. Makonda na Sabaya, Jerry Muro, na Albert Chalamila wote ni watekaji na wauaji. Makonda akagombee alikozaliwa....KOROMIJE, nadhani ni wilaya ya Sengerema, hatufai sisi.
 
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Nyinyi si mnapenda sana matamasha ya kuchoma nyama, mikesha ya mwaka mpya na maonesho ya magari ya landrover, pamoja kuchangamana na wadudu! Huyo ndiyo mbunge wenu sasa kutoka koromije.
 
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Wewe hiyo ni binasfi yako, mtu mmoja Kati ya wanaarusha mil
 
Back
Top Bottom