GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,518
Reaction score
48,828
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
 
Sahz unamwaza mwanaume mwenzako? We umegombea?
 
Naipa siku tatu chama cha mapinduzi kikupe ridhaa ya kugombea ubunge hapo jijini Arusha, lasivyo tusilaumiane 😎
 
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Bei tsh. 23,000,000.00
Nitapunguza kidogo.
 
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.

Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.

Naona Makonda kama mvamizi tu.

Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.

Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.

Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Nani alisha wahi faa popote pale?

Nikuulize Mbunge gani amewahi leta mageuzi jimboni kwake? Elimu bora,mifumo bora kabisa ya afya, mazingira bora yakufanya biashara/uwekezaji hasa kwa wazawa, Mazingira rafikiya kodi, Upatikanaji waajira, Kupunguzaumasikini wavipato kwa wananchi,

Sikiliza hayo ndio mambo ya msingi na achaneni na ungese wa kupima wabunge wenu kwa idadi ya michango ya Bati, cement, misumari, harambee na kadhalika.
 
Back
Top Bottom