LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,190
- 11,312
Wakuu wataalam wa Xiomi nilikuwa natumia A seeies za Samsung ila now nataka kuingia Rasmi XIOMI Naskia hzi simu ni nzuri sasa naombeni kujua kwa Bajeti ya laki saba hadi laki nane. Xiomi toleo gani iwe mpya itanifaa kuanzia uwezo,camera nzuri hadi muonekano mzuri. Nawasilisha.